Mnaokaa Uswahilini (Wilaya ya Temeke) Mungu awafanyie wepesi ndugu zangu. Jana machozi yalinitoka

Mnaokaa Uswahilini (Wilaya ya Temeke) Mungu awafanyie wepesi ndugu zangu. Jana machozi yalinitoka

Sio kweli wewe bado hujaitembelea Dar vizuri na hupajui Dar vizuri kuna area ukienda utasema hapa sio Dar ni New York, cha kukushauri fanya utalii wa Ndani tembelea maeneo tofauti ingia majengo mengi mengi mengi utakuja kunielewa ukitoka huko kwenye mijengo hamia upande wa pili ukawaone watu wanavyoishi hapa nyumba pale choo
Sijaishi ushuani Ila nimepata mialiko mingi so far sioni kwenye misosi cha ajabu coz wazee wangu walikuwa vizuri kipindi tunakuwa.....

Exposure nimezipata mapema kidogo.......

Lakini dar bado wenye njaa ni wengi
 
....ni wengi mnoo mkuu.
 
Kule mbagala Kuna sehemu wanauza ngozii na kende za mbuzi/ ngombe Kuna utumbo wa kuku Kuna supu ya miguu ya nguruwe

Balaa Kuna rafiki angu mmoja alikua anapitia magumu akawa anaenda kula ngozi na supu yake yaan fresh kabisa..
Hivi tule tumishikaki, visamaki vya kukaanga na mihogo ya koko bichi, wanaowekewa kule ni wa Mbagala?
 
Unabakiwa na elf 2, halafu unawaita watu wanaishi uswahilini. Je ukipata dharura hiyo elf 2 itakufaa nini?
 
Back
Top Bottom