Mnaokula Cone na kuzama chumvini hivi mdomo huohuo ndo unaoutumia kumsifu Mungu?

Mnaokula Cone na kuzama chumvini hivi mdomo huohuo ndo unaoutumia kumsifu Mungu?

Vitisho tu ili tusifurahie uumbaji... Ingekua kweli ungekuta sina hata ulimi 🤣🤣
Na mtu mwenye maono madogo,inabidi asiambiwe madhara ya muda mrefu, anatakiwa aambiwe madhara ya muda mfupi.Pole sana.Wewe bilashaka ni mmoja wa watu ambao wanaamini kua RAIS ananunua ndege kwa hela zake na si pesa za wananchi wallpa kodi.Pole sana.
 
Mdomo wa juu na mdomo wa chini na kichwa cha juu na cha chini vyote kaviumba huyo mungu (assuming yupo), so unaona kinyaa wewe tu wakati yeye hana hata habare anatabasamu tu akiona waja wake wanavitumia! Hizo standards umejiwekea wewe wakati aliyeumba viumbe vyote anaona sawa tu na ndio mzuka

Mbuzi, ngomb'e, punda, swala, fisi, mbwa na wanyama wengine wote walionyimwa kujitambua na ufahamu wananyonya na kulamba na kawapa yeye aliye juu, we ni nani unahoji kuhusu binadamu ambaye kapewa kabisa na utambuzi wa kufanya faragha? Huoni kwamba yeye ni bora sana kuliko viumbe vingine?

Kinachokupa furaha na amani kimeumbwa kwa ajili yako, fanya upate ile furaha na maisha uyatakayo, ndio maana kuna imani zingine zinaamini kuna bikra za bure 72 kwa kuwa tu ndicho muandika kitabu anaamini kinampa furaha zaidi binadamu!
 
Siku kakitokea kapimbi kamoja kakampga deki mkeo, asee hesabu umepoteza.

Tendo la ndoa ni ibaada pia.
Mkuu una akili ya kitoto sana. Yaani kumbe uko ladhi urambe hata kinyeo Cha mkeo Ili tu umridhishe na kwamba hata akija kupigwa deki na wahuni basi usipoteze?
Kitendo tu Cha kugawa uchi Nje (haijarishi apigwe deki au lah ) tiyari huyo hafai kuwa mke na umepoteza tiyari yaani haijarishi atatom...Kwa aina gani huyo hastahili.

Pili kwanini uogope kupoteza mwanamke? Ni mama Yako au Nina zaidi Hadi ufanye kitu Kwa kumridhisha yeye tu?
 
Hata Dragons, Vibwengo, Vampires husemwa wapo, lakini kiuhalisia hawapo.

Kwanini unasema hawapo? Usijibu kisichokuwepo hakithibitishwi sababu si kweli, usijibu sababu sijawahi waona, wewe kutokuwaona si sababu, inshort hayo si majibu yatakayokutofautisha na anayesema wapo bila uthibitisho zaidi itakuwa ni kujificha kwenye kichaka cha kutokuwa na uthibitisho kuwa hawapo.

Vivyo hivyo huyo MUNGU mnayedai yupo, hayupo.

Ni fiction tu.
Thibitisha hayupo.

Boss, Haya mambo mepesi mkuu, wala hayahitaji nguvu nyingi.
 
Mkuu, Kila kitu kina madhara mwilini kinapozidi, taja kitu kimoja ambacho kikizidi mwilini hakina madhara ili tuhalalishe kuwa ngono si exception.

Kuhusu Wakorintho ni kweli, mwili wako ni hekalu na hutakiwi kuuharibu, swali ni nini maana ya kuuharibu? Kwanini mke Kulamba maumbile ya mume ni kuharibu mwili wake?

Again nakwambia mkuu, ili upate sadaka na maungamo lazima utengeneze dhamira kusutwa, hizi complication zipo kimaslahi zaidi ya uhalisia. Nia hapa ni kukuza kiwango cha makosa yanayojirudia sababu ni sehemu ya ubinadamu. Wahubiri wenyewe wanalambana na wenza wao.
Sijawahi kuona mahali popote wataalamu wa afya wana liongelea Kwa mtazamo chanya
 
Sijawahi kuona mahali popote wataalamu wa afya wana liongelea Kwa mtazamo chanya
Ngono kwa njia ya kulambana lambana haina uchanya kiafya, ina unchanya kihisia. Ni kama busu la mdomo, wapi ushasikia mtaalam wa afya akisema kubadilishana mate inaimarisha kinga ya mwili? Hao wataalam wa afya wenyewe ukute wanalambana hadi kufyonzana.
 
Mdomo wa juu na mdomo wa chini na kichwa cha juu na cha chini vyote kaviumba huyo mungu, so unaona kinyaa wewe wakati yeye hana hata habare anatabasamu tu akiona waja wake wanavitumia! Hizo standards umejiwekea wewe wakati aliyeumba viumbe vyote anaona sawa tu na ndio mzuka

Mbuzi, ngomb'e, punda, swala, fisi, mbwa na wanyama wengine wote walionyimwa kujitambua na ufahamu wananyonya na kulamba na kawapa yeye aliye juu, we ni nani unahoji kuhusu binadamu ambaye kapewa kabisa na utambuzi wa kufanya faragha? Huoni kwamba yeye ni bora sana kuliko viumbe vingine?

Kinachokupa furaha na amani kimeumbwa kwa ajili yako, fanya upate ile furaha na maisha uyatakayo, ndio maana kuna imani zingine zinaamini kuna bikra za bure 72 kwa kuwa tu ndicho muandika kitabu anaamini kinampa furaha zaidi binadamu!
Kuna furaha Gani kulamba uchi?
 
Mkuu una akili ya kitoto sana. Yaani kumbe uko ladhi urambe hata kinyeo Cha mkeo Ili tu umridhishe na kwamba hata akija kupigwa deki na wahuni basi usipoteze?
Kitendo tu Cha kugawa uchi Nje (haijarishi apigwe deki au lah ) tiyari huyo hafai kuwa mke na umepoteza tiyari yaani haijarishi atatom...Kwa aina gani huyo hastahili.

Pili kwanini uogope kupoteza mwanamke? Ni mama Yako au Nina zaidi Hadi ufanye kitu Kwa kumridhisha yeye tu?

Why umpangie? Kuna maandiko mahali yamesema ni sheria? Na nani aliyatoa? Au imani yako wewe unataka iwe standard kwa watu wengine?
 
Na mtu mwenye maono madogo,inabidi asiambiwe madhara ya muda mrefu, anatakiwa aambiwe madhara ya muda mfupi.Pole sana.Wewe bilashaka ni mmoja wa watu ambao wanaamini kua RAIS ananunua ndege kwa hela zake na si pesa za wananchi wallpa kodi.Pole sana.

Muda mfupi na mrefu maana yake nini? Siku, wiki, miezi, miaka au lifetime? Au hisia zako tu?
 
Back
Top Bottom