Tusitishane hapaAcha kujidanganya kijana,
Kuna mengi usiyoyajua.
Kwanza hiyo kauli kwamba Taifa halina dini hujui ilitoka wapi na hata maana ya hiyo kauli haujui.
Unachanganya watu, historia mnasoma wapi ? Huwezi kuitukuza dola kwa habari za uongo.Nitaeleza kwa kifupi ili nieleweke,
Roman imekuwepo kabla ya ujio wa Yesu Kristo kabla ya ujio wa mtume Mohammad (SAW) na imeendelea kuwepo hadi Sasa katika mifumo tofauti ya Kisiasa, Kiuchumi, Kidini, Teknolojia n.k
Miezi 12 ni jambo ambalo ameliweka Allah tangu ameaumba mbingu na ardhi. Kingine kutumia kalenda yao haimaanishi wao ndio wajuzi au wenye akili kuzidi wengine, sababu jamii nyingi zina kalenda zao, hata sisi Waislamu tuna Kalenda yetu hata mitume walio pita kabla ya hao Waromani walikuwa na kalenda na namna bora kuhesabu masiku yao.Hao ndio walioanzisha Kalenda unayotumia Leo yenye miezi kumi na mbili, mifumo ya Sheria, uhandisi, mipango miji, utawala, mbinu za kivita n.k hao watu wanaijua historia ya Dunia, Siri za Dunia n.k kuliko kawaida.
Roman Catholics ni zaidi ya kanisa, vilaza wengi wa CCM hawajui hili.
Chama chao wanaona ni kikubwa kuliko kila kitu hapa Tanzania kumbe Kuna watu wanaotawala hii Dunia wanawachora tu.
Roman Catholic wamepitia mambo mengi kwa miaka zaidi ya elfu mbili waliyokuwepo hapa duniani, wanauzoefu na tawala za Dunia kwa miaka mingi na katika nchi nyingi hivyo wanapotoa walaka ni kwamba wanajua wanachokifanya.
Kilaza samia anawatunishia mashavu, inasikitisha sana
Unajua maana ya majina ya hiyo miezi 12 kwenye Gregorian Calendar?Miezi 12 ni jambo ambalo ameliweka Allah tangu ameaumba mbingu na ardhi. Kingine kutumia kalenda yao haimaanishi wao ndio wajuzi au wenye akili kuzidi wengine, sababu jamii nyingi zina kalenda zao, hata sisi Waislamu tuna Kalenda yetu hata mitume walio pita kabla ya hao Waromani walikuwa na kalenda na namna bora kuhesabu masiku yao.
Uongo wa hizo habari ni upi?Unachanganya watu, historia mnasoma wapi ? Huwezi kuitukuza dola kwa habari za uongo.
Unaongelea Roman ya wapagani kama dola au unaongelea Ukatoliki ?
Umechanganya mafaili mzeeTusitishane hapa
Kila dhehebu lina aina yake ya ku run mambo yake
Kujifariji kwamba sijui rc ina hiki mara kile hata madhebu mengne yana huo umiliki
Rc hawana uwezo wa ku override madhehebu mengne wala serikali.
Hz kelele peleken huko wakati mkiwa mnajiungamanisha na mizimu ya brian deacon na kumuacha MUNGU wa kweli.
kila dhehebu litafanya mambo yake
serikali itafanya mambo yake
msitutishe na vinadharia vya nyakati na wakati wa ulimwengu wa giza kwa nyakati hzi.
Kwanza rc ni nani
ENDELEENI KUWAHARIBU VIJANA NA WAKIFURAHISHWA MNABAKIA KUSOMA NYARAKA NA KUTAKA IDADI YA WALIOFURAHISHWA.
Kuna watu najua wapo CCM wanaujua huo ukweli ila inawezekana hawajaongea huo ukweli au wameongea na hawajasikilizwa au wamepuuzwa na samia na genge lake la vilaza wakina mchengerwaHajawahi kupewa hii Shule, hawajui kuwa Papa Leo yeye pia ndiyo Spy Master wa Dunia, kushinda hata Marais wote wa hii Dunia, hata KATIBU MKUU UN hamfikii