zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Sio kweli wewe bado hujaitembelea Dar vizuri na hupajui Dar vizuri kuna area ukienda utasema hapa sio Dar ni New York, cha kukushauri fanya utalii wa Ndani tembelea maeneo tofauti ingia majengo mengi mengi mengi utakuja kunielewa ukitoka huko kwenye mijengo hamia upande wa pili ukawaone watu wanavyoishi hapa nyumba pale chooUpo sahihi mimi sioni Cha kubishana dar karibu kote Hali ni ile ile
wapo wanaoshindia mihogo, viazi, au supu , chai au wengine pasi ndefu hizo zote naelewa
wapuuze tuu