Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Ina mahusiano mengi na mitume wa pande zoteHivi kwanini kati ya vyakula vyote haramu anayesumbua ni kitimoto tuu. Why?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina mahusiano mengi na mitume wa pande zoteHivi kwanini kati ya vyakula vyote haramu anayesumbua ni kitimoto tuu. Why?
Hapana, sema itafutwe namna, lakini kula sitaacha... Ila kama kwa kula kwako nyama unamkwaza ndugu yako, acha mara moja.
Yesu alitumia kitimoto kama dampo la mapepo.Ina mahusiano mengi na mitume wa pande zote
Kwa kiasi kikubwa wanyama wote ambao ni haramu katika uislamu ni haramu vilevile katika dini na desturi za jamii zilizotuzunguka isipokuwa nguruwe.Hivi kwanini kati ya vyakula vyote haramu anayesumbua ni kitimoto tuu. Why?
Uongo!!!Kuna karamu iliandaliwa na mjakazi mmoja akala kipande kimoja cha kitimoto. Nyama ikaharanishwa
Mkuu, hiyo ni hoja ambayo baadhi ya watu wanaposoma Marko 5:11-13(sura inayoeleza kisa cha Yesu kuwatoa mapepo na kuyaamuru yawaingie nguruwe) huitumia kuonyesha kuwa nguruwe ni "madude" machafu au yana uhusiano na mapepo.Hayo madude yana mapepo na yaliamriwa na Kristo yakaishi kwao😂😂
Nyama aliyokusudia mshana Jr sidhani kama umemwelewa!Inategemea hapo kama muandaaji yuko vizuri itakuwa tamu kama ana haraka ya kuivisha haitanoga
Ni simulizi na sijui inamtaja nani hivyo nisihukumiweUongo!!!
Ile yenye utamu mpaka kisogoni😀
Na hii inahusiana na dini auInategemea hapo kama muandaaji yuko vizuri itakuwa tamu kama ana haraka ya kuivisha haitanoga
Hamna shida!!!Ni simulizi na sijui inamtaja nani hivyo nisihukumiwe
Zingatia haya maneno .. 'Mapepo wachafu' kisha linganisha na maisha ya uchafu wanayoishi nguruweMkuu, hiyo ni hoja ambayo baadhi ya watu wanaposoma Marko 5:11-13(sura inayoeleza kisa cha Yesu kuwatoa mapepo na kuyaamuru yawaingie nguruwe) huitumia kuonyesha kuwa nguruwe ni "madude" machafu au yana uhusiano na mapepo.
Hebu tuchunguze vizuri kisa hicho. Imeandikwa hivi:
"Basi kulikuwa huko milimani kundi kubwa la nguruwe, walikuwa wakilisha. Na wale pepo wakamsihi, wakisema, ‘Tufukuze twende kwa wale nguruwe, ili tuwaingie.’ Akawapa ruhusa. Pepo wachafu wakatoka, wakawaingia wale nguruwe; nalo kundi lote likatelemka kwa kasi gengeni, wakaingia baharini, wakazama majini."
Hapo tunaona kuwa nguruwe waliuawa baharini baada ya kuingiwa na nguvu za giza(mapepo).
Yesu aliyaruhusu mapepo yawaingie nguruwe kwa sababu mapepo yenyewe ndiyo yaliyoomba ruhusa yawaingie nguruwe. Baada ya kuingia baharini, nguruwe walikufa mara moja. Mapepo hayakubaki ndani yao na kuendelea kuishi. Kifo cha nguruwe kilionyesha jinsi nguvu za giza zilivyo na uharibifu.
Hao nguruwe walikuwa wanyama wa kawaida kabla mapepo hayajawaingia. Nguruwe hawakuonyesha tabia ya kipepo hadi walipojazwa na roho chafu. Ndiyo sababu hata leo watu wanafuga nguruwe bila kuona tabia za mapepo kwenye wanyama hao.
Tukio hilo la nguruwe, halikuandikwa kuonyesha kwamba nguruwe ni najisi. Yesu alikuwa anaonyesha uwezo wake juu ya mapepo. Ni tukio linaloonyesha ukombozi wa mtu aliyekuwa amefungwa na nguvu za giza.
Kwahiyo kama tulivyoona katika mada yenyewe, Biblia inaruhusu tule vyakula vyote pamoja na kitimoto (Marko 7:18-19, Warumi 14:14, 1 Timotheo 4:4-5).
Hapana hapa hakuna dini wala imani bali kuna hisiaNa hii inahusiana na dini au
Ukisema biblia si pamoja na agano la kale ?!Mkuu, hiyo ni hoja ambayo baadhi ya watu wanaposoma Marko 5:11-13(sura inayoeleza kisa cha Yesu kuwatoa mapepo na kuyaamuru yawaingie nguruwe) huitumia kuonyesha kuwa nguruwe ni "madude" machafu au yana uhusiano na mapepo.
Hebu tuchunguze vizuri kisa hicho. Imeandikwa hivi:
"Basi kulikuwa huko milimani kundi kubwa la nguruwe, walikuwa wakilisha. Na wale pepo wakamsihi, wakisema, ‘Tufukuze twende kwa wale nguruwe, ili tuwaingie.’ Akawapa ruhusa. Pepo wachafu wakatoka, wakawaingia wale nguruwe; nalo kundi lote likatelemka kwa kasi gengeni, wakaingia baharini, wakazama majini."
Hapo tunaona kuwa nguruwe waliuawa baharini baada ya kuingiwa na nguvu za giza(mapepo).
Yesu aliyaruhusu mapepo yawaingie nguruwe kwa sababu mapepo yenyewe ndiyo yaliyoomba ruhusa yawaingie nguruwe. Baada ya kuingia baharini, nguruwe walikufa mara moja. Mapepo hayakubaki ndani yao na kuendelea kuishi. Kifo cha nguruwe kilionyesha jinsi nguvu za giza zilivyo na uharibifu.
Hao nguruwe walikuwa wanyama wa kawaida kabla mapepo hayajawaingia. Nguruwe hawakuonyesha tabia ya kipepo hadi walipojazwa na roho chafu. Ndiyo sababu hata leo watu wanafuga nguruwe bila kuona tabia za mapepo kwenye wanyama hao.
Tukio hilo la nguruwe, halikuandikwa kuonyesha kwamba nguruwe ni najisi. Yesu alikuwa anaonyesha uwezo wake juu ya mapepo. Ni tukio linaloonyesha ukombozi wa mtu aliyekuwa amefungwa na nguvu za giza.
Kwahiyo kama tulivyoona katika mada yenyewe, Biblia inaruhusu tule vyakula vyote pamoja na kitimoto (Marko 7:18-19, Warumi 14:14, 1 Timotheo 4:4-5).
Hisia ganiHapana hapa hakuna dini wala imani bali kuna hisia
Ila ngoja niifuteHamna shida!!!
Za kimwiliHisia gani
SawaIla ngoja niifute
SureZa kimwili
Ni kweli kisa hicho hakipo katika vitabu vya waislamu!.Ni simulizi na sijui inamtaja nani hivyo nisihukumiwe