Mnaomfananisha Mbahatishaji Chama na Anayejua Aziz K mna Akili sawa sawa Kweli?

Mnaomfananisha Mbahatishaji Chama na Anayejua Aziz K mna Akili sawa sawa Kweli?

Kwa sababu amemsifia mchezaji wenu? Kesho akiandika tofauti na mpendavyo, si maneno ya hovyo mumrushiayo! Na yeye anawajua, aandike nini mfurahi!
Mimi wala popoma ni popoma tu, nyumbani kwake Mirembe, Idodonyaaa
 
Aziz K yupo vzr, leo alionyesha kiwango kizuri sana. Ila historia ya Chama ni bora zaidi. Hata hivyo, sababu ya umri Aziz K ana nafasi ya kutengeneza historia nzuri sana.
 
Ukiona mpaka GENTAMYCINE (mwana Simba SC tukuka na lia lia ) navutiwa Kumtizama Mfalme wa Kipaji cha Mpira kutoka nchini Burkinafaso Stephane Aziz K ( pamoja na kwamba siipendi Yanga SC ) jua ya kwamba huyo Mtu anajua hasa kwani Kiasili huwa sipendi Vibovu Vibovu.

Kuanzia leo hii GENTAMYCINE natangaza rasmi kuwa Mchezaji Stephane Aziz K ndiyo Mchezaji mwenye Kipaji Kikubwa NBC Premier League, anaisaidia Timu Kiuhakika na anajua Kuonyesha Thamani yake Uwanjani na sote tunaiona.

Yoyote Yule atakayeuchukia huu Ukweli wangu kumhusu huyu Mchezaji awahi Duka lolote lililo karibu nae anunue Sumu ya Panya anywe ili Afe aniondolee Udhia / Kero.

Chama wetu hamfikii Aziz K kabisa!!!
Kwahiyo brother Azizi ki anakufurahisha sana mpaka unasisimuka
 
Unatafuta sifa na huruma kwa wana Yanga baada ya ule uzi wako uliosema zaidi ya asilimia 75 Yanga ana acha point kwa Azam kubumba.
TMA tokea Mwezi April, 2023 Wslitabiri kuwepo kwa Mvua Kubwa ya El Nino kuanzia tarehe 1 Oktoba hadi tarehe 13 Oktoba, 2023 je, mpaka leo tarehe 23 Oktoba, 2023 imeshanyesha? Mbona hamuwashushui TMA na hamuwaabii kuwa ni Waongo na Watabiri Feki? Hamna Akili...!!
 
Popoma bin nyonyoma.
Umeanza kupona ukichaa.
Ukiendelea hivi ni week tatu tu unakua vizuri
Mama yako alishapona tatizo nililonalo na Uliloliandika kwa Madaha na Upumbavu mwingi hapa Jamvini?
 
Back
Top Bottom