GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #61
Game Changer na si unaona nilivyoizuga Mizuzu na sasa imefurahi kweli kweli kama ni kweli vile huku Genius / Brainiac GENTAMYCINE nikiisanifu, nikiicheka na nikiidharau tu.Nikashangaa sana yaani kisa goli tatu za jana ndo kamzidi chama?? Hizo goli si ata sopu anajipigia tu
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini ( TMA ) tokea Mwezi wa Nne ( April ) mwaka huu Walitutangazia kuwa kuanzia tarehe 1 hadi 13 Mwezi huu Oktoba, 2023 kutakuwa na Mvua Kubwa ya El Nino je, imenyesha?Wewe si ukisema yanga atoki baada ya Azam kufanya yake nje ya uwanja? Imekuwaje Tena unamsifia Azizi ki?
GarbageIdiot.
Sometimes yes sometimes no kwa hili yupo sahihi lakini kuna wakati huwa dish kinayumba, kuna wakati hata saa mbovu inasema kweli ujieKwa sababu amemsifia mchezaji wenu? Kesho akiandika tofauti na mpendavyo, si maneno ya hovyo mumrushiayo! Na yeye anawajua, aandike nini mfurahi!
Popoma katika level bestUkiona mpaka GENTAMYCINE (mwana Simba SC tukuka na lia lia ) navutiwa Kumtizama Mfalme wa Kipaji cha Mpira kutoka nchini Burkinafaso Stephane Aziz K ( pamoja na kwamba siipendi Yanga SC ) jua ya kwamba huyo Mtu anajua hasa kwani Kiasili huwa sipendi Vibovu Vibovu.
Kuanzia leo hii GENTAMYCINE natangaza rasmi kuwa Mchezaji Stephane Aziz K ndiyo Mchezaji mwenye Kipaji Kikubwa NBC Premier League, anaisaidia Timu Kiuhakika na anajua Kuonyesha Thamani yake Uwanjani na sote tunaiona.
Yoyote Yule atakayeuchukia huu Ukweli wangu kumhusu huyu Mchezaji awahi Duka lolote lililo karibu nae anunue Sumu ya Panya anywe ili Afe aniondolee Udhia / Kero.
Chama wetu hamfikii Aziz K kabisa!!!
aziz ki ni mbahatishaji kuliko chama. na hata akiondoka yanga hawataathirika sana, ila chama akiondoka simba wataathirika. aziz ki ana ngekewa tu kila siku, akiamka vizuri ndio inakuwa kama jana, ila siku akiamka vibaya unaweza kuona bora kuliko hata mchezaji wa lipuli iliyoshuka daraja.Ukiona mpaka GENTAMYCINE (mwana Simba SC tukuka na lia lia ) navutiwa Kumtizama Mfalme wa Kipaji cha Mpira kutoka nchini Burkinafaso Stephane Aziz K ( pamoja na kwamba siipendi Yanga SC ) jua ya kwamba huyo Mtu anajua hasa kwani Kiasili huwa sipendi Vibovu Vibovu.
Kuanzia leo hii GENTAMYCINE natangaza rasmi kuwa Mchezaji Stephane Aziz K ndiyo Mchezaji mwenye Kipaji Kikubwa NBC Premier League, anaisaidia Timu Kiuhakika na anajua Kuonyesha Thamani yake Uwanjani na sote tunaiona.
Yoyote Yule atakayeuchukia huu Ukweli wangu kumhusu huyu Mchezaji awahi Duka lolote lililo karibu nae anunue Sumu ya Panya anywe ili Afe aniondolee Udhia / Kero.
Chama wetu hamfikii Aziz K kabisa!!!
Kheee..!! Ni wewe huyu huyu tunayemjua au mwingine?Ukiona mpaka GENTAMYCINE (mwana Simba SC tukuka na lia lia ) navutiwa Kumtizama Mfalme wa Kipaji cha Mpira kutoka nchini Burkinafaso Stephane Aziz K ( pamoja na kwamba siipendi Yanga SC ) jua ya kwamba huyo Mtu anajua hasa kwani Kiasili huwa sipendi Vibovu Vibovu.
Kuanzia leo hii GENTAMYCINE natangaza rasmi kuwa Mchezaji Stephane Aziz K ndiyo Mchezaji mwenye Kipaji Kikubwa NBC Premier League, anaisaidia Timu Kiuhakika na anajua Kuonyesha Thamani yake Uwanjani na sote tunaiona.
Yoyote Yule atakayeuchukia huu Ukweli wangu kumhusu huyu Mchezaji awahi Duka lolote lililo karibu nae anunue Sumu ya Panya anywe ili Afe aniondolee Udhia / Kero.
Chama wetu hamfikii Aziz K kabisa!!!
Duh..!! Mahaba yatakufanya ushangilie magarasa..!!aziz ki ni mbahatishaji kuliko chama. na hata akiondoka yanga hawataathirika sana, ila chama akiondoka simba wataathirika. aziz ki ana ngekewa tu kila siku, akiamka vizuri ndio inakuwa kama jana, ila siku akiamka vibaya unaweza kuona bora kuliko hata mchezaji wa lipuli iliyoshuka daraja.
Kitulize attention seeker siku zote unaongeaga ujinga leo acha nikuamshe toka usingiziniHuna Akili.
Kei wewe😂Game Changer na si unaona nilivyoizuga Mizuzu na sasa imefurahi kweli kweli kama ni kweli vile huku Genius / Brainiac GENTAMYCINE nikiisanifu, nikiicheka na nikiidharau tu.
Ukiwa na Akili Kubwa ni raha mno tu.
Cc: Ghiti Milimo, Glenn, SAGAI GALGANO etc.
Much love and respect to you Kaka MkubwaNa huo ndiyo Uhalisia wangu GENTAMYCINE hata katika Maisha yangu ya Kawaida.
Unaongelea mchezaji mwenye assist zaidi ya 35 ligi kuu
10+ mechi za kimataifa
10+ goals ligi kuu
Big game player unamfananisha na aziz ki?
Dah[emoji23]