Mnaokesha kuangalia video mnemba za Polepole, mmeamkaje kwa ile nyomi ya uzinduzi wa kampeni za CCM

Wewe mwenyewe kutwa kucha kumjadili Polepole ina maana unamfuatilia sana. Na hiyo nyomi unayosema ile ni sawa na kupiga punyeto huku ukijidanganya kuwa umegonga demu mkali, ile nyomi bandia haiakisi uhalisianwa wa huyo dhalim kukubalika.
Wanini sasa
 
Waliobebwa kila kona ya jiji wangekuwa na akili ilikuwa nafasi yao muhimu kutoa kero zao mkutanoni, ishu kubwa ni ajira, ugumu wa maisha, ila kwasababu wengi ni hamnazo wametumika kama ko.. na wamesahaulika tayari.
OCTOBER TUNATIKI ✅
 
Niteseke kivipi na Ile nyomi ya Jana, vip polepole ataongelea lini tena
Hakuna nyomi ya kweli ni ghilba tu.
Watu wamesombwa kutoka mikoani kuja kuungua jua pale. Imagine hata Arusha ilivyo mbali ila kuna watu walisombwa kutoka huko.

Wasanii wamekodiwa kuja kutumbuiza ili kuvutia mashabiki wao.

Ongeza walimu na wanafunzi wanaolazimishwa kuhudhuria
 
Wazee wa video mnemba za polepole vipi afya zenu Leo mmeamkaje, jipimeni kisukari wakuu huu moto wa CCM mwaka huu ni mkali sana, nadhani mnaona wenyewe Sasa nchi nzima ni CCM.

Huwa tunawaonya kukesha mnaangalia video pori za polepole hamskiii lakini nadhani Sasa mmeelewa kuwa polepole ni tapeli watu kwa umoja wetu tushasema tunaenda Dr. Samia Suluhu Hassan na wabunge wa CCM.

Niliwaonya kukesha mnaangalia video za kitapeli za polepole hamkusikia labda kwa wale wenye changamoto za mahusiano hao nawahurumia maana kitanda Cha moto any way twende tukapige kazi.

Sisi watu wa Moro Leo tunampokea jemedali wa siasa, mtaalamu wa siasa Tanzania na Duniani, Rais anayetamkwa sana Duniani Dr. Samia Suluhu Hassan.
KARIBU SANA RAIS WETU🙏🏿🙏🏿
Samia amechokwa na kila mtu, nyie machawa ndo mnamfariji kinafiki, mkutano wa jana haukua na vibe hata kidogo mbali ya kujaza wasanii wakubwa wote, ilifika hatua watu wanataka kuondoka mkutanoni wanazuiwa. Mgombea anatakiwa kunadi sera sio kwenda kusoma hotuba. CCM imejichokea sana
 
Wewe kumbe ni Mtoto wa juzi.
Kipindi mikutano ya kisiasa inafanyika viwanja vya jangwani ulikuwa wapi?
 
Wazee wa video mnemba za polepole vipi afya zenu Leo mmeamkaje, jipimeni kisukari wakuu huu moto wa CCM mwaka huu ni mkali sana, nadhani mnaona wenyewe Sasa nchi nzima ni CCM.

Huwa tunawaonya kukesha mnaangalia video pori za polepole hamskiii lakini nadhani Sasa mmeelewa kuwa polepole ni tapeli watu kwa umoja wetu tushasema tunaenda Dr. Samia Suluhu Hassan na wabunge wa CCM.

Niliwaonya kukesha mnaangalia video za kitapeli za polepole hamkusikia labda kwa wale wenye changamoto za mahusiano hao nawahurumia maana kitanda Cha moto any way twende tukapige kazi.

Sisi watu wa Moro Leo tunampokea jemedali wa siasa, mtaalamu wa siasa Tanzania na Duniani, Rais anayetamkwa sana Duniani Dr. Samia Suluhu Hassan.
KARIBU SANA RAIS WETU🙏🏿🙏🏿
Kwani Pole Pole kasema nini kinachowatoa nyoka wote shimoni?
 
aise,
ule uzinduzi ulikua baba wa nyomi zote Tanazania na Africa nzima.

si mchezo.🐒
 
Wazee wa video mnemba za polepole vipi afya zenu Leo mmeamkaje, jipimeni kisukari wakuu huu moto wa CCM mwaka huu ni mkali sana, nadhani mnaona wenyewe Sasa nchi nzima ni CCM.

Huwa tunawaonya kukesha mnaangalia video pori za polepole hamskiii lakini nadhani Sasa mmeelewa kuwa polepole ni tapeli watu kwa umoja wetu tushasema tunaenda Dr. Samia Suluhu Hassan na wabunge wa CCM.

Niliwaonya kukesha mnaangalia video za kitapeli za polepole hamkusikia labda kwa wale wenye changamoto za mahusiano hao nawahurumia maana kitanda Cha moto any way twende tukapige kazi.

Sisi watu wa Moro Leo tunampokea jemedali wa siasa, mtaalamu wa siasa Tanzania na Duniani, Rais anayetamkwa sana Duniani Dr. Samia Suluhu Hassan.
KARIBU SANA RAIS WETU🙏🏿🙏🏿
Kwani huyo pole pole alisema watu wasihudhurie mkutano?
 
Hakuna nyomi ya kweli ni ghilba tu.
Watu wamesombwa kutoka mikoani kuja kuungua jua pale. Imagine hata Arusha ilivyo mbali ila kuna watu walisombwa kutoka huko.

Wasanii wamekodiwa kuja kutumbuiza ili kuvutia mashabiki wao.

Ongeza walimu na wanafunzi wanaolazimishwa kuhudhuria
KAZI na burudani
 
Wazee wa video mnemba za polepole vipi afya zenu Leo mmeamkaje, jipimeni kisukari wakuu huu moto wa CCM mwaka huu ni mkali sana, nadhani mnaona wenyewe Sasa nchi nzima ni CCM.

Huwa tunawaonya kukesha mnaangalia video pori za polepole hamskiii lakini nadhani Sasa mmeelewa kuwa polepole ni tapeli watu kwa umoja wetu tushasema tunaenda Dr. Samia Suluhu Hassan na wabunge wa CCM.

Niliwaonya kukesha mnaangalia video za kitapeli za polepole hamkusikia labda kwa wale wenye changamoto za mahusiano hao nawahurumia maana kitanda Cha moto any way twende tukapige kazi.

Sisi watu wa Moro Leo tunampokea jemedali wa siasa, mtaalamu wa siasa Tanzania na Duniani, Rais anayetamkwa sana Duniani Dr. Samia Suluhu Hassan.
KARIBU SANA RAIS WETU🙏🏿🙏🏿
Nyomi ya AI
 
Ukweli ni kuwa watu wa mijini wako busy na mambo yao ya msingi. Wakulima mtaendelea sana kusombwa na malory kama nyanya masalo.
Na nyomi hiyo ni ya hustlers ambao hawapigi kura i.e wanfurahia events
 
Wazee wa video mnemba za polepole vipi afya zenu Leo mmeamkaje, jipimeni kisukari wakuu huu moto wa CCM mwaka huu ni mkali sana, nadhani mnaona wenyewe Sasa nchi nzima ni CCM.

Huwa tunawaonya kukesha mnaangalia video pori za polepole hamskiii lakini nadhani Sasa mmeelewa kuwa polepole ni tapeli watu kwa umoja wetu tushasema tunaenda Dr. Samia Suluhu Hassan na wabunge wa CCM.

Niliwaonya kukesha mnaangalia video za kitapeli za polepole hamkusikia labda kwa wale wenye changamoto za mahusiano hao nawahurumia maana kitanda Cha moto any way twende tukapige kazi.

Sisi watu wa Moro Leo tunampokea jemedali wa siasa, mtaalamu wa siasa Tanzania na Duniani, Rais anayetamkwa sana Duniani Dr. Samia Suluhu Hassan.
KARIBU SANA RAIS WETU🙏🏿🙏🏿
Endelea kulinda komwe bila kujua unaliponza trakoo
 
1756410924006.jpg

Aisee mkutano ulikua bab kubwa ndio nimetoka huko ....
 
Wazee wa video mnemba za polepole vipi afya zenu Leo mmeamkaje, jipimeni kisukari wakuu huu moto wa CCM mwaka huu ni mkali sana, nadhani mnaona wenyewe Sasa nchi nzima ni CCM.

Huwa tunawaonya kukesha mnaangalia video pori za polepole hamskiii lakini nadhani Sasa mmeelewa kuwa polepole ni tapeli watu kwa umoja wetu tushasema tunaenda Dr. Samia Suluhu Hassan na wabunge wa CCM.

Niliwaonya kukesha mnaangalia video za kitapeli za polepole hamkusikia labda kwa wale wenye changamoto za mahusiano hao nawahurumia maana kitanda Cha moto any way twende tukapige kazi.

Sisi watu wa Moro Leo tunampokea jemedali wa siasa, mtaalamu wa siasa Tanzania na Duniani, Rais anayetamkwa sana Duniani Dr. Samia Suluhu Hassan.
KARIBU SANA RAIS WETU🙏🏿🙏🏿
Hao mliowakusanya kwenye mahicha?
 
Back
Top Bottom