Mnaokesha kuangalia video mnemba za Polepole, mmeamkaje kwa ile nyomi ya uzinduzi wa kampeni za CCM

Mnaokesha kuangalia video mnemba za Polepole, mmeamkaje kwa ile nyomi ya uzinduzi wa kampeni za CCM

Baada ya ufunguzi wa Kampeni hakuna anayefuatilia Kampeni za mgombea wa CCM🤣🤣🤣
 
Huyo ni rais.
Lazima ifanyike namna tu ili uwanja ujae.
NB: Mabasi ya mikoani kusomba
watu.
Waumini wa Mwamposa.
Ukweli ni kwamba rais hajajibu suala la utekaji na mauaji ambayo aliagiza vyombo vya ulinzi na usalama vichunguze.
Ukiondoa utekaji na ufisadi serikalini, huyu ni rais mzuri saana.
Jana walifanya usafiri wa dar kua mgumu magari yalikodiwa na posho watu walilamba.
 
Wazee wa video mnemba za polepole vipi afya zenu Leo mmeamkaje, jipimeni kisukari wakuu huu moto wa CCM mwaka huu ni mkali sana, nadhani mnaona wenyewe Sasa nchi nzima ni CCM.

Huwa tunawaonya kukesha mnaangalia video pori za polepole hamskiii lakini nadhani Sasa mmeelewa kuwa polepole ni tapeli watu kwa umoja wetu tushasema tunaenda Dr. Samia Suluhu Hassan na wabunge wa CCM.

Niliwaonya kukesha mnaangalia video za kitapeli za polepole hamkusikia labda kwa wale wenye changamoto za mahusiano hao nawahurumia maana kitanda Cha moto any way twende tukapige kazi.

Sisi watu wa Moro Leo tunampokea jemedali wa siasa, mtaalamu wa siasa Tanzania na Duniani, Rais anayetamkwa sana Duniani Dr. Samia Suluhu Hassan.
KARIBU SANA RAIS WETU🙏🏿🙏🏿
Ugali kwanza mengine baadae 😂
 
kimbesa unajipiga dole
 
KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE 🇹🇿 OCTOBER TUNATIKI ✅
Bado mnatumia mbinu za kizee kweli kweli kulazimisha kuwa mmakubalika. Sisi tunataka tu tume huru ya uchaguzi, hapo ndio mtajua hilo nyomi la mchongo ni kama kujitekenya na kucheka wenyewe.
 
Utafikiri wote wameishia la Saba, umasikini ni mbaya kuliko kitu chochote.
Kuuza utu kwa posho ya ya elfu tano na tsheti ni level mbaya sana ya umasikini.

Kuna watu siku ya mwisho watachonwa vibaya sana kwa kutumia vibaya binadamu wenzao

Hiyo nyomi imejileta au wamesombwa na kulazimishwa kufunga biashara ili kujaza uwanja?.Nyomi ya watu kuja wenyewe ilikuwa ya Magufuli, Lowasa,Lisu na Dr.Slaa.Hii ya sasa hivi ni lazima watu wakusanywe, wapewe posho na wanafunzi kusombwa ili kujaza mikutano.Mwambie aitishe mkutano bila watu kulazimishwa uone atapata wangapi.
Ukiona mtu kasombwa jua kakubali kusombwa mbona wewe hukusombwa
 
Back
Top Bottom