Mnaomchukia Rais Samia mna hoja au ni chuki tu?

Apunguze tozo kwenye mafuta hkn nmn vinginevyo nchi itaangamia hii
 
Hakuna anaye mchukia rais Samia ila ukweli lazima uwe wazi kabisa pasi kuacha shaka kwamba raisi Samia ana uwezo mdogo mbona hili hata Prof Assad kasha wahi sema

"60% ya viongozi waliopo serikalini Wana uwezo mdogo"Prof Mussa
...Hakuna anayemchukia, ila Mama ana Uwezo mdogo. Ndio maana Kuteua na Kutengua imebaki kuwa ndio Kazi yake kubwa aonekane anafanya kitu!
 
Wakati wa Jiwe
  • Mchele kilo 900
  • Mafuta ya kula 3500/lita
  • Diesel 2800/lita

Wakati wa mpiga mwingi
  • Mchele 2300/kilo
  • Mafuta ya kula 7000/lita
  • Diesel 3400/lita

Linganisha afu jipe jibu
 
Naona anajiwekea shield kwa makamanda maana anajua mtaani hakuna kila kitu amefanya kinaeleweka
 
Tukio la kagera linahusiana vipi na kupanda kwa bei ya bidhaa..?
 
Hakuna atayependwa na wote wala atayechukiwa na wote,
Mwacheni mama apige kazi matunda mutayaona tu musiwe na haraka,
Vyuma vilikaza hapa miaka sita kimyaaaaa,
Leo miezi sita tu keleleeeeee
Miaka 6 iliyopita maisha yalikua nafuu mno, penye ukweli tuseme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…