Simao Latino
JF-Expert Member
- Jan 11, 2025
- 477
- 608
- Thread starter
- #161
Yes. Pametuli sana mkuu. Tulikuwa tunatoka Keko Machungwa kwenda kuchota maji huko kwa mkokoteni, enzi hizo maji ni ya shida sana miaka ya 2001Maeneo yote hayo kumetulia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes. Pametuli sana mkuu. Tulikuwa tunatoka Keko Machungwa kwenda kuchota maji huko kwa mkokoteni, enzi hizo maji ni ya shida sana miaka ya 2001Maeneo yote hayo kumetulia.
Kule kwenye Magereji wanapopaki Magari ya Mizigo kutoka mikoani au unapazungumzia wapi?Hivi wilaya ya Temeke kule Kurasini kulikuwa na sehemu zilikuwa poa sana bado wame maintain au kushaharibika nako siku hizi?
Unajua maana unafuu?? Tanzania na Burundi zote ni third world countries ila Tanzania kuna nafuu.Unafahamu kama Vingunguti na Buguruni Mnyamani ni Ilala?
80% ya Temeke. Upo sahihi sana mkuu..Sehemu kubwa ya wilaya ya Temeke si mahali sahihi pa kuishi binadamu
Nyuma ya Police college pamoja na kule kota za Bandari kanisa katoliki st. Maurus..Kule kwenye Magereji wanapopaki Magari ya Mizigo kutoka mikoani au unapazungumzia wapi?
80% ya Temeke. Upo sahihi sana mkuu..
Nyuma ya chuo cha diplomasia bado ni pazuri..Hivi wilaya ya Temeke kule Kurasini kulikuwa na sehemu zilikuwa poa sana bado wame maintain au kushaharibika nako siku hizi?
I lived there for 24 years before shifting to ilala..Kuishi Temeke tu peke yake ni ishara ya mtu kuwa masikini na ana mambo ya kiswazi
Temeke si mahali sahihi pa kuishi binadamu anayejielewa
Yeah. Nimepakumbuka pale kulikuwa na dada mmoja anaitwa Bijou, mtaa wao uko poa sana pale.Nyuma ya chuo cha diplomasia bado ni pazuri..
Kwa mara ya kwanza nimekutana na member wa JF aliyesema ukweli.Yes. Pametuli sana mkuu. Tulikuwa tunatoka Keko Machungwa kwenda kuchota maji huko kwa mkokoteni, enzi hizo maji ni ya shida sana miaka ya 2001
Niliishi Temeke kwa miaka 24 kabla ya kuhamia Ilala..Mama mmoja anawakilisha wilaya nzima ya temeke, elimu ya tz hoyeeee
Kwanini mkuu?? Is JF full of liars??..Kwa mara ya kwanza nimekutana na member wa JF aliyesema ukweli.
Mdau mwandamizi senior 😊😊Kwann 😂
Inawezekana ulikula yule mnyama wa Iringa, huwa kichwa chake kinafichwaKipindi nakula mdudu nimekula sana. Masikio ya nguruwe miguu hiyo 😂😂 saa hizi hapana aseeh
Nimekuwa mlaji wa nguruwe sana lakini kichwa Cha nguruwe sijawahi kiona 😂
VingungutiMr simao hujawah kuwa na akili 😂 yaani Juzi shule ya bunge Leo Temeke ulikuwa Temeke ipi hiyo
Unakaa ilala kama wilaya au eneo la ilala boma, bungoni au wapi ?
Iko Kinondoni 😭😭😭Hivi Tandale ipo wilaya gani