Mnaokejeli, shambulia na kutukana Roman Church, hivi mnafahamu historia na mission ya hilo dude?

Mnaokejeli, shambulia na kutukana Roman Church, hivi mnafahamu historia na mission ya hilo dude?

Ule ni utoto walikua wanafanya, yule kilaza samia angekua anajua ukubwa halisi wa Roman Catholic church nafikiri kwanza angeomba maridhiano na wao kabla ya mambo yote.

Kuna wakati yule katibu mkuu wa TEC aliongea kirahisi sana kwamba alimuomba katibu wa bunge la Umoja wa Ulaya kwamba wasikate misaada kwenye sekta za kijamii kama afya, elimu n.k na yule mbunge wa bunge la Ulaya akakubali, Sasa sio jambo dogo hilo bali ni nguvu ya ushawishi duniani.
Upo sahihi. Ndio maana nikasema unafikiri aliyetoa mchongo hajui ukubwa wa RC? Middle men, maybe, due to the Ignorance, wameharibu kazi. Huenda watakuwa kikaangoni.
 
Upo sahihi. Ndio maana nikasema unafikiri aliyetoa mchongo hajui ukubwa wa RC? Middle men, maybe, due to the Ignorance, wameharibu kazi. Huenda watakuwa kikaangoni.
Kuna ukweli mchungu watu wanatakiwa kuujua kwamba,

Mwenye uwezo wa kuizuia Roman Catholic duniani na mission zake hapa duniani ni Mwenyezi Mungu muumba peke yake.
 
Gwa kukaja, bhakupele ubhwalwa??
Keta kujobhanika isi sikajapo??

Wewe ni msabato?? Huwa mnalishawa matangopoli sana, mnawakuza sana wakatoliki aisee.

Kwa mimi ambae ni mkatoliki jina, nawaangaliaga nasema hiii (in Magu voice) mnawakuza sio poa.
Ukana mahala,wakatoliki sio size yako.utulie na chura kiziwi wenu,mtaipata fresh
 
Ndilo Kanisa linalo ongoza Duniani kwa nyakati nyingi kufanya uhalifu dhidi ya binadamu ambao hakuna Kanisa lingine limewahi kuifikia uovu wao.
Kanisa Katoliki apa Nchini kupitia TEC limefeli katika mpango wa kuipindua serikali ila Kuna maeneo mengi Limetumika/ Shawishi mauaji na vita ya mojakwamoja.

Kanisa Katoliki limehusika katika vurugu za mauaji ya kimbali Rwanda, Migogoro ya DRC, Asia, Europe, Middle East, America n.k

Kule Canada limefanya umafia mkubwa ,kutesa kuua kubaka, Kufira n k
Hakuna Duniani taasisi ya kidini iliyo Fanya uhalifu wa kiwango cha juu sana zaidi ya Kanisa Katoliki.

Ni mbumbumbu pekee asiyejua history ya Kanisa Catholic aka simama mbele za watu na kudai Kanisa Katoliki ni taasisi ya kusimamia haki.

Katafute / Kasome ujue historia ya Kanisa katoliki na uhalifu mkubwa iliyofanya hautajaribu Tena kulitetea ilo Kanisa.
Mapapa Wamekua wakiomba msamaha na kulipa fidia kwa Jamii mbalimbali zilizo athirika na matukio ya Kanisa katoliki Duniani.
 
Muziki wa kanisa Catholic wakiamua kumtengeneza mtu yeyote kwenye hii Dunia wanaweza niliwahi kusikliza history ya Fidel Castro wa Cuba ambaye ni Zao la hao kanisa Catholic alivyomuenyesha Rais Wa USA nadhan ni Kennedy Hadi akalazwa usingizi wa milele
Hawa jamaa wanashikilia uchumi wa Dunia kwahy lolote watakalotaka wanapata bila ata kutumia silaha isipokuwa akili na intelejensia zao
 
Mbombo ngafu,
Unajua Kunavitu vya kuambiana ukweli ndugu,
Mimi sio Roman Catholic ila nimesoma history ya hao jamaa ndugu hao jamaa wanatisha sana, na nafikiri hawajaamua kuonesha makucha yao wazi au wanasubiri mda sahihi
Conspiracy theories zinakudanganya.
Una hakika habari ulizosoma kuhusu wao ni sahihi?

Kwa nini?
 
Ndio maana niliandika sio kama nawatisha ila huo ndio ukweli,

Kuna vitu CCM wanafanya kwa mazoea kwa kujua au kutokujua, ile hatua ya yule mwanamke raisi kilaza kuanza kuigusa TEC ni hatari sana kwake binafsi na chama chake.
Roman sio watu ni mashetani kwenye mwili wa binadamu.
mfalme akileta za kuleta atajikuta amefika mwenyewe vatican kuomba msamaha/toba
 
Hili hili Kanisa Katoliki ni hatari nakumbuka mwaka 2011 /2012 kuna Askofu wao kule Zanzibar alipigwa risasi na kuuwawa.

Yalikuja Makomandoo yaliendesha operation pale Zanzibar yule muuaji alikamatwa Mombasa akiwa anatotoka

Halafu leo hii Vyawa wa mbogamboga wanafanya propaganda za kitoto sijui huu Muziki hawaujui na wanataka waucheze?
 
Kina padre kitime wakivaa madera yao ndo huwa wanawadanganya hivyo?
 
Ndilo Kanisa linalo ongoza Duniani kwa nyakati nyingi kufanya uhalifu dhidi ya binadamu ambao hakuna Kanisa lingine limewahi kuifikia uovu wao.
Kanisa Katoliki apa Nchini kupitia TEC limefeli katika mpango wa kuipindua serikali ila Kuna maeneo mengi Limetumika/ Shawishi mauaji na vita ya mojakwamoja.

Kanisa Katoliki limehusika katika vurugu za mauaji ya kimbali Rwanda, Migogoro ya DRC, Asia, Europe, Middle East, America n.k

Kule Canada limefanya umafia mkubwa ,kutesa kuua kubaka, Kufira n k
Hakuna Duniani taasisi ya kidini iliyo Fanya uhalifu wa kiwango cha juu sana zaidi ya Kanisa Katoliki.

Ni mbumbumbu pekee asiyejua history ya Kanisa Catholic aka simama mbele za watu na kudai Kanisa Katoliki ni taasisi ya kusimamia haki.

Katafute / Kasome ujue historia ya Kanisa katoliki na uhalifu mkubwa iliyofanya hautajaribu Tena kulitetea ilo Kanisa.
Mapapa Wamekua wakiomba msamaha na kulipa fidia kwa Jamii mbalimbali zilizo athirika na matukio ya Kanisa katoliki Duniani.
Upo sahihi kwa ulichoandika na ndio maana nikawapa tahadhari hao vilaza wa CCM wakiongozwa na hicho kimama chao kilaza promax kwamba mchezo wanaocheza na Catholic ni hatari.
Hao Roman Catholic ni zaidi ya kanisa na wanasura nyingi.
Kuna mda wanavaa sura ya haki ila usiombe ukutane nao wakiwa na sura ya kimafia hao ni shetani wakutisha
 
Back
Top Bottom