Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Mjomba aulizaye anataka kujua... Sasa wewe GT ukamiliki mbingu.!? Vitu vingine punguza ujuaji....Shabiki wa mpira ....
!! Maajabu hayawezi kuisha Tz....eti hutu ni sehemu ya GT😒
Hujawahi kumuona Robben au Messi wakicheza?Enzi zetu za ligi za mchangani mtu anayetumia mguu wa kushoto huwa ama acheze namba tatu,sita na kumi na Moja (wahenga watanielewa)
Nashangaa Balua anatumia mguu wa kushoto lakini anapangwa namba saba.
Au ndiyo Mpira wa kisasa?
Siku hizi wanaita "Inverted winger", mchezaji anacheza upande tofauti na ule uliozoeleka. Ni kama Percy Tau. Kuna faida zake kuwa na mchezaji wa namna hii.Enzi zetu za ligi za mchangani mtu anayetumia mguu wa kushoto huwa ama acheze namba tatu,sita na kumi na Moja (wahenga watanielewa)
Nashangaa Balua anatumia mguu wa kushoto lakini anapangwa namba saba.
Au ndiyo Mpira wa kisasa?
Ndio nyie wajinga .... Kwahiyo Dunia hii ya mpira mchezaji kucheza kushoto wakati anatumia kulia ni ajabu?, mbona haulizi kibu kucheza kushoto au karabaka kucheza kulia!!. Punguzeni utoto k6jaza Seva za jf.Mjomba aulizaye anataka kujua... Sasa wewe GT ukamiliki mbingu.!? Vitu vingine punguza ujuaji....
Uneambiwa punguza ujuaji...Ndio nyie wajinga .... Kwahiyo Dunia hii ya mpira mchezaji kucheza kushoto wakati anatumia kulia ni ajabu?, mbona haulizi kibu kucheza kushoto au karabaka kucheza kulia!!. Punguzeni utoto k6jaza Seva za jf.
Enzi zetu za ligi za mchangani mtu anayetumia mguu wa kushoto huwa ama acheze namba tatu,sita na kumi na Moja (wahenga watanielewa)
Nashangaa Balua anatumia mguu wa kushoto lakini anapangwa namba saba.
Au ndiyo Mpira wa kisasa?
Ndivyo wanavyotumika siku hizi, right handed to left vs left handed to right.
Ni rahisi kukatisha uwanja kuja ndani ya uwanja badala ya kwenda pembeni mfano: wa mguu wa kushoto(kwani hawezi kwenda pembeni ambako hatumii vyema mguu wa kulia).
Hii huongeza nafasi ya yeye kupiga shuti moja kwa moja golini badala ya krosi kwani anakuwa analiangalia goli moja kwa moja.
Mkuu kubishana na much know ni kazi sana jamaa kakazania kwamba kujaza server za JF kana kwamba yeye ndyo kazitengenezaUneambiwa punguza ujuaji...
Ungekuwa Mwalimu ungejua kuwa kuna kitu kinaitwa mbinu ya kutunga swali kwa lengo Mahsusi.
Wewe GT Kaa pembeni wakati mbumbumbu tunaendelea kujuzana.
Hata mim huwa nafikiri hivyo,lakini kwa simba huenda kocha hajamuelekeza vizuri balua,kwasabab yeye badala ya kuuweka mpira kwenye upande wa mguu wake wenye nguvu akalazimisha kukimbia mbele mpira ukakaa kulia akashindwa kuukontrol beki akamnyanganya kwa wepesi,Ndivyo wanavyotumika siku hizi, right handed to left vs left handed to right.
Ni rahisi kukatisha uwanja kuja ndani ya uwanja badala ya kwenda pembeni mfano: wa mguu wa kushoto(kwani hawezi kwenda pembeni ambako hatumii vyema mguu wa kulia).
Hii huongeza nafasi ya yeye kupiga shuti moja kwa moja(with high accuracy vs high precision) golini badala ya krosi kwani anakuwa analiangalia goli moja kwa moja.
Kwanni seva niyakwenu???Ndio nyie wajinga .... Kwahiyo Dunia hii ya mpira mchezaji kucheza kushoto wakati anatumia kulia ni ajabu?, mbona haulizi kibu kucheza kushoto au karabaka kucheza kulia!!. Punguzeni utoto k6jaza Seva za jf.
Wanaita othodox winger ambapo ni Bora zaidi kukreat chances na cavingModern football imekuja kubadilisha mifumo mingi ambayo zamani ilionekana kama utamaduni unaofanyika kwa mazoea.
Asilimia kubwa ya mawinga wa kisasa wana uwezo wa kucheza pande zote pamoja na ule upande ambao upo opposite na mguu wake ambao ni favorite.
Wanaitwa "inverted wingers".Enzi zetu za ligi za mchangani mtu anayetumia mguu wa kushoto huwa ama acheze namba tatu,sita na kumi na Moja (wahenga watanielewa)
Nashangaa Balua anatumia mguu wa kushoto lakini anapangwa namba saba.
Au ndiyo Mpira wa kisasa?