Mnaojua aina za Roho Mbaya zenye Ukatili na Udhalilishaji wa Kisiasa ndani yake, hii inaitwaje?

Mnaojua aina za Roho Mbaya zenye Ukatili na Udhalilishaji wa Kisiasa ndani yake, hii inaitwaje?

UKO sahihi yupo chumba cha mikutano hospitali ya BM swali langu la kujiuliza bado halijapoteza maana kulikuwa na sababu ganiza msingi kwa mgonjwa kama kujitokeza mbele ya waandishi wa habari kueleza aliyoeleza,kwa mujibu wa maelezo yake chanzo TBC habari alikuwa anakanusha kuwa yeye mgonjwa yuko fit na ameanza kuchapa kazi,hiyo ni hali ya mtu kuchapa kazi kweli?
Huyo ameshapona ndio maana ameongea na umma.

Wagonjwa wako wodini na OPD!
 
Perception tu,huna proof, afterall jamaa ka- improve sana , imagine zaidi ya wiki tatu au mwezi anakula oksjeni na kulishwa kwa mpira , mpaka kuacha kutumia mipira.

Kuugua sana sio kifo
Sisi tunachomwombea apone. Lakini hakika hakukuwa na haja ya kufanya press conference. Yawezekana ni kweli amepata unafuu, lakini bado yupo kwenye recovery process, na huenda itamchukua miezi kuwa kwenye full recovery maana Covid 19 hufanya uharibifu wa organs nyingi kwa wakati mmoja, kama ikikupata.
 
Yesu alipoambiwa abadili mawe yawe mkate alikataa kwa maana hakutaka kumjaribu Mungu wake. Hata alipoahidiwa milki zote zilizopo duniani alikataa kwa kuwa huko ni kumjaribu Mungu wake.

Sijui waziri aliahidiwa nini na shetani gani hadi akaona ni vyema kumjaribu Mungu wake katika namna ya kipuuzi kama hiyo. Kama haya yalikuwa ni maamuzi yake binafsi Basi naanza kushawishika kuwa hivyo virus haviharibu mapafu pekee bali na ubongo! Tuchukue tahadhari kulinda mapafu yetu na ubongo!
 
View attachment 1710523View attachment 1710524
HILO lipo wazi hapa ni chumba cha mikutano ofisini kwake, tazama mazingira ya hiyo picha ni mazingira ya home hayo hapana, lakini pia waliomzunguka ni madaktari, hii inathibitisha kuwa bado ni mgonjwa anafaa kuwa hospitari,sasa anaharaka ya nini?
Hapo sio ofisini Ni Benjamin mkapa hospital angalia mabango hayo Yana nembo ya BMH pia hiyo picha n jengo l BMH
 
Sijui familia yake inajiskiaje huyo Mzee bado yuko weak ,pia hata hao wahudumu wa afya hapo hawana barakoa mbele hapo karibu nae !

Zoom kwa karibu uangalie kwenye hizo round, wale jamaa kuna kitu wanajadili, huyu hapa front line anaonyesha kalazimishwa na ana huzuni kwelikweli.👇🏾
IMG_20210224_130205.jpg
 
Mpaka chozi limenitoka, kwanini naye akakubali hata kama ni kwa amri ya ofisi number moja?
Mkuu hujui mambo ya madikteta duniani wewe, kwanza anaambiwa daktari wake kesho mtoe mgonjwa aongee na media, (convoy inayopeleka statement, hata dokta haulizi WHY?)

Pili ofisi ya mgonjwa inapelekewa taarifa iandae press kwa ajili ya boss wao, so akatae kivipi hapo!.

👉🏾Hebu piga picha upo kwenye system ya aina hiyo utafanyaje?, jibu kaa nalo moyoni mwako 😥!.
 
Mkuu kwanza jifunze kujibu hoja bila kujumlisha mtu.

Kupinga Jambo si kwamba mtu anakuwa kashiriki.

Ni ujinga, upumbavu, na kukosa akili kuanza kubishana na watu wanakuzushia umekufa wakati wewe upo hai!! Na ilhali bado unahitaji utulivu wa mwili na akili ili upone vizuri.

Hivi tukiamua kila mtu awe anawaprove wrong wanaomsema vibaya unadhani Kuna Jambo litafanyika?

Muungwana akivuliwa nguo huchutama. Mzee angetulia apone vizuri tungemuona kwenye shughuli zake.

Hoja ambayo Ina mashiko kidogo ni kusema kalazimishwa Ila sio eti kuwakanusha watu......
Huu ni upumbavu ulipita upumbavu wote niliowahi kuona. Kwanza hao watu walio karibu naye wamekuwa exposed na virus. Wakati wataalam wanahimiza wagonjwa watengwe kuna wajinga fulani wanaji-expose kwa makusudi na mbaya zaidi tunaambiwa ni dr. Hivi akitoka hapo anakwenda kutibu wagonjwa wengine? Hakuna hatari ya kuwaambukiza? Na nyumbani hana familia? Hakuna hatari ya kuwapelekea virus? Na wafanyakazi wenzake vipi? Hatasababisha chain ya maambukizi? Na hizo mic zilipongwa mbele yake anapoongea na kukohoa hazipati virus? Wahusika wakija kuzibeba hawataambukizwa? Duu. Bora kukosa nguo kuliko kukosa akili.
 
Acha kabisa mkuu
 
Nimeelewa sasa

Hii inasikitisha. Hicho kilichofungwa kwenye mkono ni kile kidude cha kuingizia mrija wa dripu? Kama hali aliyokuwa nayo wakati anaongea na waandishi wa habari ndiyo hiyo basi wamemkosea sana. Nakosa raha sana nikimwona mgonjwa mwenye hicho kidude cha dripu akiwa nje ya wodi. Nimewahi kuugua na kuuguliwa, hicho kidude cha dripu siku zote nimekitafsiri kama mtu ambaye hali yake bado ngumu.
Licha ya makosa yaliyofanyika, tumwombee mtanzania mwenzetu binadamu mwenzetu apone kwanza, tunamhitaji akiwa mzima sisi kama taifa ambao tumewekeza gharama kumpata mtaalamu wa kiwango hicho, familia yake inamhitaji, na sote kama binadamu tunahitajiana. Apone kwanza mwenzetu.

Lakini tabia ya kusumbua wagonjwa ikemewe.
Mimi niipomwona kwenye press nilidhani ameshapewa discharge, kwamba alikuwa anaelekea nyumbani. Na kwa kauli zake ndivyo nilivyomwelewa aliposema anawatakia heri wenzake anaowaacha hapo hospitali.

Kwa hili nawaomba wataalamu wetu waongeze umakini, wasikubali kupelekwapelekwa na wanasiasa.
 
Wakati mnazusha kafa ,?kwanini asitoke hadharani athibitishe yu hai?,kuondoa sintofahamu kwa wapiga kura wake?
Huu ni upumbavu ulipita upumbavu wote niliowahi kuona. Kwanza hao watu walio karibu naye wamekuwa exposed na virus. Wakati wataalam wanahimiza wagonjwa watengwe kuna wajinga fulani wanaji-expose kwa makusudi na mbaya zaidi tunaambiwa ni dr. Hivi akitoka hapo anakwenda kutibu wagonjwa wengine? Hakuna hatari ya kuwaambukiza? Na nyumbani hana familia? Hakuna hatari ya kuwapelekea virus? Na wafanyakazi wenzake vipi? Hatasababisha chain ya maambukizi? Na hizo mic zilipongwa mbele yake anapoongea na kukohoa hazipati virus? Wahusika wakija kuzibeba hawataambukizwa? Duu. Bora kukosa nguo kuliko kukosa akili
 
Huu ni upumbavu ulipita upumbavu wote niliowahi kuona. Kwanza hao watu walio karibu naye wamekuwa exposed na virus. Wakati wataalam wanahimiza wagonjwa watengwe kuna wajinga fulani wanaji-expose kwa makusudi na mbaya zaidi tunaambiwa ni dr. Hivi akitoka hapo anakwenda kutibu wagonjwa wengine? Hakuna hatari ya kuwaambukiza? Na nyumbani hana familia? Hakuna hatari ya kuwapelekea virus? Na wafanyakazi wenzake vipi? Hatasababisha chain ya maambukizi? Na hizo mic zilipongwa mbele yake anapoongea na kukohoa hazipati virus? Wahusika wakija kuzibeba hawataambukizwa? Duu. Bora kukosa nguo kuliko kukosa akili.
Nashangaa baadhi ya watu wanaona ni ushujaa, tuna safari ndefu mno
 
Mkuu hujui mambo ya madikteta duniani wewe, kwanza anaambiwa daktari wake kesho mtoe mgonjwa aongee na media, (convoy inayopeleka statement, hata dokta haulizi WHY?)

Pili ofisi ya mgonjwa inapelekewa taarifa iandae press kwa ajili ya boss wao, so akatae kivipi hapo!.

👉🏾Hebu piga picha upo kwenye system ya aina hiyo utafanyaje?, jibu kaa nalo moyoni mwako 😥!.
Kweli jibu nakaa nalo moyoni. Nilijuaga wenye roho za kinyama walikuwa zamani huko labda changamoto za kimazingira, uchumi mdogo wa dunia na sera mbovu za mataifa mbalimbali ziliwafanya viongozi wa design hii waemerge. Sasa katika civilized world Kama sasa na mutual agreements zilizopo Kati ya mataifa sasa,advancement in technology
and education mazingira Bora ya kiuchumi ingawa ushindani ni mkubwa bado wanatokea watu Kama hawa na wanaachwa tu?
 
... hawa na wanaachwa tu?
Kuna mambo ya siri (secret alliances) unakuta kiongozi yupo madarakani anatakiwa kulipa fadhira na kiongozi mkorofi huwa anajazwa roho mbaya na kila anachofanya anaona sahihi, lengo likiwa ni kufanikisha yale mafungamano ambayo hayajui au anajua.
 
Back
Top Bottom