Mnaokejeli, shambulia na kutukana Roman Church, hivi mnafahamu historia na mission ya hilo dude?

Rungwe88

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2013
Posts
353
Reaction score
722
Kuna kitu nimeona nikieleze kuhusu Roman Catholic church baada ya kuona Kuna watu hapa nchini Tanzania wanatukana, wanashambulia watumishi wakatoliki, wanakejeli katoliki (TEC) n.k kwakutumiwa na wanasiasa wasio na akili pia walioishiwa hoja na wasiosoma historia kutoka CCM pia watanzania wengine kwa misingi ya itikadi za kidini.

Hiki kitu nawakumbusha kwa kutowatisha bali uhalisia wa jambo lenyewe yani Roman Catholic church ( Roman Empire au Byzantine Empire).
Nitaeleza kwa kifupi ili nieleweke,
Roman imekuwepo kabla ya ujio wa Yesu Kristo kabla ya ujio wa mtume Mohammad (SAW) na imeendelea kuwepo hadi Sasa katika mifumo tofauti ya Kisiasa, Kiuchumi, Kidini, Teknolojia n.k

Hao ndio walioanzisha Kalenda unayotumia Leo yenye miezi kumi na mbili, mifumo ya Sheria, uhandisi, mipango miji, utawala, mbinu za kivita n.k hao watu wanaijua historia ya Dunia, Siri za Dunia n.k kuliko kawaida.

Hao ndio wanaitawala Dunia kwa upande usioonekana kwa kuwatumia UK na USA kwa sasa, pia hao watu wako hadi mlangoni kwako na wana taarifa za mambo Yako unayofanya kila siku.

Hao watu wanavyuo vikuu, hospital, orphanage center, shule n.k Dunia nzima.
Msidanganywe na hao wanasiasa wa CCM wasio na akili kwamba mnaweza kuwakejeli, kutukana au kushambulia Roman Catholic church na Kisha kuwavuruga, katika hilo mnajisumbua sababu hao watu wana intelejesia kubwa kuliko unavyojua wewe, wana wasomi wa kiwango Cha juu duniani, wanauchumi mkubwa zaidi kuliko hata nchi yetu hii mnayofikiri ni tajiri.
Mnatakiwa mjue kwamba kiongozi wao mkuu yana Papa (Pope) ndio kiongozi pekee wa dini anayeingia United Nations (UN) General Assembly na kuhutubia.

Baadhi ya mapambano ya kihistoria waliyofanya ni pamoja na.

1. Kuvuruga Ukristo halisi na kuleta ukristo feki uliopo Sasa kutoka kikao Chao cha Nicea
(Nicea Conference)

2. Vita ya msalaba (Crusade War) kuzuia ueneaji wa uislamu duniani na wakafanikiwa Kisha kuvuruga uislamu halisi kwa kuleta uislamu feki uliopo sasa.

Kuendelea kuvuruga uislamu na ukristo kwa kupiga nchi zote zinazoendelea kushikilia itikadi Kali za kiislam au kikristo, kwa upande wa nchi za kikristo walishamalizana nazo Sasa zimebaki nchi za kiislamu kama Iran kwa kuwatumia vibaraka wake yani USA, UK, Israel, EU n.k

Kwa kifupi huyo ndio shetani mwenyewe je mtamuweza?
Kazi kwenu
 
Japo mimi sishabikii masuala ya udini na pia siamini uwepo wa mungu lakini kwa sababu nilizaliwa na kukulia kwenye familia inayoamini katika dhehebu la RC na Kwa vile RC wanazidi kuwachachafya serikali ya CCM nazidi kusema kuwa nitazidi kuwa mkatoliki asiyeamini uwepo wa mungu hadi mwisho wa maisha yangu.

Full stop.
 
Hongera kwakuwa mkweli
 
Kuna kitu nimeona nikieleze kuhusu Roman Catholic church baada ya kuona Kuna watu hapa nchini Tanzania wanatukana, wanashambulia watumishi wakatoliki, wanakejeli katoliki (TEC) n.k kwakutumiwa na wanasiasa wasio na akili pia walioishiwa hoja na wasiosoma historia kutoka CCM pia watanzania wengine kwa misingi ya itikadi za kidini.

Hiki kitu nawakumbusha kwa kutowatisha bali uhalisia wa jambo lenyewe yani Roman Catholic church ( Roman Empire au Byzantine Empire).
Nitaeleza kwa kifupi ili nieleweke,
Roman imekuwepo kabla ya ujio wa Yesu Kristo kabla ya ujio wa mtume Mohammad (SAW) na imeendelea kuwepo hadi Sasa katika mifumo tofauti ya Kisiasa, Kiuchumi, Kidini, Teknolojia n.k

Hao ndio walioanzisha Kalenda unayotumia Leo yenye miezi kumi na mbili, mifumo ya Sheria, uhandisi, mipango miji, utawala, mbinu za kivita n.k hao watu wanaijua historia ya Dunia, Siri za Dunia n.k kuliko kawaida.

Hao ndio wanaitawala Dunia kwa upande usioonekana kwa kuwatumia UK na USA kwa sasa, pia hao watu wako hadi mlangoni kwako na wana taarifa za mambo Yako unayofanya kila siku.

Hao watu wanavyuo vikuu, hospital, orphanage center, shule n.k Dunia nzima.
Msidanganywe na hao wanasiasa wa CCM wasio na akili kwamba mnaweza kuwakejeli, kutukana au kushambulia Roman Catholic church na Kisha kuwavuruga, katika hilo mnajisumbua sababu hao watu wana intelejesia kubwa kuliko unavyojua wewe, wana wasomi wa kiwango Cha juu duniani, wanauchumi mkubwa zaidi kuliko hata nchi yetu hii mnayofikiri ni tajiri.
Mnatakiwa mjue kwamba kiongozi wao mkuu yana Papa (Pope) ndio kiongozi pekee wa dini anayeingia United Nations (UN) General Assembly na kuhutubia.

Baadhi ya mapambano ya kihistoria waliyofanya ni pamoja na.

1. Kuvuruga Ukristo halisi na kuleta ukristo feki uliopo Sasa kutoka kikao Chao cha Nicea
(Nicea Conference)

2. Vita ya msalaba (Crusade War) kuzuia ueneaji wa uislamu duniani na wakafanikiwa Kisha kuvuruga uislamu halisi kwa kuleta uislamu feki uliopo sasa.

Kuendelea kuvuruga uislamu na ukristo kwa kupiga nchi zote zinazoendelea kushikilia itikadi Kali za kiislam au kikristo, kwa upande wa nchi za kikristo walishamalizana nazo Sasa zimebaki nchi za kiislamu kama Iran kwa kuwatumia vibaraka wake yani USA, UK, Israel, EU n.k

Kwa kifupi huyo ndio shetani mwenyewe je mtamuweza?
Kazi kwenu
maCCM hayana akili yamekaa kijinga jinga sana ndo maana.yameua maelfu ya vijana MO29
 
Gwa kukaja, bhakupele ubhwalwa??
Keta kujobhanika isi sikajapo??

Wewe ni msabato?? Huwa mnalishawa matangopoli sana, mnawakuza sana wakatoliki aisee.

Kwa mimi ambae ni mkatoliki jina, nawaangaliaga nasema hiii (in Magu voice) mnawakuza sio poa.
Mbombo ngafu,
Unajua Kunavitu vya kuambiana ukweli ndugu,
Mimi sio Roman Catholic ila nimesoma history ya hao jamaa ndugu hao jamaa wanatisha sana, na nafikiri hawajaamua kuonesha makucha yao wazi au wanasubiri mda sahihi
 
Nimeipenda hii 😃😃😃

Msidanganywe na hao wanasiasa wa CCM wasio na akili kwamba mnaweza kuwakejeli, kutukana au kushambulia Roman Catholic church na Kisha kuwavuruga, katika hilo mnajisumbua sababu hao watu wana intelejesia kubwa kuliko unavyojua wewe, wana wasomi wa kiwango Cha juu duniani, wanauchumi mkubwa zaidi kuliko hata nchi yetu hii mnayofikiri ni tajiri.
 
Mkuu, unafikiri aliyetoa wazo la kuwaandamisha Wakatoliki wa mchongo alikuwa mjinga? Shida ya Wafrica ni kupenda kutumia middle men.

Middle men kimsingi ni madalali, machawa na wasiojali kupoteza. Naamini; bosi alimpa maelekeza mpambe; kwasababu ya njaa na low IQ akaenda kuokota. Mwishowe kamuaibisha bosi.

Sometimes, mission fails, but how? Management decides.

My thoughts..
 
Ndio maana niliandika sio kama nawatisha ila huo ndio ukweli,

Kuna vitu CCM wanafanya kwa mazoea kwa kujua au kutokujua, ile hatua ya yule mwanamke raisi kilaza kuanza kuigusa TEC ni hatari sana kwake binafsi na chama chake.
Roman sio watu ni mashetani kwenye mwili wa binadamu.
 
Mimi ni Mroma pure.

Babu yangu Ambae ana miaka 104 sasa hivi aliishi Israel hadi aliporudi Tz enzi za mwinyi na kufanya kazi kwenye taasisi Fulani ya kilimo. Babu ni Mroma pure,japo kwa sasa hawezi Tena kwenda church anapokea sakramenti home.

Baba alisoma Roma(seminary).

Mimi nikahudumu madhabauni tangu darasa la 3.

Form one Nilichaguliwa shule ile ile aliyosoma Mzee,aliyosoma Membe na Mkapa.

Kwa historia hii fupi,itoshe kusema vingine umetia chumvi na vingine ni uongo kabisa.

Ila nakubali RC ni taasisi yenye nguvu kubwa na ushawishi,siyo bongo tu,Bali pia the entire world.
 
Mkuu, unafikiri aliyetoa wazo la kuwaandamisha Wakatoliki wa mchongo alikuwa mjinga? Shida ya Wafrica ni kupenda kutumia middle men.

Middle men kimsingi ni madalali, machawa na wasiojali kupoteza. Naamini; bosi alimpa maelekeza mpambe; kwasababu ya njaa na low IQ akaenda kuokota. Mwishowe kamuaibisha bosi.

Sometimes, mission fails, but how? Management decides.

My thoughts..
Ule ni utoto walikua wanafanya, yule kilaza samia angekua anajua ukubwa halisi wa Roman Catholic church nafikiri kwanza angeomba maridhiano na wao kabla ya mambo yote.

Kuna wakati yule katibu mkuu wa TEC aliongea kirahisi sana kwamba alimuomba katibu wa bunge la Umoja wa Ulaya kwamba wasikate misaada kwenye sekta za kijamii kama afya, elimu n.k na yule mbunge wa bunge la Ulaya akakubali, Sasa sio jambo dogo hilo bali ni nguvu ya ushawishi duniani.
 
Mimi ni Mroma pure.

Babu yangu Ambae ana miaka 104 sasa hivi aliishi Israel hadi aliporudi Tz enzi za mwinyi na kufanya kazi kwenye taasisi Fulani ya kilimo. Babu ni Mroma pure,japo kwa sasa hawezi Tena kwenda church anapokea sakramenti home.

Baba alisoma Roma(seminary).

Mimi nikahudumu madhabauni tangu darasa la 3.

Form one Nilichaguliwa shule ile ile aliyosoma Mzee,aliyosoma Membe na Mkapa.

Kwa historia hii fupi,itoshe kusema vingine umetia chumvi na vingine ni uongo kabisa.

Ila nakubali RC ni taasisi yenye nguvu kubwa na ushawishi,siyo bongo tu,Bali pia the entire world.
Ni vyema ukaainisha nilivyosema uongo na nilivyotia chumvi ili pia nipate kujifunza na twende pamoja kwa hoja
 
Labda ni kweli hawana nguvu hiyo,lakini wako Very smart kwenye mambo yao!
Ninachowakubali Huwa hawapigani lakini wewe utakayejipendekeza kupigana nao utapigana ukichoka unakaa pembeni wao wanaendelea na mambo yao!!
 
Back
Top Bottom