THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
- Thread starter
- #81
Yes tena niseme na huenda aliechanga karata vizuri ni Mbowe maana yake kaenda Ikulu kamsikiliza Rais halaf anarudi ndani ya chama anakaa,Mbowe kuonana na Rais imewaumiza mnoo CCM haswa waleee. Wapo CCM hawakupenda hata kesi ya Mbowe ya kubambika,lakini vipo vigagula ambavyo havijui lolote!! Mtoa mada umeongea points,hata Mandela kutoka jela ilikuwa ni hatua ya mwisho baada ya vikao vingi kati yake na De Clerk na Ni officials wachache Sana wa ANC walijua.
Na kwa taarifa ni makaburu zaidi waliokasirika Mandela alipotoka jela.
wanajadili na anawaambia aliyokubaliana na Mama na wao kama chama wanakuja na Wazo na hapo ndio ataongea sasa vizuri na watanzania.