Mnaokula Cone na kuzama chumvini hivi mdomo huohuo ndo unaoutumia kumsifu Mungu?

Mnaokula Cone na kuzama chumvini hivi mdomo huohuo ndo unaoutumia kumsifu Mungu?

Jumapili hii bugia nyanya zake,rungu lake lipake tangawizi halafu fanya kama unampigisha nyeto huku ukimung'unya nyanya,nilifanyiwa hii,nikagawa ekari 2 za mpunga usiovunwa
π•Žπ•’π•Ÿπ•’π•¨π•’π•œπ•– π•¨π•–π•Ÿπ•˜π•š π•™π•’π•¨π•’π•›π•’π•šπ•›π•¦π•’ π•™π•šπ•š π•π•’π•œπ•šπ•Ÿπ•š π•Ÿπ•š 𝕙𝕒π•₯π•’π•£π•š π•€π•’π•Ÿπ•’ π•œπ•¨π•’ π•¨π•’π•Ÿπ•’π•¦π•žπ•–.
 
Ndiyo mdomo huu huu tunautumia mkuu.

Binafsi huwa nasuuza rungu lake vizuri jumapili kabla ya kwenda misa ya pili na anafurahia sana, anaanza kunenea kwa lugha kitandani halafu akifika kanisani anasimama kwenye nafasi yake kama mzee wa kanisa.
Watu wananyonywa mpaka misambwanda au unasemaje mshangazi πŸ˜„

Ova
 
Uzuri ni kwamba Biblia haizungumzi moja kwa moja kuhusu dhana ya kuzama kwenye mgodi au kunyonywa lollipop kama kitendo kisicho mfurahisha Muumba ikiwa tu anaye kufanyia hivyo ni mpenzi wako au mkeo.
 
Kristo ni tumaini letu,Mapendo daima.

Samahani kwa yeyote yule nitamkwaza au uzi huu akaona una machukizo kwakwe basi aniwie ladhi.

Wakuu wiki iliyopita katika kuzagaa huku,kule na humo kwenye mitandao ya kijamii hasa X zamani Twiter
nilikutana na clip kadhaa za mtoto wa mchungaji akifanya mapenzi na hata kunyonya uboo(cone) wa mwanaume
pia zilitumwa clip za binti huyohuyo anayedaiwa kuwa ni mtoto wa mchungaji akiwa madhabahuni akiimba na kusifu huku akilia!

Clip zilikuwa nyingi za aina hiyo.Maswali niliyojiuliza inakuwaje kwa mkristo mdomo unao utumia kula na kumsifu Mungu huohuo mdomo uutumie kunyonya sehemu za siri? Je watu kama hawa wapo kanisani kwa mapngo upi labda?

Chukulia mfano wewe kama ni msabato au mkristo wa dhehebu lolote ijumaa au jmos ukeshe unanyonya na kufakamia sehemu za siri za mpenzi wako halafu jmos au jpili asubuhi na mapema Misa ya kwanza upo kanisani hamuogopi?

Huu ujasiri wenzetu mnatoa wapi jamani?

NB: Video sina
kwani kosa liko wapi? kuzama chumvini au kula koni ni starehe kubwa sana mradi muwe mume oana,hivyo mkioana Mungu hana baya
 
Ambacho kipo kinajulikana na kuthibitishika kipo.

Kisichokuwepo, hakipo hata kwa kujulikana na wala hakithibitishiki.
Hapa unachanganya kutokuwepo na kutokuwepo kwa uthibitisho wa kutokuwepo.

Ukisema muda huu hakuna masai anaua nyati popote duniani ni wajibu wako kuthibitisha. Kama ungekuwa na cctv camera ya kila sehemu duniani ungethibitisha kwa kuonyesha hakuna cctv inayoonyesha masai akiua nyati.

Kusema huwezi thibitisha sababu kisichokuwepo hakithibitishwi ni kujificha kwenye kichaka cha kutokujua.
 
Kristo ni tumaini letu, Mapendo daima.

Samahani kwa yeyote yule nitamkwaza au uzi huu akaona una machukizo kwakwe basi aniwie ladhi.

Wakuu wiki iliyopita katika kuzagaa huku, kule, na humo kwenye mitandao ya kijamii hasa X zamani Twiter nilikutana na clip kadhaa za mtoto wa mchungaji akifanya mapenzi na hata kunyonya cone wa mwanaume pia zilitumwa clip za binti huyohuyo anayedaiwa kuwa ni mtoto wa mchungaji akiwa madhabahuni akiimba na kusifu huku akilia!

Clip zilikuwa nyingi za aina hiyo. Maswali niliyojiuliza inakuwaje kwa mkristo mdomo unao utumia kula na kumsifu Mungu huohuo mdomo uutumie kunyonya sehemu za siri? Je watu kama hawa wapo kanisani kwa mpango upi labda?

Chukulia mfano wewe kama ni msabato au mkristo wa dhehebu lolote ijumaa au jmos ukeshe unanyonya na kufakamia sehemu za siri za mpenzi wako halafu jmos au jpili asubuhi na mapema Misa ya kwanza upo kanisani hamuogopi?

Huu ujasiri wenzetu mnatoa wapi jamani?

NB: Video sina
Akili ya binadamu ni fumbo, analijua mhusika! Kwa mdomo huohuo hujui anamsifia au kumwabudu Mungu kwa lipi, pengine kwa kupata mtu wa kucheza naye faraghani. Kwa mdomo huo huo analia, kinachomliza ni nini? Pengine anajutia ya faraghani!
Watu wa dini, wakristu kwa waislam, wanajazana mfano katika uwanja wa mpira, makanisani na misikitini, si utasema wacha Mungu ni wengi hivi! Mbona, wizi, rushwa, uchawi na roho mbaya ndio zimetamalaki mitaani katika maisha ya kila siku?
Usihukumu yeyote, kama wewe ni mkamilifu hivyo, shukuru Mungu, waombee wengine, ikitokea unakutana nao, ongea nao kuwashauri!
 
Back
Top Bottom