Mnaojua aina za Roho Mbaya zenye Ukatili na Udhalilishaji wa Kisiasa ndani yake, hii inaitwaje?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,016
Reaction score
16,813
Namlazimisha Mgonjwa wa Kisiasa ambaye uwiano wake wa ama Kufariki au Kuendelea Kuishi uko sawa ajitokeze Mtaani Kwetu ili Kuwaumbua Watesi na nionekane Mshindi kisha baadae anarudishwa tena Hospitalini halafu Hali yake inabadilika na Familia yake inaanza Kumuuguza huku Mioyoni mwao wakiumia kwa Kusumbuliwa Mgonjwa wao.

Je, aina hii ya Roho Mbaya yangu Mimi All - Rounder, Ukatili na Ubabe wangu uliojaa Vitisho kwa Mgonjwa Mwanasiasa Mwenzangu inaitwaje Kitaalam?
 
Mkuu hii kitu imenihuzunisha sana sana, hakika sijapata kuona kitu kama hiki katika maisha yangu.

Huyu mzee hali yake akiwa ofisini ipo hivi....👇🏾



Sasa anapokuja kuletwa mbele ya makamera katika hali kama hii...👇🏾


Heti yupo strong ana anachapa kazi aah 😥duu, mwalimu Nyerere hamka baba uone tulipo.



☝🏾Hii ni hatari sana.

Binafsi naendelea kugundua kweli hatuna kiongozi nadhani JK unaweza kuta analia japo ndo hana jinsi na yeye anapambania uhai wake na hataki kujiingiza kwenye matatizo na huyu jamaa.

Na nasikia karudishwa kwenye mamitungi ya hewa.
 
Sijaelewa pls assist
 
Nimemsikitikia sana mzee huyuu..
 
Kama ni corona imemfanya akakaa kwenye oxygen nusu mwezi,basi bado kabsaa kupona. Hiki kirusi kinakula mapafu balaa,inakuwa chekecheke,.. Tupo bado kwenye denial stage... Hakuna aliyetayari kuwa anaumwa hili gonjwa (tumeambiwa ni pepo),hadi ugonjwa umefika stage mbaya....
 
Mweeeeeee!!! Kwahiyo kuna watu hao wa pembeni yake nao wamekubali kurisk maisha kwa ajili ya boss [emoji15][emoji15][emoji15]

Na hizo maiki za media gani??? Najua TBC haikosi hapo mama yangu weee [emoji86][emoji86][emoji86]

Jamani mbona kama makusudi vile au???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…