Mnaokula Cone na kuzama chumvini hivi mdomo huohuo ndo unaoutumia kumsifu Mungu?

Mnaokula Cone na kuzama chumvini hivi mdomo huohuo ndo unaoutumia kumsifu Mungu?

Umeoa au kuolewa.
Unanyonyana na mume/mke wako.
Sio dhambi.
Tuishi humo.
Islam Huwa Wanasema Hivyo sio Dhamb Kwenye ndoa nadhani pia wakristo ila Kuwa Real Kun faida Gan kunyonyana hata kama Umeoa/kuolewa
ndio pale Tunakosa Kuwa Na UKIASI kwenye Matendo Yetuu.
 
Na mtu mwenye maono madogo,inabidi asiambiwe madhara ya muda mrefu, anatakiwa aambiwe madhara ya muda mfupi.Pole sana.Wewe bilashaka ni mmoja wa watu ambao wanaamini kua RAIS ananunua ndege kwa hela zake na si pesa za wananchi wallpa kodi.Pole sana.
Ulipata madhara ya muda mrefu baada ya miaka mingapi?
 
Ww nae, uko kubisha tu , na hoja huna.

Nakujibu ili ujue huna hoja.

Shoga akitumia kiungo chake mwingne hadhuriki.
Acha kiherehere na kudandia swali ambalo sijakuuliza wewe.

Swali hujalizwa wewe unakurupuka huko na mawenge yako kuleta majibu yasiyo na kichwa wala miguu.

Kitulize.
 
Hata Dragons, Mermaids, Vibwengo, Vampires husemwa wapo, lakini kiuhalisia hawapo.

Vivyo hivyo huyo MUNGU mnayedai yupo, hayupo.

Ni fiction tu.
Ulishajifunga ndani ya box, hauna uwezo tena wa kujinasua ama kutoka nje ya box.

Ni kama jini lililohifadhiwa ndani ya chupa, huwa halina uwezo wa kujiondoa.
 
Kristo ni tumaini letu, Mapendo daima.

Samahani kwa yeyote yule nitamkwaza au uzi huu akaona una machukizo kwakwe basi aniwie ladhi.

Wakuu wiki iliyopita katika kuzagaa huku, kule, na humo kwenye mitandao ya kijamii hasa X zamani Twiter nilikutana na clip kadhaa za mtoto wa mchungaji akifanya mapenzi na hata kunyonya cone wa mwanaume pia zilitumwa clip za binti huyohuyo anayedaiwa kuwa ni mtoto wa mchungaji akiwa madhabahuni akiimba na kusifu huku akilia!

Clip zilikuwa nyingi za aina hiyo. Maswali niliyojiuliza inakuwaje kwa mkristo mdomo unao utumia kula na kumsifu Mungu huohuo mdomo uutumie kunyonya sehemu za siri? Je watu kama hawa wapo kanisani kwa mpango upi labda?

Chukulia mfano wewe kama ni msabato au mkristo wa dhehebu lolote ijumaa au jmos ukeshe unanyonya na kufakamia sehemu za siri za mpenzi wako halafu jmos au jpili asubuhi na mapema Misa ya kwanza upo kanisani hamuogopi?

Huu ujasiri wenzetu mnatoa wapi jamani?

NB: Video sina
Kishindo Cha wakoma kitakapo sikika misa ya tatu ndipo wataacha hizo tabia ni swala la muda tu.
 
Ndiyo mdomo huu huu tunautumia mkuu.

Binafsi huwa nasuuza rungu lake vizuri jumapili kabla ya kwenda misa ya pili na anafurahia sana, anaanza kunenea kwa lugha kitandani halafu akifika kanisani anasimama kwenye nafasi yake kama mzee wa kanisa.
Uhakika kmmke kama namuona vile anavyo weweseka hapo Kwa raha 😬
 
Hivi inakuwaje Mungu anakuwa mpenda sifa? Kwanini ahitaji sana kusifiwa? Hajakamilika? Kama amekamilika yeye sifa anataka za nini?
Ina maana Mungu atakuwa mtanzania wa kuzaliwa.

Ushahidi ni kwa jinsi viongozi wetu wanavyofanana naye kwa kutaka kusifiwa-kuanzia mchonga, msoga, jiwe, na hangaya
 
Back
Top Bottom