Una point hapa expert wanguUkweli ni kuwa watu wa mijini wako busy na mambo yao ya msingi. Wakulima mtaendelea sana kusombwa na malory kama nyanya masalo.
Kaa kwa kutulia uchomwe sindano ya tkoWazee wa video mnemba za polepole vipi afya zenu Leo mmeamkaje, jipimeni kisukari wakuu huu moto wa CCM mwaka huu ni mkali sana, nadhani mnaona wenyewe Sasa nchi nzima ni CCM.
Huwa tunawaonya kukesha mnaangalia video pori za polepole hamskiii lakini nadhani Sasa mmeelewa kuwa polepole ni tapeli watu kwa umoja wetu tushasema tunaenda Dr. Samia Suluhu Hassan na wabunge wa CCM.
Niliwaonya kukesha mnaangalia video za kitapeli za polepole hamkusikia labda kwa wale wenye changamoto za mahusiano hao nawahurumia maana kitanda Cha moto any way twende tukapige kazi.
Sisi watu wa Moro Leo tunampokea jemedali wa siasa, mtaalamu wa siasa Tanzania na Duniani, Rais anayetamkwa sana Duniani Dr. Samia Suluhu Hassan.
KARIBU SANA RAIS WETU🙏🏿🙏🏿
Wale ambao mmewabeba na magari mliyo kodisha na mkaemda kuvishindisha na njaa vibibi vya watu,kweli ccm hamnazo.Wazee wa video mnemba za polepole vipi afya zenu Leo mmeamkaje, jipimeni kisukari wakuu huu moto wa CCM mwaka huu ni mkali sana, nadhani mnaona wenyewe Sasa nchi nzima ni CCM.
Huwa tunawaonya kukesha mnaangalia video pori za polepole hamskiii lakini nadhani Sasa mmeelewa kuwa polepole ni tapeli watu kwa umoja wetu tushasema tunaenda Dr. Samia Suluhu Hassan na wabunge wa CCM.
Niliwaonya kukesha mnaangalia video za kitapeli za polepole hamkusikia labda kwa wale wenye changamoto za mahusiano hao nawahurumia maana kitanda Cha moto any way twende tukapige kazi.
Sisi watu wa Moro Leo tunampokea jemedali wa siasa, mtaalamu wa siasa Tanzania na Duniani, Rais anayetamkwa sana Duniani Dr. Samia Suluhu Hassan.
KARIBU SANA RAIS WETU🙏🏿🙏🏿
Kufa kupo palepale...Kila nafasi itaonja mauti...unatesekea wapi...😳Utakufa unasema time will tell
Mbona ww ndo unaonekana ni maskin kuliko hao unaowasemaUtafikiri wote wameishia la Saba, umasikini ni mbaya kuliko kitu chochote.
Kuuza utu kwa posho ya ya elfu tano na tsheti ni level mbaya sana ya umasikini.
Kuna watu siku ya mwisho watachonwa vibaya sana kwa kutumia vibaya binadamu wenzao.