Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Temeke umasikini ni mkubwa mno ukilinganisha na Wilaya zingine zote za mkoa wa Dar Es Salaam..Hivi Pugu nayo siipo Temeke, aisee kule pia hali si shwari ,ukipita na SGR juu unakutana na bati zimechakaa sio poa, vijumba mbanano, meza za wauza matumbo, vichwa vya kuku etc
Mimi ninakaa Wilaya ya Ilala..Yuko very philosophical, ni mkaazi wa hukohuko!
unapajua kijichi mkuu?TMK pa kishua labda ni Chang'ombe Sigara kule karibu na maduka mawili
Sasa kivule Ina nini kule makaluoni mwa wilaya ya Ilala.Ninakaa Kivule
We ndio huyo mama aliyetoa 500 kwa watoto wake nini maana si kwa makasiriko hayo😀😀😀😀Wewe unayeishi Ilala na hao wanaoishi Temeke tofauti yenu ni nini ikiwa mwanaume mzima ulibakiwa na nauli tu? Kisha unaleta masimango humu ilimladi tu uonekane umeanzisha uzi?
Yaaap. Kidogo lakini njia ya kuelekea Mbagala kuu..unapajua kijichi mkuu?
Nimeishi Temeke kwa miaka 24, hivyo ninapajua vema..We ndio huyo mama aliyetoa 500 kwa watoto wake nini maana si kwa makasiriko hayo😀😀😀😀
Kivule BambuchaSasa kivule Ina nini kule makaluoni mwa wilaya ya Ilala.
Kivule ipi utuambie maana nayo kubwa vile vile
Msamehe anamipaka ya mawazoUmetoka Ilala na hukuwa na JERO? Kulikuwa na haja gani ya kupaita Temeke Uswahilini ilhali nyote mnabangaiza tu!?
pugu ni ilala hiyoHivi Pugu nayo siipo Temeke, aisee kule pia hali si shwari ,ukipita na SGR juu unakutana na bati zimechakaa sio poa, vijumba mbanano, meza za wauza matumbo, vichwa vya kuku etc
itakua viwege huko au chakenge🤣🤣Sasa kivule Ina nini kule makaluoni mwa wilaya ya Ilala.
Kivule ipi utuambie maana nayo kubwa vile vile
Okay 👍Yaani hili bandiko lako naweza sema ngedere anamshangaa nyani....
Aisee..Kwa uzi huu ulioleta naona watu wamekuonea huruma wewe pamoja na hao watoto
Na hapo bado Trump hajaanza kukabia Juu..Mimi ninakaa Wilaya ya Ilala. Jana nilikuwa Wilaya ya Temeke (mtoni kwa Aziz Ally) nilishuhudia mida ya mchana badala ya mama kuwapikia watoto (watoto walitoka kucheza wakaja kulalamika njaa inawauma) akawapa 500 wote wawili wakanunue bagia na askrimu (ice cream) na ndio imetoka hiyo mpaka Usiku, kulingana na maelezo ya mwenyeji wangu. Sema na mimi nilikuwa majalala, nilibakiwa na nauli tu 2,000, laiti kama ningekuwa na kitu chochote ningeweza kuwaongezea hata 500 nyingine aisee.
Kama hauna pesa ya kumsaidia mtoto masikini, basi mkumbuke hata wakati wa sala au swala.
Daah, uswahilini panatisha wadau, hususan kwa watoto wadogo.
Mbona haujasema na kwa wilaya za sasa?Kwa Wilaya za zamani, Temeke is the poorest of all in Dar Es Salaam..
KinondoniHivi Tandale ipo wilaya gani