Tumia mkono kama mwiko koroga uji jikoni leo. Nakuandalia asali hapa.Matumizi gani maalumu?
Kila mtu ana uhuru wa kutumia kiungo chochote cha mwili wake, vyovyote atakavyo.
Tumia mkono kama mwiko koroga uji jikoni leo. Nakuandalia asali hapa.Matumizi gani maalumu?
Kila mtu ana uhuru wa kutumia kiungo chochote cha mwili wake, vyovyote atakavyo.
Mkuu kumbuka hata kiafya sio salama.Hakuna makatazo ya kufurahia tendo na mke wako halali, kwanza hakuna malaika anayekuja kukukagua unavyolambwa na mkeo aende kwa MUNGU akalalamike kuwa umelambwa, hizi ni complication za kilokole na mpango wa shetani kuufanya ukristo uwe jambo fulani complicated.
Karibu mkuuUzi huu nitausoma baada kuamka tupitie maandiko moja baada ya jingine nina mashaka Delila alikuwa anaifinyia kwa ndani kabisa, halafu sarai mke wa ibra huenda yeye alikuwa anaikalia kwa juu huwezi jua ila si mbaya
mkuu wa makuhani ndg mzabzab pamoja na Mzee wa kupambania mkapita hapa au unasemaje Tajiri Sina BAYA ?
Eee mkuu maana kazi ya matako ni kukalia na si vingineSamahani mkuu, matako hayo hayo unayopitishia nnya ukienda chooni ndio unayatumia kukalia ukienda kanisani?
Kuongea,kuomba,kuimba, kula chakulaNdio matumizi ya mdomo.
Kwahiyo Kuna Nini?Hakuna Mungu aliyeumba kitu chochote kile.
Mungu hayupo.
Hakuna kitu kama iko
Sana mkuuHatari sana
Ni kama vile uwe na mke umpendae na umpe kila kitu halafu anamsifu bora boda kwa kazi nzur.Hivi inakuwaje Mungu anakuwa mpenda sifa? Kwanini ahitaji sana kusifiwa? Hajakamilika? Kama amekamilika yeye sifa anataka za nini?
Jibu sahihi Kwa swali husika.Tumia mkono kama mwiko koroga uji jikoni leo. Nakuandalia asali hapa.
Vitisho tu ili tusifurahie uumbaji... Ingekua kweli ungekuta sina hata ulimi 🤣🤣
Huoni hata kiafya ni hatari si salama?Uzuri ni kwamba Biblia haizungumzi moja kwa moja kuhusu dhana ya kuzama kwenye mgodi au kunyonywa lollipop kama kitendo kisicho mfurahisha Muumba ikiwa tu anaye kufanyia hivyo ni mpenzi wako au mkeo.
Aisee Kwa hiyo unanyonya ?Vitisho tu ili tusifurahie uumbaji... Ingekua kweli ungekuta sina hata ulimi 🤣🤣
Mkuu, Kila kitu kina madhara mwilini kinapozidi, taja kitu kimoja ambacho kikizidi mwilini hakina madhara ili tuhalalishe kuwa ngono si exception.Mkuu kumbuka hata kiafya sio salama.
Wakorintho waliambiwa. Na Paulo "mwili wako ni hekalu la roho mtakatifu....ole wake atakaye liharibu hekalu hio"
Kwa maana hiyo kitu chochote chenye kuleta madhara mwilini naweza kusema ni dhambi!
Kama wewe mtumishi unailamba mimi ni nani hata niache?Aisee Kwa hiyo unanyonya ?
Mimi najua inavyonifikia tu hayo mengine sijuiMdomo unakula mpaka hela za wizi, ushirikina, dhulma n. K . Wewe hela unazotumia kwa mahitaji Yako unajua chanzo chake?
Na vingineKuongea,kuomba,kuimba, kula chakula
Cone ni aina flani ya chakula barafu iliyogandishwa kwa kutumia maziwa, sukari, maji, rangi pamoja na flavor.Cone ndio nini?
Chumvini ndio wapi?
Hata Dragons, Mermaids, Vibwengo, Vampires husemwa wapo, lakini kiuhalisia hawapo.Mkuu, Kusema hakuna masai halafu ukathibitisha hayupo kupitia cctv nimekuonyesha kuwa concept yako uliyosema kisichokuwepo hakithibitishwi si kweli. Ukisema kitu hakipo unaweza kuthibitisha kuwa hakipo. So hichi si kichaka cha kujificha tena, tumekifyeka.
Kwanini hakuna?
Sibishi, nataka nikutofautishe na anayesema yupo bila ushahidi.
Kinyume na hapo wewe unayesema hayupo huna tofauti na anayesema yupo, tena angalau huyu anayesema yupo na uthibitisho ni anayoyaona maana hana tofauti na aliyekuta kiti porini akasema hichi kiti kimeletwa na binadamu ila hawezi thibitisha kama kweli ni binadamu.
Logic ya kawaida tu hii unapochagua upande kati ya kuwepo na kutokuwepo MUNGU.
Kuna Ulimwengu.Kwahiyo Kuna Nini?