Mnaokula Kitimoto, Kuleni "Kwa Raha Zenu," Yesu Ameruhusu

Hivi kwanini kati ya vyakula vyote haramu anayesumbua ni kitimoto tuu. Why?
Kwa kiasi kikubwa wanyama wote ambao ni haramu katika uislamu ni haramu vilevile katika dini na desturi za jamii zilizotuzunguka isipokuwa nguruwe.
Kwa mfano kati ya wanyama walioharamishwa katika uislamu ni pamoja na nguruwe, punda (donkey sio zebra, zebra ni halali) mbwa, paka, panya na wanyama wote wanaowinda na kula nyama isipokuwa fisi ( Fisi ni halali kuliwa na waislamu japo najua wengi hawalijui na watanipinga sana) ndege pia wenye kucha ndefu na wanaowinda kwa kutumia kucha hizo kama mwewe , tai na kipanga ni haramu.
Sasa ukiangalia hao wanyama walioharamishwa na uislamu baadhi ya watanzania wameanza kumla punda siku za karibuni ( japo kuna kabila fulani mkoani Singida ambao wanatuhumiwa kuwa punda ni mboga yao ya siku nyingi tu), hasa baada ya ujio wa wachina ambao nasikia huko Shinyanga wamejenga kiwanda cha kusindika nyama ya punda.
Mbwa tunasikia huko Iringa wahehe wanakula na panya ni mboga ya baadhi ya jamii za mkoani Mtwara!.
Tukiachana na hizo jamii chache wanaokula punda , mbwa na panya wanyama wote walioharamishwa na uislamu ni haramu pia katika dini na makabila yaliyotuzunguka kwa hapa Tanzania isipokuwa nguruwe ndiye analiwa hadharani na makabila yote isipokuwa waislamu (kama Kuna waislamu wachache wanaokula nguruwe wanakula kwa siri sana na hawawezi kuisifia nguruwe hadharani kama wanavyofanya wakristo.
 
Hayo madude yana mapepo na yaliamriwa na Kristo yakaishi kwao😂😂
Mkuu, hiyo ni hoja ambayo baadhi ya watu wanaposoma Marko 5:11-13(sura inayoeleza kisa cha Yesu kuwatoa mapepo na kuyaamuru yawaingie nguruwe) huitumia kuonyesha kuwa nguruwe ni "madude" machafu au yana uhusiano na mapepo.

Hebu tuchunguze vizuri kisa hicho. Imeandikwa hivi:
"Basi kulikuwa huko milimani kundi kubwa la nguruwe, walikuwa wakilisha. Na wale pepo wakamsihi, wakisema, ‘Tufukuze twende kwa wale nguruwe, ili tuwaingie.’ Akawapa ruhusa. Pepo wachafu wakatoka, wakawaingia wale nguruwe; nalo kundi lote likatelemka kwa kasi gengeni, wakaingia baharini, wakazama majini."

Hapo tunaona kuwa nguruwe waliuawa baharini baada ya kuingiwa na nguvu za giza(mapepo).

Yesu aliyaruhusu mapepo yawaingie nguruwe kwa sababu mapepo yenyewe ndiyo yaliyoomba ruhusa yawaingie nguruwe. Baada ya kuingia baharini, nguruwe walikufa mara moja. Mapepo hayakubaki ndani yao na kuendelea kuishi. Kifo cha nguruwe kilionyesha jinsi nguvu za giza zilivyo na uharibifu.

Hao nguruwe walikuwa wanyama wa kawaida kabla mapepo hayajawaingia. Nguruwe hawakuonyesha tabia ya kipepo hadi walipojazwa na roho chafu. Ndiyo sababu hata leo watu wanafuga nguruwe bila kuona tabia za mapepo kwenye wanyama hao.

Tukio hilo la nguruwe, halikuandikwa kuonyesha kwamba nguruwe ni najisi. Yesu alikuwa anaonyesha uwezo wake juu ya mapepo. Ni tukio linaloonyesha ukombozi wa mtu aliyekuwa amefungwa na nguvu za giza.

Kwahiyo kama tulivyoona katika mada yenyewe, Biblia inaruhusu tule vyakula vyote pamoja na kitimoto (Marko 7:18-19, Warumi 14:14, 1 Timotheo 4:4-5).
 
Zingatia haya maneno .. 'Mapepo wachafu' kisha linganisha na maisha ya uchafu wanayoishi nguruwe

Mkuu nguruwe walikufa mwili tuu.. Roho ikoshazaliwa haifi na ukumbuke mapepo ni roho
 
Mkuu, hiyo ni hoja ambayo baadhi ya watu wanaposoma Marko 5:11-13(sura inayoeleza kisa cha Yesu kuwatoa mapepo na kuyaamuru yawaingie nguruwe) huitumia kuonyesha kuwa nguruwe ni "madude" machafu au yana uhusiano na mapepo.

Hebu tuchunguze vizuri kisa hicho. Imeandikwa hivi:
"Basi kulikuwa huko milimani kundi kubwa la nguruwe, walikuwa wakilisha. Na wale pepo wakamsihi, wakisema, ‘Tufukuze twende kwa wale nguruwe, ili tuwaingie.’ Akawapa ruhusa. Pepo wachafu wakatoka, wakawaingia wale nguruwe; nalo kundi lote likatelemka kwa kasi gengeni, wakaingia baharini, wakazama majini."

Hapo tunaona kuwa nguruwe waliuawa baharini baada ya kuingiwa na nguvu za giza(mapepo).

Yesu aliyaruhusu mapepo yawaingie nguruwe kwa sababu mapepo yenyewe ndiyo yaliyoomba ruhusa yawaingie nguruwe. Baada ya kuingia baharini, nguruwe walikufa mara moja. Mapepo hayakubaki ndani yao na kuendelea kuishi. Kifo cha nguruwe kilionyesha jinsi nguvu za giza zilivyo na uharibifu.

Hao nguruwe walikuwa wanyama wa kawaida kabla mapepo hayajawaingia. Nguruwe hawakuonyesha tabia ya kipepo hadi walipojazwa na roho chafu. Ndiyo sababu hata leo watu wanafuga nguruwe bila kuona tabia za mapepo kwenye wanyama hao.

Tukio hilo la nguruwe, halikuandikwa kuonyesha kwamba nguruwe ni najisi. Yesu alikuwa anaonyesha uwezo wake juu ya mapepo. Ni tukio linaloonyesha ukombozi wa mtu aliyekuwa amefungwa na nguvu za giza.

Kwahiyo kama tulivyoona katika mada yenyewe, Biblia inaruhusu tule vyakula vyote pamoja na kitimoto (Marko 7:18-19, Warumi 14:14, 1 Timotheo 4:4-5).
Ukisema biblia si pamoja na agano la kale ?!
Nimewahi kusoma ndani ya kumbukumbu la torati kuwa nguruwe ni haramu na ni najisi.
Ungesema agano jipya linaruhusu kula nguruwe hapo sawa lakini ukisema biblia inaruhusu kula nguruwe sio kweli kwakuwa ndani ya agano la kale nguruwe kakatazwa kuliwa na kuguswa!.
 
Back
Top Bottom