Mnaojiweza au mliowahi kujiweza kiuchumi mkiwa chini ya miaka 30, nje ya ajira, utajiri wa familia, n.k mliwezaje?

Mimi siyo kazi yangu kulazimisha uelewe hilo, ila kuhusu nyumba za urithi tunazo alhamdulilahi nashukuru mzee wangu kwa hilo.

Maana ame fariki nikiwa na miaka 21, katuacha na nyumba kazaa na kwetu tuko 2, sito zungumzia mengine yasiyo husu mada.
Wacha weeee 😹😹
 
Yoh stop that shit, sitaki kuzungumzia suala la yule dada coz ana jua ukweli wa mambo.

Isi toshe yule ni mama wa watoto, pengine kwa Sasa ni mchumba wa mtu.

I don't wanna make myself big, kwa ku demolish image ya mwingine.
(Ramadhani hii).
Sema kweli? 😹😹😹
Lakini na wewe si ulitambulishwa buroo 🤣
 
Tafteni mishangazi mpate mitaji yakufungua maduka ya cm mjini hakuna mtuu atakae wasanua
 
Ili mtu aonekane amebotoa anapaswa kuwa na nini na nini kwani?
Inapaswa awe na Pesa ila ubaya Pesa haiwezi kununua Uhai na Afya wapo wenye Pesa ila hawana Afya Uhai wao upo matatani

Majumba mengi ya kupangisha km real estate na maduka ya kila aina kila kona kila sehemu -kuna mama mmoja hii anaifanya kajenga majumba mfululizo ya kupangusha watu ana majumba km takataka bongo hii hii kila mkoa amejenga majumba anawapangisha watu hayo maduka ndio usiseme, vyombo vya usafirishaji, akiweza hata maduka ya dawa na zahanati anajenga, kumiliki kampuni binafsi yenye kampuni zingine ndani yake, nk in short vitu ni vingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…