Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,106
- 8,101
Walimu migongo ya temboWatumishi wa tra wanajenga mabangaloo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walimu migongo ya temboWatumishi wa tra wanajenga mabangaloo
Aisee ulijinasuaje pale magufuli? au upepo wa kisulisuli ulivuma ukakupeperusha kukurudisha ulikoianzia safari yako ya kuja mzizimaKuzungukwa na kutafuta watu na taarifa sahihi, ndio mtaji wangu wa kwanza.
sija jua mafanikio ume yaweka kwenye vitu au nini?, ila I had my first house before I was 21.
Ni kweli .Ita kuwa hiyo issue yako uli zingua kweli kweli, so ikabidi atumie nguvu kubwa kukutoa.
mcheki bana si una jua zee lile Lina zeeka, halafu afya yake haisomeki kivile!
Kaka Jitahidi Sana, nakuomba ukumbuke maana yule ni mzee wangu nami ni mtoto wake.Ni kweli .
Naenda juma hili kaka
kaka nili rudi nanjilinji, Half american a.k.a nusu albino haku tokea🤣😂Aisee ulijinasuaje pale magufuli? au upepo wa kisulisuli ulivuma ukakupeperusha kukurudisha ulikoianzia safari yako ya kuja mzizima
Bahat yako na hiyo simu hujaibiwakaka nili rudi nanjilinji, Half american a.k.a nusu albino haku tokea🤣😂
RasiiiiBahat yako na hiyo simu hujaibiwa
😹😹😹 Mbona wewooooo.!!Una jua una nichekesha Sana, hapo nime zungumzia nyumba.
Je niki sema hela iliyo tumika kujengea hiyo nyumba, si una weza nitukana kwa hasira!
Wacha weeee 😹😹Mimi siyo kazi yangu kulazimisha uelewe hilo, ila kuhusu nyumba za urithi tunazo alhamdulilahi nashukuru mzee wangu kwa hilo.
Maana ame fariki nikiwa na miaka 21, katuacha na nyumba kazaa na kwetu tuko 2, sito zungumzia mengine yasiyo husu mada.
Sema kweli? 😹😹😹Yoh stop that shit, sitaki kuzungumzia suala la yule dada coz ana jua ukweli wa mambo.
Isi toshe yule ni mama wa watoto, pengine kwa Sasa ni mchumba wa mtu.
I don't wanna make myself big, kwa ku demolish image ya mwingine.
(Ramadhani hii).
Muda huu nimepita maeneo ya St Joseph nikakukumbuka ndugu yanguHapana shaka nawasilisha kwa Bolotoba makutupora
Majority yaan 99%wengine dili chafu
Nitajihidi nduguKaka Jitahidi Sana, nakuomba ukumbuke maana yule ni mzee wangu nami ni mtoto wake.
oya ramadhani hii, namtakia kila la kheri.Sema kweli? 😹😹😹
Lakini na wewe si ulitambulishwa buroo 🤣
naam hakuna mwingine, vipi tuki sema tuweke salio si uta sema mimi ni mwenyekiti wa Vicoba🤣😂😹😹😹 Mbona wewooooo.!!
Hebu acha basi wewe huyu huyu??
Inapaswa awe na Pesa ila ubaya Pesa haiwezi kununua Uhai na Afya wapo wenye Pesa ila hawana Afya Uhai wao upo matataniIli mtu aonekane amebotoa anapaswa kuwa na nini na nini kwani?
Aseeh upo bado posta ........Muda huu nimepita maeneo ya St Joseph nikakukumbuka ndugu yangu