Mnaomfananisha Mbahatishaji Chama na Anayejua Aziz K mna Akili sawa sawa Kweli?

Ukiona mpaka GENTAMYCINE (mwana Simba SC tukuka na lia lia ) navutiwa Kumtizama Mfalme wa Kipaji cha Mpira kutoka nchini Burkinafaso Stephane Aziz K ( pamoja na kwamba siipendi Yanga SC ) jua ya kwamba huyo Mtu anajua hasa kwani Kiasili huwa sipendi Vibovu Vibovu.

Kuanzia leo hii GENTAMYCINE natangaza rasmi kuwa Mchezaji Stephane Aziz K ndiyo Mchezaji mwenye Kipaji Kikubwa NBC Premier League, anaisaidia Timu Kiuhakika na anajua Kuonyesha Thamani yake Uwanjani na sote tunaiona.

Yoyote Yule atakayeuchukia huu Ukweli wangu kumhusu huyu Mchezaji awahi Duka lolote lililo karibu nae anunue Sumu ya Panya anywe ili Afe aniondolee Udhia / Kero.

Chama wetu hamfikii Aziz K kabisa!!!

Wewe si simba bali ni mwana uto lia lia!! Ulijitahidi sana kufanya camouflage (kuvaa sura ya simba waklati ndani ni uto lia lia). Kama mwana uto una haki ya yote unayosema!! Lakini mwamba wa Lusaka atabaki mwamba asiye na mfano ligi kuu ya TZ bara!!
 
Nilikuwa nampango wa kuanza kutumia bangi lakini Kwa haya ninayo yaona,sobber house zijengwe kila Kara.
 
Ukiona mpaka GENTAMYCINE (mwana Simba SC tukuka na lia lia ) navutiwa Kumtizama Mfalme wa Kipaji cha Mpira kutoka nchini Burkinafaso Stephane Aziz K ( pamoja na kwamba siipendi Yanga SC ) jua ya kwamba huyo Mtu anajua hasa kwani Kiasili huwa sipendi Vibovu Vibovu.

Kuanzia leo hii GENTAMYCINE natangaza rasmi kuwa Mchezaji Stephane Aziz K ndiyo Mchezaji mwenye Kipaji Kikubwa NBC Premier League, anaisaidia Timu Kiuhakika na anajua Kuonyesha Thamani yake Uwanjani na sote tunaiona.

Yoyote Yule atakayeuchukia huu Ukweli wangu kumhusu huyu Mchezaji awahi Duka lolote lililo karibu nae anunue Sumu ya Panya anywe ili Afe aniondolee Udhia / Kero.

Chama wetu hamfikii Aziz K kabisa!!!
👏👏👏👏👏👏👏👏👏Msema kweli ni mpenzi wa mungu hongera sana mkuu umesema ukweli mtupu
 
TMA tokea Mwezi April, 2023 Wslitabiri kuwepo kwa Mvua Kubwa ya El Nino kuanzia tarehe 1 Oktoba hadi tarehe 13 Oktoba, 2023 je, mpaka leo tarehe 23 Oktoba, 2023 imeshanyesha? Mbona hamuwashushui TMA na hamuwaabii kuwa ni Waongo na Watabiri Feki? Hamna Akili...!!
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Kwakuwa nimemsifia Mchezaji wako wa Yanga SC Aziz K ila katika ule Uzi wangu wa Kuitabiria Yanga SC kufungwa na Azam FC Jana na haikutokea umekuja Kunishushua

Mnafiki mkubwa Wewe na ndiyo maana baada ya Kuwasoma kuwa hamna Akili na ni Mazuzu nimeamua Kuwasanifu kwa Kuwahamisheni mawazo yenu na nyote mmeingia Kingi huku nikiwadharau na kuwachekeni tu Kimoyomoyo.

Ukiwa na Akili Kubwa ni raha mno tu.

Cc: Ghiti Milimo
Hatari sana endelea kuwasanifu hawa wazeee wa mwiko nyuma
 
Back
Top Bottom