Mnaomshauri Rais juu ya Ikulu mpya Chamwino muogopeni Mungu

Mnaomshauri Rais juu ya Ikulu mpya Chamwino muogopeni Mungu

Nimekuuliza swali hujajibu. Narudia
Umewahi kutembelea ikulu yoyote haina complex.

Sometimes ushamba ni mzigo wa mbolea ya binadamu.
Mkuu mimi nina exposure kubwa kukuzidi katika hali yoyote ile.
Kama kuchungulia White House tumeshafika, kama ni karibia na Buckhingham Palace tumefika, Jengo la Mfalme miaka hiyo Hirohoto ndo kabisa.
Halafu niulize kama ikulu zote wanakuwa na ukumbi wa watu 3000?

Umeuliza na Hazina Complex?, washamba ninyi wenye vihela vya pamba unaweza kujicompare na Denmark?
Nimefika Bank of Denmark, kajengo ka ghorofa 4/5 , sisi tumejijengea jengo la pesa za madafu towers mbili za ghorofa 10/11.
Ufisadi mtupu!

Sasa wewe masikini na matako yako yanayolia mbwata unajilinganisha na wakubwa wakati hata watoto wa wananchi wako wanakaa chini ya mti kusoma.
Mvua na jua vya kwao.

Sasa hapo kwa nyie mataahira , mshamba nani?
Sasa hapo unakuwa kama mmalawi aliyevaa ti na anaongea kiingereza kizuri huku underwear in matabo matupu, shati mgongoni imetoboka na suruali viraka vitupu.
 
Mkuu mimi nina exposure kubwa kukuzidi katika hali yoyote ile.
Kama kuchungulia White House tumeshafika, kama ni karibia na Buckhingham Palace tumefika, Jengo la Mfalme miaka hiyo Hirohoto ndo kabisa.

Umeuliza na Hazina Complex, washamba ninyi wenye vihela vya pamba unaweza kujicompare na Denmark?
Nimefika Bank of Denmark, kajengo ka ghorofa 4/5 , sisi tumejijengea jengo la pesa za madafu towers mbili za ghorofa 10/11.
Ufisadi mtupu!

Sasa wewe masikini na matako yako yanayolia mbwata unajilinganisha na wakubwa wakati hata watoto wa wananchi wako wanakaa chini ya mti kusoma.
Mvua na jua vya kwao.

Sasa hapo kwa nyie mataahira , mshamba nani?
Sasa hapo unakuwa kama mmalawi aliyevaa ti na anaongea kiingereza kizuri huku underwear in mataobo matuu, shati mgongoni imetoboka na suruali viraka vitupu.
Duh!! Sasa umeacha kujadili unaanza kuchamba siyo. Nimekuuliza swali simple sana. Kwahiyo kufika Denmark ndiyo umeijua dunia?
Nauliza tena Ikulu zote duniani hazina Complex?
 
Una hoja ,usikilizwe.

Eneo la ikulu DODOMA ni kubwa sana, hayo Majengo ya ziada yanaweza kuwa hata several kilometers from the residence .

Sasa mjiulize, pale ikulu ya DSM,kumbi za mikutano na Majengo mengine yako umbali gani?
Bora tunaenda sawa mkuu,
Kwanza Ikulu ya Dar naona kuna majumba ya watu ukisimama unaona kila kitu
Miaka ya nyuma sana walikuwa wanasema kuwa hizo nyumba wamezikodisha usalama kwa ajili ya usalama siujui ukweli lakini

Hiyo ya Dom ni kubwa sana kwa sababu wamechukua eneo kubwa sana
 
Duh!! Sasa umeacha kujadili unaanza kuchamba siyo. Nimekuuliza swali simple sana. Kwahiyo kufika Denmark ndiyo umeijua dunia?
Nauliza tena Ikulu zote duniani hazina Complex?
Utajaza, maana vitoto nyie mmeanza kuvaa suruali vifuani tunawaona!
 
Katika nchi yoyote, Ikulu is one of the most, if not the most secure premise. Maana hapo ndio ofisi za madaraka ya juu kabisa.

Pamoja na kupongeza ujenzi wa Ikulu mpya Chamwino, nimeshangazwa sana na mapendekezo mapya ya majengo ya huduma.
Pengine kama sijaelewa maana yake.
-Kutakuwepo na jengo la Samia Complex,
-Ukumbi wa mkutano wa watu 2000 hadi 3000.
-Uwanja wa ndege.
-Jengo la Zanzibar
-Majengo ya East Africa

Sasa hapo nikajiuliza unapokaribisha umati kama huo wa watu ndani ya Ikulu, na wahudumu ambao kazi zao si za moja kwa moja na shughuli za Ikulu, na ukumbi ambao hauna commercial use, maana yake nini kiuhalisia?

Usalama wa Ikulu yenyewe kama hiyo itakuwa na gharama kubwa .
Kwa 98% , majengo pendekezwa yatakuwa hayatumiki kwa day to day business.

Pale Ukumbi wa CCM Jakaya Kikwete, ukumbi uko mjini lakini kuna popo, maana matumizi yake kwa mwezi ni mara moja au mbili.
Kama kuna mikutano mfululizo pengine mara moja ndani ya miezi mitano au sita.

Washauri wa Rais, kwani hamuoni hiyo mis use ya public funds?

Si tu kujenga white ekephants lakini ni kuchezea kodi zetu, ambazo wana Kariakoo wametuwakilisha vema zinavyotuumiza.
Ni moja ya mada bora kabisa toka kwako, mkuu 'Jidu'. Ninakupongeza kwa dhati kabisa.

Hata kama swala la "usalama" kwa siku hizi siyo sababu muhimu sana, kwa vile kuna njia chungu nzima za kuingilia usalama huo, lakini Ikulu ya nchi isifanywe kuwa kama Kariakoo ya Dar es Salaam
 
Utajaza, maana vitoto nyie mmeanza kuvaa suruali vifuani tunawaona!
Mbona mzee unaweweseka sana? Inferiority complex inakusumbua.
Ushamba unakusumbua sana.

Hapa kuna orodha ya ikulu kadhaa zenye kumbi kubwa za mikutano na uwezo wao wa kuchukua watu ndani ya ukumbi:

1. Ikulu ya White House, Washington, D.C. (Marekani)
- Uwezo: Kumbi ya mikutano ya White House inaweza kuchukua hadi watu 1000-2,000, kulingana na jopo la mikutano.

2. Ikulu ya Kremlin, Moscow (Urusi)
- Uwezo: Ukumbi wa mikutano wa St. George katika Ikulu ya Kremlin unaweza kuchukua hadi watu 6,000.

3. Ikulu ya Rashtrapati Bhavan, New Delhi (India)
- Uwezo: Ukumbi wa mikutano wa Darbar Hall katika Rashtrapati Bhavan unaweza kuchukua hadi watu 2,000-3,000.

4. Ikulu ya The Grand Kremlin Palace, Moscow (Urusi)
- Uwezo: Ukumbi wa mikutano wa St. Andrew katika The Grand Kremlin Palace unaweza kuchukua hadi watu 2,000.

5. Ikulu ya Elysée, Paris (Ufaransa)
- Uwezo: Ukumbi wa mikutano wa Salle des Fêtes katika Ikulu ya Elysée unaweza kuchukua hadi watu 600-1,000.

6. Ikulu ya Buckingham Palace, London (Uingereza)
- Uwezo: Ukumbi wa mikutano wa Ballroom katika Buckingham Palace unaweza kuchukua hadi watu 1,000.

7. Ikulu ya Tofiq Bahramov Republican Palace, Baku (Azerbaijan)
- Uwezo: Ukumbi wa mikutano wa Tofiq Bahramov Republican Palace unaweza kuchukua hadi watu 3,500.

8. Ikulu ya Çankaya, Ankara (Uturuki)
- Uwezo: Ukumbi wa mikutano wa White Hall katika Ikulu ya Çankaya unaweza kuchukua hadi watu 500-1,000.

9. Ikulu ya Casa Rosada, Buenos Aires (Argentina)
- Uwezo: Ukumbi wa mikutano wa Salón Blanco katika Ikulu ya Casa Rosada unaweza kuchukua hadi watu 2,000.

10. Ikulu ya Union Buildings, Pretoria (Afrika Kusini)
- Uwezo: Ukumbi wa mikutano wa Union Buildings unaweza kuchukua hadi watu 500-1,000.
 
Nyie ndio wale ambao matako yanalia mbwata!
Halafu hata kodi hulipi, unatumia tu!
 
[emoji23] [emoji23] Ila mama unapenda ligi duu!!
Ukweli ubaki kuwa ukweli.

Kuhamia Dodoma halikuwa wazo la Samia wala bwana yule, lilikuwa ni wazo la zamani sana.
 
Tuonyeshe na mikakati ya kuondoa umasikini ndani ya hiyo miaka 50, 100 acha miaka 5 ijayo!
Duh, hivi huelewi kuwa kuna mpango wa miaka 25 unaokamilika 2025? Hakuuanzisha Samia wala Magufuli,pia hawakuupinga wanaendelea nao. Zinazotofautiana ni "style" za utawala tu.
 
Anayedhani plani ya ujenzi wa Majengo mbalimbali ndani ya Ikulu ya Chamwino yajengwe wapi kaianzisha Samia tu from nowhere akapimwe akili
 
Anayedhani plani ya ujenzi wa Majengo mbalimbali ndani ya Ikulu ya Chamwino yajengwe wapi kaianzisha Samia tu from nowhere akapimwe akili
Mbona mleta mada ametamka wazi kuwa 'wansomshsuri Rsis'? Sijaona mahali popote ambapo Rais amelaumiwa kwa lolote. Hata siku moja Rais hawezi kuhusika na kuplan jengo gani likae wapi.

Hii siyo ikulu ya Rais Samia, ni ikulu ya nchi, ni lazima ikidhi matakwa ya sasa na ya miaka mingi ijayo, vizazi na vizazi.
 
Michango ya hii mada imemshambulia sana Samia, may be kwa sababu yeye ni rais mwenye dhamana. But master plan ya Ikulu na kila jengo litakalokuwemo humo ipo toka enzi za Magufuli
 
Haki 8,000 plus ni eneo kubwa sana sioni shida ya kujenga majengo mengine, kama ikulu ya DAR hata heka 100 hazjafika na mwingiliano na majengo mengine upo sioni shida kwa Ikulu ya Dodoma kujenga hayo majengo.
 
Eti jengo la Zanzibar na Afrika mashariki mara ukumbi wa mikutano ili iweje🤔🤔 ikulu inakua kama sehemu ya maonyesho ya mazingaombwe
 
Back
Top Bottom