Copro mtego
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 619
- 796
Amna bna ukiangalia ile alipoenda kulia Kama sikosei ilikuwa ni wakati Simba walipata Kona kama sio fauloSiku hizi wanaita "Inverted winger", mchezaji anacheza upande tofauti na ule uliozoeleka. Ni kama Percy Tau. Kuna faida zake kuwa na mchezaji wa namna hii.
Nje ya mada, hivi kwa nini Zimbwe katikati ya mchezo amekuwa anabadili position, kuna wakati anaenda kucheza beki wa kati, kiungo au beki mmoja wa kati anahamia pembeni. Leo alihamia kulia, Kapombe akaenda kucheza middle. Hizi ni mbinu za mchezo za mwalimu au ndiyo usenior wenyewe?
Kwenye matukio hayo zimbwe huwa anabaki nyuma kama beki wa mwisho na mabeki wanaenda kucheza vichwa
Sema kilichofanya asurudi haraka ni mpira ulienda alipokuwa kwa hyo ikabidi abaki kule kwanza wamalizane hadi wachezaji wengine warudi kwenye nafasi zao