Mnaokesha kuangalia video mnemba za Polepole, mmeamkaje kwa ile nyomi ya uzinduzi wa kampeni za CCM

Hiyo nyomi imejileta au wamesombwa na kulazimishwa kufunga biashara ili kujaza uwanja?.Nyomi ya watu kuja wenyewe ilikuwa ya Magufuli, Lowasa,Lisu na Dr.Slaa.Hii ya sasa hivi ni lazima watu wakusanywe, wapewe posho na wanafunzi kusombwa ili kujaza mikutano.Mwambie aitishe mkutano bila watu kulazimishwa uone atapata wangapi.
 
Ile ni nyomi ya mchongo. Dada yangu ni mwalimu huko Kibiti, Jana .allisombwa na gari alfajiri kuja kujaza uwanja. What a shame?
 
Ile ni nyomi ya mchongo. Dada yangu ni mwalimu huko Kibiti, Jana .allisombwa na gari alfajiri kuja kujaza uwanja. What a shame?
Hata Mimi nilienda na Leo Tena naenda morogoro.
OCTOBER TUNATIKI โœ…
 
Dunia haina muda na wapambanaji, dunia inatambua kufanikiwa na ku fail tu. Kama ni bao la mkono funga, kama ni kuwasomba wasombe kikubwa ushinde mechi yako
 
Ni kweli hujakosea, lakini utu wangu ni muhimu sana kuliko kujitoa na kijidhalilisha kwamasilahi ya genge la wahuni.
I live free and I get what I want
Tuachie sisi wewe Baki unajitibu kisukari
 
Dunia haina muda na wapambanaji, dunia inatambua kufanikiwa na ku fail tu. Kama ni bao la mkono funga, kama ni kuwasomba wasombe kikubwa ushinde mechi yako
OCTOBER TUNATIKI โœ…
 

Haipo shaka kuwa hata wewe, yeye, mkwette, RA na timu nzima ya wahuni mtakuwapo na macho kodo!
 
Haipo shaka kuwa hata wewe, yeye, mkwette, RA na timu nzima ya wahuni mtakuwapo na macho kodo!
Mbona Kama unatetemeka mikono mkuu.
Tulia CCM ni moto mwngne utakufa utaiacha
 
Watu wamesafirishwa toka nchi mzima na unasema ni nyomi? Wewe kweli toyoyoyo.
 
Mkuu sisi tunaendelea kumsikiliza hadi tujue mwisho wake๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
 

Attachments

  • James Laiser - No _Reforms No _Election..........__Vipi huyu...tuendelee kumsikiliza au tumpot...mp4
    8.5 MB
Wewe mwenyewe kutwa kucha kumjadili Polepole ina maana unamfuatilia sana. Na hiyo nyomi unayosema ile ni sawa na kupiga punyeto huku ukijidanganya kuwa umegonga demu mkali, ile nyomi bandia haiakisi uhalisianwa wa huyo dhalim kukubalika.
 
Unasifia nini wakati nchi ni ya chama kimoja? Hiyo nyomi ni ya wanachama wa ccm waliosombwa na malori toka viunga mbalimbali mjuba. Hata vyama vingine washirika wa ccm navyo vina nyomi zake za kujisifu kuwa vina watu wengi
 
Kwa maneno yako sio rais mzuri kwa sababu huwezi kuondoa utekaji na ufisadi kwa yametendeka na yanaendelea kutendeka.
 
Unamuangalia polepole umeshindwa kumuangalia samia akikwambia ukifa kwa kukosa pesa ya dawa utolewe bure.We ni mf*rwa wa CCM maarufu
 
Waliobebwa kila kona ya jiji wangekuwa na akili ilikuwa nafasi yao muhimu kutoa kero zao mkutanoni, ishu kubwa ni ajira, ugumu wa maisha, ila kwasababu wengi ni hamnazo wametumika kama ko.. na wamesahaulika tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ