Mnaokaa Uswahilini (Wilaya ya Temeke) Mungu awafanyie wepesi ndugu zangu. Jana machozi yalinitoka

Wanazaa wanini? Yaani uhurumie mtu anaezaa bila mpango?
 
Kwenye maisha tusiwe polite sana. Tuwe wakali kidogo pale unapohitajika..
Nimekupata vyema simaanishi akikuita mbwa ukae kimya no!!

Tumia lugha ambayo itamfikirisha mara mbili as you say!! Ila matusi sio ukali

Ukali tumia kwenye maneno

Kuna jamaa alinivaa humu nikamjibu bila kumtuksna en alivyo reply akaombs yaishe so hivyo

Tuishi humo πŸ‘Š acha jazba πŸ˜‚
 
Nzurii hii..
 
Sasa km ndio kitu pekee wanachokipenda hapa duniani kuliko vitu vingine vyovyote unataka nini kitokee?
 
Poa mkuu. Nimekusoma..
 
Nature italea,watakaosavaivu hadi mwisho ndo watakaoshinda.Wazaliane tu na Chalamila afute kauli ya kwamba eti waende na gloves,wataweza wapi watu wa aina hiyo?
Mimi maneno ya chalamila yamenitia kinyaa! Wacha aendelee kuropoka upumbavu wakati huu ni mwaka wa uchaguzi! Huyu bwana nahisi dishi lake haliko sawa ndiyo hata wakati yuko Mwanza aliwahi kusema upumbavu hadi Samia akalazimika kumuweka pembeni kwa muda.
 
Huo ndio uchumi wa Bluu mnaoambiwa unapigwa mwingi
 
Mkuu, kwani Challer-miller kasemaje tena??..
 
Maisha ya dzm Yana mfanano flani ambao hatutofautianii sana

Ambapo naona hata uswahilini huko wako vzr tuu

Pengine huyo mama mvivu kupika lkn kwa bajeti ya buku mbili akiwa na mkaa au gas mbona anakula vzr tuu πŸ˜‚πŸ˜‚

Nihamie keko Kuna supu na chapati tamu pale MSD pale πŸ˜‹πŸ˜
 
We ambaye ulikuwa majalala unayeishi Ilala una tofauti ipi na huyo uanmuona ni wa uswahilini??? Ngoja tukuombee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…