Mnaokaa Uswahilini (Wilaya ya Temeke) Mungu awafanyie wepesi ndugu zangu. Jana machozi yalinitoka

Mnaokaa Uswahilini (Wilaya ya Temeke) Mungu awafanyie wepesi ndugu zangu. Jana machozi yalinitoka

Ila Kinondoni ndio kiboko maana inamiliki Mwananyamala, Tandale, Kinondoni mkwajuni na viunga vyake, kuna sehemu nimeisahau jina nako kuna hayo maisha ya jero jero. Daaah.
Vingunguti iko ilala pia ndugu yangu.
Kwa ufupi wakazi wa Dar es salaam hasa wazawa wana hali ngumu sana.
 
Kipindi nakula mdudu nimekula sana. Masikio ya nguruwe miguu hiyo 😂😂 saa hizi hapana aseeh

Nimekuwa mlaji wa nguruwe sana lakini kichwa Cha nguruwe sijawahi kiona 😂
Inawezekana ulikula yule mnyama wa Iringa, huwa kichwa chake kinafichwa
 
Back
Top Bottom