Mnaojua aina za Roho Mbaya zenye Ukatili na Udhalilishaji wa Kisiasa ndani yake, hii inaitwaje?

Mnaojua aina za Roho Mbaya zenye Ukatili na Udhalilishaji wa Kisiasa ndani yake, hii inaitwaje?

Mkuu hii kitu imenihuzunisha sana sana, hakika sijapata kuona kitu kama hiki katika maisha yangu.

Huyu mzee hali yake akiwa ofisini ipo hivi....👇🏾

View attachment 1710358

Sasa anapokuja kuletwa mbele ya makamera katika hali kama hii...👇🏾
View attachment 1710359

Heti yupo strong ana anachapa kazi aah 😥duu, mwalimu Nyerere hamka baba uone tulipo.


View attachment 1710360
☝🏾Hii ni hatari sana.

Binafsi naendelea kugundua kweli hatuna kiongozi nadhani JK unaweza kuta analia japo ndo hana jinsi na yeye anapambania uhai wake na hataki kujiingiza kwenye matatizo na huyu jamaa.

Na nasikia karudishwa kwenye mamitungi ya hewa.
Mpaka chozi limenitoka, kwanini naye akakubali hata kama ni kwa amri ya ofisi number moja?
 
Mgonjwa hakutendewa haki!
765409.jpg
 
Namlazimisha Mgonjwa wa Kisiasa ambaye uwiano wake wa ama Kufariki au Kuendelea Kuishi uko sawa ajitokeze Mtaani Kwetu ili Kuwaumbua Watesi na nionekane Mshindi kisha baadae anarudishwa tena Hospitalini halafu Hali yake inabadilika na Familia yake inaanza Kumuuguza huku Mioyoni mwao wakiumia kwa Kusumbuliwa Mgonjwa wao.

Je, aina hii ya Roho Mbaya yangu Mimi All - Rounder, Ukatili na Ubabe wangu uliojaa Vitisho kwa Mgonjwa Mwanasiasa Mwenzangu inaitwaje Kitaalam?
Inaitwa ROMBASI - ROho MbAya ya SIasa.
 
Back
Top Bottom