Mnaolalamika na kubeza Mbowe kwenda kuonana na Rais, Mlitaka afanye nini?

Yes tena niseme na huenda aliechanga karata vizuri ni Mbowe maana yake kaenda Ikulu kamsikiliza Rais halaf anarudi ndani ya chama anakaa,
wanajadili na anawaambia aliyokubaliana na Mama na wao kama chama wanakuja na Wazo na hapo ndio ataongea sasa vizuri na watanzania.
 
Angekuwa Gaidi kweli Mara baada ya msamaha ilitakiwa aishi kwa kizuizi sehemu ambapo vyombo vya ulinzi itakuwa rahisi kumdhibiti.
Sasa ni moja kwa moja Ikulu.Gaidi hakuhatarisha usalama tena
 
Angekuwa Gaidi kweli Mara baada ya msamaha ilitakiwa aishi kwa kizuizi sehemu ambapo vyombo vya ulinzi itakuwa rahisi kumdhibiti.
Sasa ni moja kwa moja Ikulu.Gaidi hakuhatarisha usalama tena
Nchi hii ina utoto Mwingi sana Gaidi anakaa na Rais na Rais Analiuliza Gaidi Eti Unashida gani?😂😂
 
Mbowe anajua siasa vizuri sn
 

Mkuu nia yako Vita au maendeleo. Naona kama unatoka kwenye Lengo.
 
Kusema kweli na nisiwe mnafiki Mimi amenikera Sana na nimechukia.

Sina mengi ya kuandika ila huo ndio ukweli wangu.

Sitakuja kufuatilia wala kuchangia siasa au wanasiasa wa Tanzania tena!

Umechukia nini Sasa. Huna Familia. Huna malengo. Siasa inakufanya uchukie? Basi toka tu maana Siasa Ni deal tu. Leo Huyu Kesho yule.
 
Hii pia ilikuwa kuudhihirishia ulimwengu kuwa mwamba amekuwa akionewa na awamu ya sita imekuwa haihusiki na dhambi hii ya uonevu na ubaguzi kwake🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️♨️
 
Kwa mm mwanaccm sio hatari yoyote juu ya Mh: Mbowe kukutana na Samia.
Kwanza kwa upande wa Mbowe na Chadema imewasafisha kuwaondolea tuhuma za Ugaidi kwani Gaidi hakumbatiwi kumbuka ni adui na kama alivyoalikwa Ikulu imemweshimisha zaida Mbowe na Chama Chao.
Dunia ya leo Diplomasia ndo inafanyakazi badala ya mizozo isiyo na tija kwa Watanzania wapenda amani kama alichokifanya Mbowe
 
Kwani huwez kuelezea pasipo kuandika we mwanaCcm?😂😂
 
Kwani huwez kuelezea pasipo kuandika we mwanaCcm?[emoji23][emoji23]
Mku huu ndio utambulisho wangu ninaojivunia kwani najua kujenga hoja sio makuzi kwani inabidi ujialie na umri wako
Kwani sijifunzi kuishi bali naishi
 
Yaani hawa walalamikaji nao wanasumbua vichwa vya watu kuwajibu?

Hawa ndio maadui wakubwa wa CHADEMA, ni wale wale waliokuwa wanavaa sare za chama hicho, huku wakiwa wana CCM , eti wakilaani chama chao CHADEMA isihimize katiba mpya.

Baadhi yao, kama wanajitambulisha kuwa wapenzi wa CHADEMA, ukifuatilia nyendo zao hata siku moja hawajakifanyia lolote chama hicho. Wakiitwa kwenye maandamano hawaonekani, wakiambiwa kushiriki kwenye harakati za chama huwaoni; ila ukiangalia pembeni kama hivi sasa, ndio vinara wa kutoa lawama.

CHADEMA inatakiwa kuwatambua hawa watu kwani ndio maadui wakubwa wa chama chao. Inabidi wawafichue na kuwatangaza hadharani watu wawajue ni nani hawa. Ni 'opportunists' wakubwa hawa, ndio hujionyesha mbele panapotokea mafanikio ya aina yoyote ndani ya chama, hata kama wao sio walioleta mafanikio hayo.

Hawa ni kansa ndani ya chama.
 
Bado anaitajika sana Mbowe, kama miaka 15 mbele
 
UBAYA unalipwa kwa wema hizo ni akili milioni mbele kiazi kama wewe hutoelewa mpaka siku unaoza na kupasuka tumbo lako,ndiyo maana hata pumbafu wenzako wakina kingai ,ziro COMTE ,kupara kipya wanajiuliza Gaidi gani anasalimiana kwa vipepsi na Rais wa nchi ndani ya jumba jeupe kwa kifupi MBOWE sio Gaidi na hajawai kuwa Gaidi ikulu imethibitisha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…