Now anaongoza yeye it seems yeye ametangulia kufunga Kwa dkk chache zaidiSijaangalia mechi ila Kitendo cha kufunga hat trick maana yake amefikia rekodi ya Klose,hivyo bado goli moja tu aweke rekodi yake. Ni dalili nzuri. Kila la heri kwake!
Nitamani abebe tena japo ni ngumu sana.Absolutely true π―
Duuh hii ni hate au ndio Ronaldo fan?Kaotea, ana siku tu za kubahatisha, the man is so talented yes, but not that special for this kind of compliment
Daah kweliπHiyo ni vyote kaka π€£
Haiwezekani kufananisha mtu mmoja dhidi ya mtu mwingine.Kila mmoja ni wa kipekee duniani.He's not Humanbieng Jana namsikia commentator anasema Leo anafanya mpira wa miguu uonekane ni kitu rahisi kukicheza
Anachukua mpira kuanzia kati ya uwanja anaipandisha team na hapo hapo anapiga mabao matakatifu Anafanya kile ambacho alichokuwa anakifanya akiwa akiwa na miaka 22 wakati huu ambao ana miaka 39 huyu mtu sio kiumbe wakawaida kabisa
He's more than a genius, Mashabiki tunao penda mpira mzuri hatuna deni kwake kabisa yaani Jamaa anajua kuzisuuza nyoyo zetu, Na hapo ndio Cr7 alikuwa anasema Messi anacheza kwenye league nyepesi lakini moto anauwasha utadhani bado yupo kwenye league ya Spain huyu kiumbe sio mtu he's more than a monster ππ
π
View attachment 3609542
Hiyo record haitokaa muda mrefu Mbappe anakuja kuweka mpyaSijaangalia mechi ila Kitendo cha kufunga hat trick maana yake amefikia rekodi ya Klose,hivyo bado goli moja tu aweke rekodi yake. Ni dalili nzuri. Kila la heri kwake!
"Wivu, wivu, mama wivu! πΆπ΅.Hiyo record haitokaa muda mrefu Mbappe anakuja kuweka mpya
Kabisa kaka fahari Tena kubwa sana yaani mtu ana miaka 38 lakini the way alivyo nanjaa ya ushindi utadhani ndio kwanza ana umri kama wa lamine yamalNi fahari nimemshuhudia huyu magician!!!
Ngumu sana kuja kutokea talented na gifted kama huyu kiumbe..... football β½οΈ haimdai chochote tena .......
π π π
Dah πUlicho kisema ni kweli kabisa Mkuu.
Lakini hao ni wachezaji wakubwa sana Duniani na wana Pesa Nyingi sana.
Sisi huku Dunia ya Tatu ndio wapumbavu kutumia Muda Mwingi kuwajadili kuwafananisha na Kuwashindanisha.
NCHI ZETU NI WIMBI LA MATATIZO