Mnaojua aina za Roho Mbaya zenye Ukatili na Udhalilishaji wa Kisiasa ndani yake, hii inaitwaje?

Mnaojua aina za Roho Mbaya zenye Ukatili na Udhalilishaji wa Kisiasa ndani yake, hii inaitwaje?

We baba wewe mh,du nimekoswa jina!
Namlazimisha Mgonjwa wa Kisiasa ambaye uwiano wake wa ama Kufariki au Kuendelea Kuishi uko sawa ajitokeze Mtaani Kwetu ili Kuwaumbua Watesi na nionekane Mshindi kisha baadae anarudishwa tena Hospitalini halafu Hali yake inabadilika na Familia yake inaanza Kumuuguza huku Mioyoni mwao wakiumia kwa Kusumbuliwa Mgonjwa wao.

Je, aina hii ya Roho Mbaya yangu Mimi All - Rounder, Ukatili na Ubabe wangu uliojaa Vitisho kwa Mgonjwa Mwanasiasa Mwenzangu inaitwaje Kitaalam?
 
Perception tu,huna proof, afterall jamaa ka- improve sana , imagine zaidi ya wiki tatu au mwezi anakula oksjeni na kulishwa kwa mpira , mpaka kuacha kutumia mipira.

Kuugua sana sio kifo
 
Alikuwa bado mgonjwa kweli, anakohoa hata musk hakuvaa hapo hapo two persons wako jirani naye hata musk hawana.

Yote hiyo sijui ya nini, he was looking sick.

Ngoja tuone.
 
Usijitoe ufahamu bwashee, hakuna daktari mweledi na anayeijua vema kazi yake anaweza kumruhusu mgonjwa aliye katika hali hiyo kuongea na media kama hakukuwa na shinikizo toka juu...

Mitano tena...
Huyo atakuwa siyo daktari kitaaluma!

Daktari unapokeaje shinikizo lisilo la kitaaluma?
 
Mgonjwa mwenyewe hajihurumii sisi nani tumuhurumie? Yule ni mtu mzima, anajua zuri na baya, kachagua kumfurahisha boss wake.
Wakati mnazusha kafa ,?kwanini asitoke hadharani athibitishe yu hai?,kuondoa sintofahamu kwa wapiga kura wake?
 
Namlazimisha Mgonjwa wa Kisiasa ambaye uwiano wake wa ama Kufariki au Kuendelea Kuishi uko sawa ajitokeze Mtaani Kwetu ili Kuwaumbua Watesi na nionekane Mshindi kisha baadae anarudishwa tena Hospitalini halafu Hali yake inabadilika na Familia yake inaanza Kumuuguza huku Mioyoni mwao wakiumia kwa Kusumbuliwa Mgonjwa wao.

Je, aina hii ya Roho Mbaya yangu Mimi All - Rounder, Ukatili na Ubabe wangu uliojaa Vitisho kwa Mgonjwa Mwanasiasa Mwenzangu inaitwaje Kitaalam?
Alafu mgonjwa Ni dk wa phd
 
Bei ya mtungi mdogo wa oxygen ikoje?
Hukusikia mgonjwa aliyekuwa na mtungi nyumbani na watu wa hosp walikataa kwenda kumwekea mpaka akafariki.

Nunua tu ila unaweza uacha hapo ukaondoka.

Just imagine wameondoka watu maarufu wenye ukwasi mkubwa, kwani walishindwa kununua oxygen sasa.

okay let's say umenunua mtungi mmoja au miwili umewekewa hapo home na imeisha yote, utenda jaza wapi, while you're sick and you can't move.

Huu ugonjwa acha tu, Mungu atunusuru hasa sisi watu wa chini
 
SIASA ni kitu cha HATARI KULIKO CORONA YENYEWE kwa Tanzania... Kinachoua watanzania sasa sio Corona ni Siasa za kipuuzi sana...!! Waziri mwenye elimu kama yule anafanyishwa press akiwa hoi ili mradi tu kuaminisha watu hali sio mbayaa. Upumbavuu wa hali ya juu.

Waziri anafanyishwa Press uku Cannula bado zipo mkononii anakooa muda wote na kutetemeka kama Kuku mwenyw mdondoo yani na kuna mpuuzi mmoja amekaa pembeni hajavaa hata mask. Mgonjwa wa Corona hajavaa mask anafanya press akiwa na Cannula. Angekuwa mzee wangu hakika Ningemwabia Mzee kuliko kuwa Mtumwaa kiasi hiki bora Ujiuzuru huo uwaziri bora LAWAMA KULIKO FEDHEA..Shame shame shame.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
SIASA ni kitu chq HATARI KULIKO CORONA YENYEWE kwa Tanzania... Kinachoua watanzania sasa sio Corona ni Siasa za kipuuzi sana...!! Waziri mwenye elimu kama yule anafanyishwa press akiwa hoi ili mradi tu kuaminisha watu hali sio mbayaa. Upumbavuu wa hali ya juu.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Machozi yamenitoka
 
Yeye ndio wa kwanza kuzushiwa kafa? Ni ajabu kuzushiwa kifo? Wote waliozushiwa huwa wanaita vyombo vya habari kuwakanusha?
Huwa unapata faida gani kupitia uzushi ?
 
Back
Top Bottom