Karne
JF-Expert Member
- Jun 13, 2016
- 8,118
- 13,547
Eneo lenyewe ekari 8,473 wajenge tu facilities zote.
Who knows? Ipo siku hata Mimi naweza jikuta naogelea swimming pool la Ikulu na kucheza golf huku Rais yupo mafichoni kama ilivyokuwa kwa waandamanaji nchini Sri Lanka.š
BTW:Akiharibu lawama mnawatwisha washauri,akifanya vyema hatuwasikii washauri wakitajwa.