vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Kumbe wewe ni wa mchongo kama TMA?TMA tokea Mwezi April, 2023 Wslitabiri kuwepo kwa Mvua Kubwa ya El Nino kuanzia tarehe 1 Oktoba hadi tarehe 13 Oktoba, 2023 je, mpaka leo tarehe 23 Oktoba, 2023 imeshanyesha? Mbona hamuwashushui TMA na hamuwaabii kuwa ni Waongo na Watabiri Feki? Hamna Akili...!!