Simao Latino
JF-Expert Member
- Jan 11, 2025
- 477
- 608
- Thread starter
- #281
Okay 👍yaani hata wewe uliyebakiwa na nauli tu ni wa kuonea huruma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay 👍yaani hata wewe uliyebakiwa na nauli tu ni wa kuonea huruma
Temeke ni balaa mkuu..Umekuja lini mjini, Ma anacheza kigodoro na kanga moko, kitu tigo hao watoto atawajali sa ngapi? Mtoni kwa Aziz Ally mi nilikuwepo pale.
Chapati 3 na bakuli la maharage 500 watu wa3 mnashiba kabisa.
Ushafika Njaro Temeke?Mbagala Zakhem ndani huko,Buguruni pale kimboka,mnyamala A mishkaki ya 100.kwa bonge msasani kule 500 utavimbiwa usiulize ni kitu gani umekula.
Mnawatelekeza upande mkiwakuta upande mwingine mnawahurumia, mnazalisha wanawake upande mmoja ukiwakuta ukiwakuta upande wa pili unawahurumia, watoto na wanawake tabu zao nyingi zinatokana na wanaume Si LAZIMA ukubali ukweli uko wazi.Mimi ninakaa Wilaya ya Ilala. Jana nilikuwa Wilaya ya Temeke (mtoni kwa Aziz Ally) nilishuhudia mida ya mchana badala ya mama kuwapikia watoto (watoto walitoka kucheza wakaja kulalamika njaa inawauma) akawapa 500 wote wawili wakanunue bagia na askrimu (ice cream) na ndio imetoka hiyo mpaka Usiku, kulingana na maelezo ya mwenyeji wangu. Sema na mimi nilikuwa majalala, nilibakiwa na nauli tu 2,000, laiti kama ningekuwa na kitu chochote ningeweza kuwaongezea hata 500 nyingine aisee.
Kama hauna pesa ya kumsaidia mtoto masikini, basi mkumbuke hata wakati wa sala au swala.
Daah, uswahilini panatisha wadau, hususan kwa watoto wadogo.
Akina nani wanawatelekeza??..Mnawatelekeza upande mkiwakuta upande mwingine mnawahurumia,
umetoka ilala na unawacheka wa temeka ndugu? mbona mpo sawa tu kiuswahiliniswahilini? pia, shukuru hata aliwapa 500, kuna wamama wengine hata hapo ilala hawana hiyo 500. wakati tunakua, jirani yetu alikuwa anatuma watoto kuja kuhemea kwetu, na tulikuwa tunawaita tunakula nao chakula cha mchana fresh tu, Mzee alinifundisha jambo kubwa sana kwenye utoaji. yaani ikifika mchana utakuta hao wamekuja kucheza, na baba hataki nile peke yangu natakiwa niwakaribishe tule wote. hao ndio walikua wakawa mafariki zangu hadi ukubwani huku, wengine wamefanikiwa tu ila ile bond ipo hadi leo tunajiona familia.Mimi ninakaa Wilaya ya Ilala. Jana nilikuwa Wilaya ya Temeke (mtoni kwa Aziz Ally) nilishuhudia mida ya mchana badala ya mama kuwapikia watoto (watoto walitoka kucheza wakaja kulalamika njaa inawauma) akawapa 500 wote wawili wakanunue bagia na askrimu (ice cream) na ndio imetoka hiyo mpaka Usiku, kulingana na maelezo ya mwenyeji wangu. Sema na mimi nilikuwa majalala, nilibakiwa na nauli tu 2,000, laiti kama ningekuwa na kitu chochote ningeweza kuwaongezea hata 500 nyingine aisee.
Kama hauna pesa ya kumsaidia mtoto masikini, basi mkumbuke hata wakati wa sala au swala.
Daah, uswahilini panatisha wadau, hususan kwa watoto wadogo.
Kwani wanawake wanatelekezwa na nani?Akina nani wanawatelekeza??..
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe unayeishi Ilala na hao wanaoishi Temeke tofauti yenu ni nini ikiwa mwanaume mzima ulibakiwa na nauli tu? Kisha unaleta masimango humu ilimladi tu uonekane umeanzisha uzi?
Sijui..Kwani wanawake wanatelekezwa na nani?
Ningesema niliwasaidia wale watoto, mngenirushia tena wale "KWA HIYO NDIO UMEKUJA KIJITANGAZA JF ILI UONEKANE UNA ROHO NZURI??"Sasa mbona wewe wa Ilala na huyo wa Temeke Hali zenu zinafanana?
Kwa sababu hao watoto kama wangekuwa wako hata wewe pia usingeweza kuwalisha mlo wa mchana na hiyo buku 2 yako
Ningesema niliwasaidia wale watoto, mngenirushia tena wale "KWA HIYO NDIO UMEKUJA KIJITANGAZA JF ILI UONEKANE UNA ROHO NZURI??"umetoka ilala na unawacheka wa temeka ndugu? mbona mpo sawa tu kiuswahiliniswahilini?
Wilaya ya Temeke umasikini ni mkubwa sana mkuu..Ni majanga matupu
Hongera sana kwa kuwa na mzazi mwema..umetoka ilala na unawacheka wa temeka ndugu? mbona mpo sawa tu kiuswahiliniswahilini? pia, shukuru hata aliwapa 500, kuna wamama wengine hata hapo ilala hawana hiyo 500. wakati tunakua, jirani yetu alikuwa anatuma watoto kuja kuhemea kwetu, na tulikuwa tunawaita tunakula nao chakula cha mchana fresh tu, Mzee alinifundisha jambo kubwa sana kwenye utoaji. yaani ikifika mchana utakuta hao wamekuja kucheza, na baba hataki nile peke yangu natakiwa niwakaribishe tule wote. hao ndio walikua wakawa mafariki zangu hadi ukubwani huku, wengine wamefanikiwa tu ila ile bond ipo hadi leo tunajiona familia.
Ningesema niliwasaidia wale watoto, mngenirushia tena wale "KWA HIYO NDIO UMEKUJA KIJITANGAZA JF ILI UONEKANE UNA ROHO NZURI??"Nyote ni walewale hata kwako mnashindia uji! Ulishindwa nini hata kumpigia mamsapu akutumie hata buku 5 ukawanunulie kilo mbili za mchele?
Mtoto wa Temeke