Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Ni mchezaji wa kawaida mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa wanafanya hivyo mtu anatumia mguu wa kushoto halafu anacheza winga ya kilia ili muda fulani aweze kuingia ndani ya uwanja na kuweza kupita hata mashuti kama alivyokuwa anafanya Ruben.Enzi zetu za ligi za mchangani mtu anayetumia mguu wa kushoto huwa ama acheze namba tatu,sita na kumi na Moja (wahenga watanielewa)
Nashangaa Balua anatumia mguu wa kushoto lakini anapangwa namba saba.
Au ndiyo Mpira wa kisasa?
Ni udhaifu wake binafsi tu, na nadhani aliurekebisha siku alivyo cheza dhidi ya Al-Ahly Tripoli.Siioni faida yoyote ile ya Balua kuchezeshwa upande wa kulia.