Volodimiri Zelensiki
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 1,467
- 4,536
Mungu amponye waziri wetu mpango na tufunge kulimaliza gonjwa hili.
Unajuwa uongo ukisemwa sana na pasitokee mtu wa kukanusha watu hufikilia kuwa ndio ukweri huo hivyo kama binaabu ndipo muda mwingine tunaingia ktk kulaumiwa ktk kutafuta kukanusha uongo ulioneaDaah tuache tu utani hii inaumiza sana.Kulikuwa na sababu ya msingi aongee kwenye maumivu hivyo.
Au ndio kujibu zile tetesi kuwa alikuwa mgonjwa sana.
Hiyo inaitwa punda afe lkn mzigo wa mwana mfalme ufikeNamlazimisha Mgonjwa wa Kisiasa ambaye uwiano wake wa ama Kufariki au Kuendelea Kuishi uko sawa ajitokeze Mtaani Kwetu ili Kuwaumbua Watesi na nionekane Mshindi kisha baadae anarudishwa tena Hospitalini halafu Hali yake inabadilika na Familia yake inaanza Kumuuguza huku Mioyoni mwao wakiumia kwa Kusumbuliwa Mgonjwa wao.
Je, aina hii ya Roho Mbaya yangu Mimi All - Rounder, Ukatili na Ubabe wangu uliojaa Vitisho kwa Mgonjwa Mwanasiasa Mwenzangu inaitwaje Kitaalam?
Labda watadanganyika waliopangiwa kudanganyikaMgonjwa mwenyewe hajihurumii sisi Nani tumuhurumie? Yule ni mtu mzima, anajua zuri na baya, kachagua kumfurahisha boss wake.
TOLNdugu hivi Oksijeni nzuri inauzwa wapi?
Kuna ukweli fulaniHapo ana wikimbili hajapaka make up!!
Natania tu jamani!
Point naiona. Hakukua na sababu ya yeye kuja kwenye makamera.
Barikiwa sana kwa andiko fupi lililojaa huzuni. Mi naishia hapo.Namlazimisha Mgonjwa wa Kisiasa ambaye uwiano wake wa ama Kufariki au Kuendelea Kuishi uko sawa ajitokeze Mtaani Kwetu ili Kuwaumbua Watesi na nionekane Mshindi kisha baadae anarudishwa tena Hospitalini halafu Hali yake inabadilika na Familia yake inaanza Kumuuguza huku Mioyoni mwao wakiumia kwa Kusumbuliwa Mgonjwa wao.
Je, aina hii ya Roho Mbaya yangu Mimi All - Rounder, Ukatili na Ubabe wangu uliojaa Vitisho kwa Mgonjwa Mwanasiasa Mwenzangu inaitwaje Kitaalam?
Nafikiri ni Jamaa wa "Kitengo"Mweeeeeee!!! Kwahiyo kuna watu hao wa pembeni yake nao wamekubali kurisk maisha kwa ajili ya boss [emoji15][emoji15][emoji15]
Na hizo maiki za media gani??? Najua TBC haikosi hapo mama yangu weee [emoji86][emoji86][emoji86]
Jamani mbona kama makusudi vile au???
Nimeelewa sasa
Namlazimisha Mgonjwa wa Kisiasa ambaye uwiano wake wa ama Kufariki au Kuendelea Kuishi uko sawa ajitokeze Mtaani Kwetu ili Kuwaumbua Watesi na nionekane Mshindi kisha baadae anarudishwa tena Hospitalini halafu Hali yake inabadilika na Familia yake inaanza Kumuuguza huku Mioyoni mwao wakiumia kwa Kusumbuliwa Mgonjwa wao.
Je, aina hii ya Roho Mbaya yangu Mimi All - Rounder, Ukatili na Ubabe wangu uliojaa Vitisho kwa Mgonjwa Mwanasiasa Mwenzangu inaitwaje Kitaalam?
Amelazimishwa na nani wakati ameongea akiwa na daktari mkuu BM hospital na jopo zima la madaktari?!!Hii kwenye sheria inaitwa criminal case!
Huwezi mlazimisha mgonjwa afanye kitu ambacho unajua wazi kuwa hali yake bado haijawa katika "full recovery"
Hao wasiovaa barakoa ni jopo la madaktari bingwa!Anavyokohoa hvyo na hao jamaa hawajavaa barakoa wakifa watamlaumu mzee corona?
Huu ni ukatili wa kihutu kabisaNamlazimisha Mgonjwa wa Kisiasa ambaye uwiano wake wa ama Kufariki au Kuendelea Kuishi uko sawa ajitokeze Mtaani Kwetu ili Kuwaumbua Watesi na nionekane Mshindi kisha baadae anarudishwa tena Hospitalini halafu Hali yake inabadilika na Familia yake inaanza Kumuuguza huku Mioyoni mwao wakiumia kwa Kusumbuliwa Mgonjwa wao.
Je, aina hii ya Roho Mbaya yangu Mimi All - Rounder, Ukatili na Ubabe wangu uliojaa Vitisho kwa Mgonjwa Mwanasiasa Mwenzangu inaitwaje Kitaalam?
Kwani Corona inawaogopa madaktari bingwa? Wewe nawe la wapi wewe? Yaani mnamchomolesha mgonjwa mitungi ili mpate sifa za kijinga?Hao wasiovaa barakoa ni jopo la madaktari bingwa!
Sijui familia yake inajiskiaje huyo Mzee bado yuko weak ,pia hata hao wahudumu wa afya hapo hawana barakoa mbele hapo karibu nae !Mkuu hii kitu imenihuzunisha sana sana, hakika sijapata kuona kitu kama hiki katika maisha yangu.
Huyu mzee hali yake akiwa ofisini ipo hivi....[emoji1484]
View attachment 1710358
Sasa anapokuja kuletwa mbele ya makamera katika hali kama hii...[emoji1484]
View attachment 1710359
Heti yupo strong ana anachapa kazi aah [emoji26]duu, mwalimu Nyerere hamka baba uone tulipo.
View attachment 1710360
[emoji1489]Hii ni hatari sana.
Binafsi naendelea kugundua kweli hatuna kiongozi nadhani JK unaweza kuta analia japo ndo hana jinsi na yeye anapambania uhai wake na hataki kujiingiza kwenye matatizo na huyu jamaa.
Na nasikia karudishwa kwenye mamitungi ya hewa.