Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Mwanangu yani ukitaka uniweke tu kwenye ignore list, maana hakuna namna π πMama taratibu... πππππππ
Mwanangu yani ukitaka uniweke tu kwenye ignore list, maana hakuna namna π πMama taratibu... πππππππ
πππππππMama uzi wetu vipi mi selewi hapa ujueMwanangu yani ukitaka uniweke tu kwenye ignore list, maana hakuna namna π π
Watu wengi hawaamini Mungu yupo wanaigiza tu kuamini.Kristo ni tumaini letu,Mapendo daima.
Samahani kwa yeyote yule nitamkwaza au uzi huu akaona una machukizo kwakwe basi aniwie ladhi.
Wakuu wiki iliyopita katika kuzagaa huku,kule na humo kwenye mitandao ya kijamii hasa X zamani Twiter
nilikutana na clip kadhaa za mtoto wa mchungaji akifanya mapenzi na hata kunyonya uboo(cone) wa mwanaume
pia zilitumwa clip za binti huyohuyo anayedaiwa kuwa ni mtoto wa mchungaji akiwa madhabahuni akiimba na kusifu huku akilia!
Clip zilikuwa nyingi za aina hiyo.Maswali niliyojiuliza inakuwaje kwa mkristo mdomo unao utumia kula na kumsifu Mungu huohuo mdomo uutumie kunyonya sehemu za siri? Je watu kama hawa wapo kanisani kwa mapngo upi labda?
Chukulia mfano wewe kama ni msabato au mkristo wa dhehebu lolote ijumaa au jmos ukeshe unanyonya na kufakamia sehemu za siri za mpenzi wako halafu jmos au jpili asubuhi na mapema Misa ya kwanza upo kanisani hamuogopi?
Huu ujasiri wenzetu mnatoa wapi jamani?
NB: Video sina
Njoo huku chembaπππππππMama uzi wetu vipi mi selewi hapa ujue
Kwa nini huyo Mungu aliumba binadamu waovu wafiraji?
Huyo Mungu Alishindwaje kuumba binadamu wema tu wasio tenda maovu?
Leta uthibitisho wa kwamba huyo Mungu aliteketeza Sodoma na Gomora na si hadithi za Biblia.
Mkuu, binadamu ameumbwa kwa mfano wa MUNGU. Hapa nadhani utapata picha ya kwanini MUNGU anapenda sifa.Huyo BWANA akipewa sifa anafaidika nini?
Huyo BWANA asipopewa sifa anapungukiwa nini?
Huyo BWANA alishindwaje kuumba dunia isiyo na uovu?
Naam ziwekwe tupate mzuka wa kukemea vizuri hilo pepoziko wapi hizo clip ili nichangie vizuri
Ngoja pakuche mkuu nitakuja kusomaUzi huu nitausoma baada kuamka tupitie maandiko moja baada ya jingine nina mashaka Delila alikuwa anaifinyia kwa ndani kabisa, halafu sarai mke wa ibra huenda yeye alikuwa anaikalia kwa juu huwezi jua ila si mbaya
mkuu wa makuhani ndg mzabzab pamoja na Mzee wa kupambania mkapita hapa au unasemaje Tajiri Sina BAYA ?
Litakuja lini?
Ndio matumizi ya mdomo.Kristo ni tumaini letu,Mapendo daima.
Samahani kwa yeyote yule nitamkwaza au uzi huu akaona una machukizo kwakwe basi aniwie ladhi.
Wakuu wiki iliyopita katika kuzagaa huku,kule na humo kwenye mitandao ya kijamii hasa X zamani Twiter
nilikutana na clip kadhaa za mtoto wa mchungaji akifanya mapenzi na hata kunyonya uboo(cone) wa mwanaume
pia zilitumwa clip za binti huyohuyo anayedaiwa kuwa ni mtoto wa mchungaji akiwa madhabahuni akiimba na kusifu huku akilia!
Clip zilikuwa nyingi za aina hiyo.Maswali niliyojiuliza inakuwaje kwa mkristo mdomo unao utumia kula na kumsifu Mungu huohuo mdomo uutumie kunyonya sehemu za siri? Je watu kama hawa wapo kanisani kwa mapngo upi labda?
Chukulia mfano wewe kama ni msabato au mkristo wa dhehebu lolote ijumaa au jmos ukeshe unanyonya na kufakamia sehemu za siri za mpenzi wako halafu jmos au jpili asubuhi na mapema Misa ya kwanza upo kanisani hamuogopi?
Huu ujasiri wenzetu mnatoa wapi jamani?
NB: Video sina
Hakuna Mungu aliyeumba kitu chochote kile.Mkuu, binadamu ameumbwa kwa mfano wa MUNGU. Hapa nadhani utapata picha ya kwanini MUNGU anapenda sifa.
dini ni SCAMHivi inakuwaje Mungu anakuwa mpenda sifa? Kwanini ahitaji sana kusifiwa? Hajakamilika? Kama amekamilika yeye sifa anataka za nini?
Nakuuliza hivi huyo Mungu wenu wa Biblia na Quran kwa nini aumbe binadamu wafiraji?Hoja yako na yangu ni tofauti.
1. Umeuliza "kwanini Mungu aliumba binadamu waovu wafiraji" na " huyo Mungu kwanini alishindwa kuumba binadamu wema na wasil tenda wauvu"
Haya ni maswali . Kama una akili timamu uliza au Fungulia uzi tukuelimishe . Irrelevant kabisa
2. Ndio maana nimedeclare hapo juu. Mm nina amini Biblia.
Ww kama unaona ufiraj sio dhambi, ni wewe.
Hilo swali la kwanza na pili liko na maandiko meng tu kwa Biblia na hata Quran.
Najua hujasoma madrasa au mafundisho, ila basi uwe unauliza maswal kistaarab. Ili uelimishwe.
Kama ww ni mpagan. Kaa na iman yako. Hukatazwi
dini ni SCAM