Konda wa bajaj
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 935
- 1,485
Mimi sio ng'ombe wa binti kiziwi.Wewe ulibaki nyumbani kisukari kimekuzimisha

Hiyo nyomi imejileta au wamesombwa na kulazimishwa kufunga biashara ili kujaza uwanja?.Nyomi ya watu kuja wenyewe ilikuwa ya Magufuli, Lowasa,Lisu na Dr.Slaa.Hii ya sasa hivi ni lazima watu wakusanywe, wapewe posho na wanafunzi kusombwa ili kujaza mikutano.Mwambie aitishe mkutano bila watu kulazimishwa uone atapata wangapi.Wazee wa video mnemba za polepole vipi afya zenu Leo mmeamkaje, jipimeni kisukari wakuu huu moto wa CCM mwaka huu ni mkali sana, nadhani mnaona wenyewe Sasa nchi nzima ni CCM.
Huwa tunawaonya kukesha mnaangalia video pori za polepole hamskiii lakini nadhani Sasa mmeelewa kuwa polepole ni tapeli watu kwa umoja wetu tushasema tunaenda Dr. Samia Suluhu Hassan na wabunge wa CCM.
Niliwaonya kukesha mnaangalia video za kitapeli za polepole hamkusikia labda kwa wale wenye changamoto za mahusiano hao nawahurumia maana kitanda Cha moto any way twende tukapige kazi.
Sisi watu wa Moro Leo tunampokea jemedali wa siasa, mtaalamu wa siasa Tanzania na Duniani, Rais anayetamkwa sana Duniani Dr. Samia Suluhu Hassan.
KARIBU SANA RAIS WETU🙏🏿🙏🏿
Ni kweli hujakosea, lakini utu wangu ni muhimu sana kuliko kujitoa na kijidhalilisha kwamasilahi ya genge la wahuni.Mbona ww ndo unaonekana ni maskin kuliko hao unaowasema
Ile ni nyomi ya mchongo. Dada yangu ni mwalimu huko Kibiti, Jana .allisombwa na gari alfajiri kuja kujaza uwanja. What a shame?Wazee wa video mnemba za polepole vipi afya zenu Leo mmeamkaje, jipimeni kisukari wakuu huu moto wa CCM mwaka huu ni mkali sana, nadhani mnaona wenyewe Sasa nchi nzima ni CCM.
Huwa tunawaonya kukesha mnaangalia video pori za polepole hamskiii lakini nadhani Sasa mmeelewa kuwa polepole ni tapeli watu kwa umoja wetu tushasema tunaenda Dr. Samia Suluhu Hassan na wabunge wa CCM.
Niliwaonya kukesha mnaangalia video za kitapeli za polepole hamkusikia labda kwa wale wenye changamoto za mahusiano hao nawahurumia maana kitanda Cha moto any way twende tukapige kazi.
Sisi watu wa Moro Leo tunampokea jemedali wa siasa, mtaalamu wa siasa Tanzania na Duniani, Rais anayetamkwa sana Duniani Dr. Samia Suluhu Hassan.
KARIBU SANA RAIS WETU🙏🏿🙏🏿
Wazee wa video mnemba za polepole vipi afya zenu Leo mmeamkaje, jipimeni kisukari wakuu huu moto wa CCM mwaka huu ni mkali sana, nadhani mnaona wenyewe Sasa nchi nzima ni CCM.
Huwa tunawaonya kukesha mnaangalia video pori za polepole hamskiii lakini nadhani Sasa mmeelewa kuwa polepole ni tapeli watu kwa umoja wetu tushasema tunaenda Dr. Samia Suluhu Hassan na wabunge wa CCM.
Niliwaonya kukesha mnaangalia video za kitapeli za polepole hamkusikia labda kwa wale wenye changamoto za mahusiano hao nawahurumia maana kitanda Cha moto any way twende tukapige kazi.
Sisi watu wa Moro Leo tunampokea jemedali wa siasa, mtaalamu wa siasa Tanzania na Duniani, Rais anayetamkwa sana Duniani Dr. Samia Suluhu Hassan.
KARIBU SANA RAIS WETU🙏🏿🙏🏿
Mbona Kama unatetemeka mikono mkuu.
Tulia CCM ni moto mwngne utakufa utaiacha
Mkuu sisi tunaendelea kumsikiliza hadi tujue mwisho wake👇👇👇Wazee wa video mnemba za polepole vipi afya zenu Leo mmeamkaje, jipimeni kisukari wakuu huu moto wa CCM mwaka huu ni mkali sana, nadhani mnaona wenyewe Sasa nchi nzima ni CCM.
Huwa tunawaonya kukesha mnaangalia video pori za polepole hamskiii lakini nadhani Sasa mmeelewa kuwa polepole ni tapeli watu kwa umoja wetu tushasema tunaenda Dr. Samia Suluhu Hassan na wabunge wa CCM.
Niliwaonya kukesha mnaangalia video za kitapeli za polepole hamkusikia labda kwa wale wenye changamoto za mahusiano hao nawahurumia maana kitanda Cha moto any way twende tukapige kazi.
Sisi watu wa Moro Leo tunampokea jemedali wa siasa, mtaalamu wa siasa Tanzania na Duniani, Rais anayetamkwa sana Duniani Dr. Samia Suluhu Hassan.
KARIBU SANA RAIS WETU🙏🏿🙏🏿
Wewe mwenyewe kutwa kucha kumjadili Polepole ina maana unamfuatilia sana. Na hiyo nyomi unayosema ile ni sawa na kupiga punyeto huku ukijidanganya kuwa umegonga demu mkali, ile nyomi bandia haiakisi uhalisianwa wa huyo dhalim kukubalika.Wazee wa video mnemba za polepole vipi afya zenu Leo mmeamkaje, jipimeni kisukari wakuu huu moto wa CCM mwaka huu ni mkali sana, nadhani mnaona wenyewe Sasa nchi nzima ni CCM.
Huwa tunawaonya kukesha mnaangalia video pori za polepole hamskiii lakini nadhani Sasa mmeelewa kuwa polepole ni tapeli watu kwa umoja wetu tushasema tunaenda Dr. Samia Suluhu Hassan na wabunge wa CCM.
Niliwaonya kukesha mnaangalia video za kitapeli za polepole hamkusikia labda kwa wale wenye changamoto za mahusiano hao nawahurumia maana kitanda Cha moto any way twende tukapige kazi.
Sisi watu wa Moro Leo tunampokea jemedali wa siasa, mtaalamu wa siasa Tanzania na Duniani, Rais anayetamkwa sana Duniani Dr. Samia Suluhu Hassan.
KARIBU SANA RAIS WETU🙏🏿🙏🏿
Kwa maneno yako sio rais mzuri kwa sababu huwezi kuondoa utekaji na ufisadi kwa yametendeka na yanaendelea kutendeka.Huyo ni rais.
Lazima ifanyike namna tu ili uwanja ujae.
NB: Mabasi ya mikoani kusomba
watu.
Waumini wa Mwamposa.
Ukweli ni kwamba rais hajajibu suala la utekaji na mauaji ambayo aliagiza vyombo vya ulinzi na usalama vichunguze.
Ukiondoa utekaji na ufisadi serikalini, huyu ni rais mzuri saana.