johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Huyo ameshapona ndio maana ameongea na umma.UKO sahihi yupo chumba cha mikutano hospitali ya BM swali langu la kujiuliza bado halijapoteza maana kulikuwa na sababu ganiza msingi kwa mgonjwa kama kujitokeza mbele ya waandishi wa habari kueleza aliyoeleza,kwa mujibu wa maelezo yake chanzo TBC habari alikuwa anakanusha kuwa yeye mgonjwa yuko fit na ameanza kuchapa kazi,hiyo ni hali ya mtu kuchapa kazi kweli?
Wagonjwa wako wodini na OPD!