Mnaojua Mpira nielewesheni, kwa nini Balua anapangwa kulia?

Amna bna ukiangalia ile alipoenda kulia Kama sikosei ilikuwa ni wakati Simba walipata Kona kama sio faulo

Kwenye matukio hayo zimbwe huwa anabaki nyuma kama beki wa mwisho na mabeki wanaenda kucheza vichwa
Sema kilichofanya asurudi haraka ni mpira ulienda alipokuwa kwa hyo ikabidi abaki kule kwanza wamalizane hadi wachezaji wengine warudi kwenye nafasi zao
 
Hatupati radha za magoli ya krosi
 
Uneambiwa punguza ujuaji...

Ungekuwa Mwalimu ungejua kuwa kuna kitu kinaitwa mbinu ya kutunga swali kwa lengo Mahsusi.

Wewe GT Kaa pembeni wakati mbumbumbu tunaendelea kujuzana.
Kwahiyo swali lako umewauliza mbumbumbu!?
 
Hiyo ya nje ya mada: Mechi ya jana Simba walikuwa wanacheza walinzi watatu nyuma. Hivyo full back right na left wanakuwa na option ya kuongeza nguvu sehemu yoyote yenye mapungufu. Ingawa ni formation ya hatari pale ambapo timu poinzani ina wachezaji makini na wenye uwezo hasa kufanya mashambulizi ya kustukiza (counter attack). Rejea mechi ya fainali ya Ngao ya Jamii kati ya Azam FC na Yanga.
 
Dah hapo kwa Edibily Lunyamila umenikumbusha utamu wa football usioisha Mkuu. Nakumbuka Uganda kwenye mshindano ya klabu ya CECAFA Lunyamila alimtesa sana Paul Hasule wa Sport Club Villa mpaka aliamua kutundika daluga. Siku hiyo Yanga alibeba ndoo ya CECAFA.
 
Enzi zetu za ligi za mchangani mtu anayetumia mguu wa kushoto huwa ama acheze namba tatu,sita na kumi na Moja (wahenga watanielewa)

Nashangaa Balua anatumia mguu wa kushoto lakini anapangwa namba saba.

Au ndiyo Mpira wa kisasa?
Modern football, ili aweze kuingia ndani na kushoot kwa mguu wake wa asili, siyo ile ya zamani kukimbilia kibendera na kumimina majalo kama Sunday Juma.
 
Enzi zetu za ligi za mchangani mtu anayetumia mguu wa kushoto huwa ama acheze namba tatu,sita na kumi na Moja (wahenga watanielewa)

Nashangaa Balua anatumia mguu wa kushoto lakini anapangwa namba saba.

Au ndiyo Mpira wa kisasa?
Nimefurahi kwasababu umejitanabaisha kabisa kwamba haujui mpira.

Kwa mpira wa kisasa. Hiyo ni mojawapo ya mbinu mpya. Kwasababu inakuwa kazi kubwa kumzuia anapotaka kufunga.

Mfano mmoja tu ni Bukayo Şaka wa Arsenal.
 
Enzi zetu za ligi za mchangani mtu anayetumia mguu wa kushoto huwa ama acheze namba tatu,sita na kumi na Moja (wahenga watanielewa)

Nashangaa Balua anatumia mguu wa kushoto lakini anapangwa namba saba.

Au ndiyo Mpira wa kisasa?
Na Kibu anapangiwa upande wa kk kushoto wakati anatumia mguu wa kushoto..
Hiyo ndio modern football
 
Kwahiyo swali lako umewauliza mbumbumbu!?
Kwa muktadha wa hoja ya Exy .

Maelezo yaliyotolewa humu nadhani na wengine wengi tu watakuwa wamefaidika.

Kuna ujuaji fulani tunao watanzania wala hautusaidii kabisa. Kwa mfano ukiambiwa utengeneze dodoso (Questionnaire) aina hii ya uulizaji swali haiwezi kutumiwa ili kupata maoni tofauti tofauti?
 
Kwasababu hiyo hiyo ya kutaka kuingia ndani kwanini Full Backs bado wanacheza traditional? Wa kushoto anacheza namba 3 na kulia anacheza namba 2!
Yes hii nayo ni hoja.

Halafu wakati wa Kona ukaaji wa wachezaji si kama zamani. Kuanzia mabeki mpaka wafungaji.
 
Enzi zetu za ligi za mchangani mtu anayetumia mguu wa kushoto huwa ama acheze namba tatu,sita na kumi na Moja (wahenga watanielewa)

Nashangaa Balua anatumia mguu wa kushoto lakini anapangwa namba saba.

Au ndiyo Mpira wa kisasa?
Left footer akicheza upande wa kulia anakuwa na faida zaidi ya kupiga chenga kuingia ndani ya uwanja. Akiwa upande wa kushoto ninrahisi yeye kutoa mpira akijaribu kupiga chenga
 
Left footer akicheza upande wa kulia anakuwa na faida zaidi ya kupiga chenga kuingia ndani ya uwanja. Akiwa upande wa kushoto ninrahisi yeye kutoa mpira akijaribu kupiga chenga
Mambo mengi yamebadilika.

Kwa mfano zamani Mpira wa Kona ulikuwa unawekwa pale kwenye mlingoti wa kibendera kwa Sasa.

Na wapigaji wa kona walikuwa ni mabeki ama wa kulia au kushoto. Siku hizi naona viungo (midfielders) mara nyingi ndiyo wanapiga kona.
 
Shabiki wa mpira ....
!! Maajabu hayawezi kuisha Tz....eti hutu ni sehemu ya GT😒
Wewe unajua kila kitu? Mbona hatukuoni super sports ukichambua mpira? Acha undezi kuuliza sio ujinga.
 
Noni Madueke left footer juzi kawashaya wena wolves goli 3 akicheza upande wa kulia huku akitumia mguu wa kushoto
 
Winger mguu wa kushoto anafuatana na beki wake anayetumia mguu wa kulia. Majukumu ya crossing anaachiwa fullback...winga anakata kuingia ndani kufunga ndio maana sasa hivi ngumu kuona timu zinategemea center forward pekee ktk kufunga magoli. Viungo wanafunga sana
 
Yeah,,
Michuano ni challenge nadhan,
 
Wewe unajua kila kitu? Mbona hatukuoni super sports ukichambua mpira? Acha undezi kuuliza sio ujinga.
We nae ni kiazi?, kwahiyo wanaojua wako super sport?. Kiazi mbatata kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…