Mnaokesha kuangalia video mnemba za Polepole, mmeamkaje kwa ile nyomi ya uzinduzi wa kampeni za CCM

Baada ya ufunguzi wa Kampeni hakuna anayefuatilia Kampeni za mgombea wa CCM🤣🤣🤣
 
Jana walifanya usafiri wa dar kua mgumu magari yalikodiwa na posho watu walilamba.
 
Ugali kwanza mengine baadae 😂
 
kimbesa unajipiga dole
 
KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE 🇹🇿 OCTOBER TUNATIKI ✅
Bado mnatumia mbinu za kizee kweli kweli kulazimisha kuwa mmakubalika. Sisi tunataka tu tume huru ya uchaguzi, hapo ndio mtajua hilo nyomi la mchongo ni kama kujitekenya na kucheka wenyewe.
 
Utafikiri wote wameishia la Saba, umasikini ni mbaya kuliko kitu chochote.
Kuuza utu kwa posho ya ya elfu tano na tsheti ni level mbaya sana ya umasikini.

Kuna watu siku ya mwisho watachonwa vibaya sana kwa kutumia vibaya binadamu wenzao

Ukiona mtu kasombwa jua kakubali kusombwa mbona wewe hukusombwa
 
Watoto wa shule ndo watu wote wapo ccm mkuu jiheshimu basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…