Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Sizungumzii habari za masai wala nyati. Tunaongea kuhusu Mungu.Hapa unachanganya kutokuwepo na kutokuwepo kwa uthibitisho wa kutokuwepo.
Ukisema muda huu hakuna masai anaua nyati popote duniani ni wajibu wako kuthibitisha. Kama ungekuwa na cctv camera ya kila sehemu duniani ungethibitisha kwa kuonyesha hakuna cctv inayoonyesha masai akiua nyati.
Kusema huwezi thibitisha sababu kisichokuwepo hakithibitishwi ni kujificha kwenye kichaka cha kutokujua.
Nakwambia hivi hakuna Mungu.
Ukibisha thibitisha Mungu yupo.