Mnaokula Cone na kuzama chumvini hivi mdomo huohuo ndo unaoutumia kumsifu Mungu?

Mnaokula Cone na kuzama chumvini hivi mdomo huohuo ndo unaoutumia kumsifu Mungu?

Nitaenda Misaa yaTatu

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2025
Posts
403
Reaction score
812
Kristo ni tumaini letu, Mapendo daima.

Samahani kwa yeyote yule nitamkwaza au uzi huu akaona una machukizo kwakwe basi aniwie ladhi.

Wakuu wiki iliyopita katika kuzagaa huku, kule, na humo kwenye mitandao ya kijamii hasa X zamani Twiter nilikutana na clip kadhaa za mtoto wa mchungaji akifanya mapenzi na hata kunyonya cone wa mwanaume pia zilitumwa clip za binti huyohuyo anayedaiwa kuwa ni mtoto wa mchungaji akiwa madhabahuni akiimba na kusifu huku akilia!

Clip zilikuwa nyingi za aina hiyo. Maswali niliyojiuliza inakuwaje kwa mkristo mdomo unao utumia kula na kumsifu Mungu huohuo mdomo uutumie kunyonya sehemu za siri? Je watu kama hawa wapo kanisani kwa mpango upi labda?

Chukulia mfano wewe kama ni msabato au mkristo wa dhehebu lolote ijumaa au jmos ukeshe unanyonya na kufakamia sehemu za siri za mpenzi wako halafu jmos au jpili asubuhi na mapema Misa ya kwanza upo kanisani hamuogopi?

Huu ujasiri wenzetu mnatoa wapi jamani?

NB: Video sina
 
Kristo ni tumaini letu,Mapendo daima.

Samahani kwa yeyote yule nitamkwaza au uzi huu akaona una machukizo kwakwe basi aniwie ladhi.

Wakuu wiki iliyopita katika kuzagaa huku,kule na humo kwenye mitandao ya kijamii hasa X zamani Twiter
nilikutana na clip kadhaa za mtoto wa mchungaji akifanya mapenzi na hata kunyonya uboo(cone) wa mwanaume
pia zikitumwa clip za binti huyohuyo anayedaiwa kuwa ni mtoto wa mchungaji akiwa madhabahuni akiimba na kusifa huku akilia!

Clip zilikuwa nyingi za aina hiyo.Maswali niliyojiuliza inakuwaje kwa mkristo mdomo unao utumia kula na kumsifu Mungu huohuo mdomo uutumie kunyonya sehemu za siri? Je watu kama hawa wapo kanisani kwa mapngo upi labda?

Chukulia mfano wewe kama ni msabato au mkristo wa dhehebu lolote ijumaa au jmos ukesho unanyonya na kufakamia sehemu za siri za mpenzi halafu jmos au jpili asubuhi na mapema Misa ya kwanza upo kanisani hamuogopi?

Huu ujasiri wenzetu mnatoa wapi wapi jamani?

NB: Video sina
Wanaume huwa wanasema: tunapiga deki; wanawake nao: tunachana verse.
 
Kristo ni tumaini letu,Mapendo daima.

Samahani kwa yeyote yule nitamkwaza au uzi huu akaona una machukizo kwakwe basi aniwie ladhi.

Wakuu wiki iliyopita katika kuzagaa huku,kule na humo kwenye mitandao ya kijamii hasa X zamani Twiter
nilikutana na clip kadhaa za mtoto wa mchungaji akifanya mapenzi na hata kunyonya uboo(cone) wa mwanaume
pia zilitumwa clip za binti huyohuyo anayedaiwa kuwa ni mtoto wa mchungaji akiwa madhabahuni akiimba na kusifu huku akilia!

Clip zilikuwa nyingi za aina hiyo.Maswali niliyojiuliza inakuwaje kwa mkristo mdomo unao utumia kula na kumsifu Mungu huohuo mdomo uutumie kunyonya sehemu za siri? Je watu kama hawa wapo kanisani kwa mapngo upi labda?

Chukulia mfano wewe kama ni msabato au mkristo wa dhehebu lolote ijumaa au jmos ukeshe unanyonya na kufakamia sehemu za siri za mpenzi wako halafu jmos au jpili asubuhi na mapema Misa ya kwanza upo kanisani hamuogopi?

Huu ujasiri wenzetu mnatoa wapi jamani?

NB: Video sina
ziko wapi hizo clip ili nichangie vizuri
 
mm ni mkristo, KKKT.
Nimedeclare kwanza.

Hakuna sehemu kwenye Biblia,
Mungu kaelekeza jinsi ya Kufanya mapenzi. (Watasema waliosoma biblia)

Pia hakuna sehem amesema ukinyonya matiti, au kunyonya shingo, au kula denda ni dhambi.

Inamaana pia hakuna sehem kasema kunyonyana ni dhambi.

Ila wote tuna uhakika kuwa Mungu aliteketeza Sodoma na Gomora kwa kuwa malaika wawili wakiume waliwatembelea wanakijiji ,na wale wana kijiji wakawataka kuwageuza wale malaika na kuwafira.
Na Mungu akapiga Moto kijiji kizima.

Kwahiyo Kufirna ni DHAMBI - ipo kwa Biblia.

(Hilo tu ndio kakataza kwa maana nyingne, kwenye lile Tendo).

Alaf Sasa ingekuwa Blowjob na Kuzama chumvin ambayo imeanza siku Ming zaid ya sisi kuanza kufanya hayo na kama ni dhambi, dah! Tusingekuwepo.

Cc Evelyn Salt workmate, ww unaonaje!
Cc Dennis Roberts Rais wangu na ww unatoa maon gan?

Mawaziri wenzangu dosho12 Intelligent businessman
 
Back
Top Bottom