Mnaokaa Uswahilini (Wilaya ya Temeke) Mungu awafanyie wepesi ndugu zangu. Jana machozi yalinitoka

Jamaa mna mwandama buree..Ali maanisha kwa siku ya Jana alipo enda temeke alikua na fixed budget kiasi kwamba asinge weza kutoa jero ingine ya ziada.πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£

Nimemuelewa mtoa thread 🧡
Mzee wangu na wewe unaish wapi πŸ˜‚ πŸ˜‚

Mimi Tandale kwa bi nyauπŸ˜‚πŸ˜
 
Okay mjibu kwa aina fulani politely usipoona akapunguza mwendo mwenyewe.....

Trust me Man don't do that....

Mjibu kwa hoja

Chali wangu ishi humo πŸ‘Š
Ile ID yangu original ya mwaka 2011 ndio nilikuwa polite ila sio sasa mkuu. Watu wananizoea vibaya..
 
Mkuu, hawa watoto wa 2,000 walioivamia JF, utawaweza basi..
Watu wa Temeke wamekuja juu wanaona km umewafanyia namna gani kwenye maeneo yao kuwafanyia utalii wa ndani wa kushtukiza bila kuwapa taarifa halafu mtalii wao ulivyo huna hata soni unatembea na nauli 2 tu hubebi hata hela ya maji ya kunywa au soda km dharula
 
Mkuu, nilianzia Kigamboni, Posta, alafu mwisho Temeke, hivyo nikabakiwa na 2,000 tu kwenye mfuko wa shati
 
Njia pekee ya kuwasadia watoto maskini ni kuboresha elimu ya uzazi wa mpango; yaani huko uswahili Watu wanazaa kama panya na ukiuliza historia ya mababa wa watoto hao unaweza kata tamaa; unakuta mwanamke mmoja ana watoto 5 kwa mababa tofauti na kila baba hasimamii majukumu yake
 
Na hao ndo wanaoenda shule za serikali za kata, wapo darasani na njaa kuanzia Primary mpaka Sekondari unatarajia wafaulu.
 
Sad indeed
 
Mzee wangu na wewe unaish wapi πŸ˜‚ πŸ˜‚

Mimi Tandale kwa bi nyauπŸ˜‚πŸ˜
Mimi nashinda wilaya ya ilala 3/4 ya muda WANGU...then 1/4 ya muda WANGU naenda kulala temeke... Hiyo ndio cyclolic process in day to day activities πŸ˜…πŸ˜…β˜ΊοΈβ˜ΊοΈπŸ˜Š

NB.
Kuhusu makazi napo kaa niliyo yaandika hapo juu ni uongo na upotoshaji mkubwa ni puuzwe 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…