Mnaomshauri Rais juu ya Ikulu mpya Chamwino muogopeni Mungu

Mnaomshauri Rais juu ya Ikulu mpya Chamwino muogopeni Mungu

Kuna soko Ikulu?

Amandla...
Hata Dar lipo, uneshafika Ikulu ya Dar? Unakumbuka bwana yule kazi yake ya mwanzo mwanzo Ikulu ilikuwa ipi? Jikumbushe 👇🏾

1684833796899.png
 
Walienda kuchukua ramani ulaya huko sijui nchi gani, na kwa wabongo walivyo wakafikia hotelini wakala bata wakapewa ramani feki, sawa na yule aliyepewa maboksi ya dawa ya korona feki.

Hawa wasomi wetu walishindwa nini kuchora mchoro wa ikulu ?

Ulisikia wapi ikulu ndani mna soko?
Watakuwa wanakusanya kodi tuuu

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Raisu wa awamu hii anapeenda sana vitu vya starehestarehe sana
Ni mtu wa starehe sana 😅 kuna clip niliiona sehemu,alikuwa kwenye hafla fulan na wamama wa kazanziber,wamepigilia Madera makali,vipuli vya dhahabu ,wanasaga tu midomo,na kutikisa maungo kwa mziki laini taratibuuu🤣🤣
 
Kuhusu wasomi wetu kwakweli hapo ni zaidi ya amajnga, nilikuwa kwenye project moja ya serekali sisi tulipewa tenda ya kusafirisha vifaa vya huo mradi sasa wakaja Ma Engineer wa Serekali kukaguwa vifaa cha ajabu wao wanatuuliza sisi hiki kinaitwaje? mburaaaa [emoji1787] [emoji1787] [emoji2369]
Elimu yetu ndo tatizo!!

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Katika nchi yoyote, Ikulu is one of the most, if not the most secure premise. Maana hapo ndio ofisi za madaraka ya juu kabisa.

Pamoja na kupongeza ujenzi wa Ikulu mpya Chamwino, nimeshangazwa sana na mapendekezo mapya ya majengo ya huduma.
Pengine kama sijaelewa maana yake.
-Kutakuwepo na jengo la Samia Complex,
-Ukumbi wa mkutano wa watu 2000 hadi 3000.
-Uwanja wa ndege.
-Jengo la Zanzibar
-Majengo ya East Africa

Sasa hapo nikajiuliza unapokaribisha umati kama huo wa watu ndani ya Ikulu, na wahudumu ambao kazi zao si za moja kwa moja na shughuli za Ikulu, na ukumbi ambao hauna commercial use, maana yake nini kiuhalisia?

Usalama wa Ikulu yenyewe kama hiyo itakuwa na gharama kubwa .
Kwa 98% , majengo pendekezwa yatakuwa hayatumiki kwa day to day business.

Pale Ukumbi wa CCM Jakaya Kikwete, ukumbi uko mjini lakini kuna popo, maana matumizi yake kwa mwezi ni mara moja au mbili.
Kama kuna mikutano mfululizo pengine mara moja ndani ya miezi mitano au sita.

Washauri wa Rais, kwani hamuoni hiyo mis use ya public funds?

Si tu kujenga white ekephants lakini ni kuchezea kodi zetu, ambazo wana Kariakoo wametuwakilisha vema zinavyotuumiza.
jengo la samia,la zanziba pamoja na majengo east africa kwa manufaa ya nani.madarasa hayana viti wala walimu wa kutosha,hospitali hakuna watumishi na madawa halafu tunaweka lavish majengo pale chamwino!nchi yangu tanzania.
 
Walienda kuchukua ramani ulaya huko sijui nchi gani, na kwa wabongo walivyo wakafikia hotelini wakala bata wakapewa ramani feki, sawa na yule aliyepewa maboksi ya dawa ya korona feki.

Hawa wasomi wetu walishindwa nini kuchora mchoro wa ikulu ?

Ulisikia wapi ikulu ndani mna soko?
Mkuu suala si wasomi tu walioboronga.
Nafikiri hata Idara zetu nyeti inabidi tuziulize.
Hivi kweli wamepitia hiyo final layout ya Ikulu hata kama bado facilities nyingine hazijengwa? na kujiridhisha kuwa masuala ya kiusalama yamezingatiwa?
 
Katika nchi yoyote, Ikulu is one of the most, if not the most secure premise. Maana hapo ndio ofisi za madaraka ya juu kabisa.

Pamoja na kupongeza ujenzi wa Ikulu mpya Chamwino, nimeshangazwa sana na mapendekezo mapya ya majengo ya huduma.
Pengine kama sijaelewa maana yake.
-Kutakuwepo na jengo la Samia Complex,
-Ukumbi wa mkutano wa watu 2000 hadi 3000.
-Uwanja wa ndege.
-Jengo la Zanzibar
-Majengo ya East Africa

Sasa hapo nikajiuliza unapokaribisha umati kama huo wa watu ndani ya Ikulu, na wahudumu ambao kazi zao si za moja kwa moja na shughuli za Ikulu, na ukumbi ambao hauna commercial use, maana yake nini kiuhalisia?

Usalama wa Ikulu yenyewe kama hiyo itakuwa na gharama kubwa .
Kwa 98% , majengo pendekezwa yatakuwa hayatumiki kwa day to day business.

Pale Ukumbi wa CCM Jakaya Kikwete, ukumbi uko mjini lakini kuna popo, maana matumizi yake kwa mwezi ni mara moja au mbili.
Kama kuna mikutano mfululizo pengine mara moja ndani ya miezi mitano au sita.

Washauri wa Rais, kwani hamuoni hiyo mis use ya public funds?

Si tu kujenga white ekephants lakini ni kuchezea kodi zetu, ambazo wana Kariakoo wametuwakilisha vema zinavyotuumiza.
Kwa hiyo wewe ni mwanausalama.saaana kuliko wanausalama wenyewe?
 
Hoja ya msingi hata mimi nilijiuliza swali hili ila mwisho nikasema mengine hayanihusu acha yapite, its like kutakuwa na usalama mdogo hiyo ni sehemu nyeti sio ya kutakiwa kuingia watu wengi hasa ukizingatia ni sehemu yenye nyaraka kubwa za serikalini.

Any way hope waliosugest na kukubaliana hivyo waliangalia usalama lakini bado ni ukakasi
 
Jk aliongea kwenye uzinduzi juzi kuwa aliwatuma watu huko mbele.

Itakuwa ramani ya kwanza waliitupa hukoo
Kuiga majengo ya zamani ni ushamba uliopitiliza......

Ndio maana hata raisi ameshangaa mbona vyumba vidogo dogo sana.....

Kwa namna yoyote hatukutakiwa kuiga majengo ya zamani, matokeo yake ndio inaanzwa jengwa Samia Complex.....sababu jengo la sasa limeshaonyesha mapungufu kabla hata halijaanza tumika.
 
Jk aliongea kwenye uzinduzi juzi kuwa aliwatuma watu huko mbele.

Itakuwa ramani ya kwanza waliitupa hukoo
kweli kabisa. Ukiangalia JK alivyotawanya UDOM, lazima alikuwa na ramani ya tofauti pengine nzuri sana ya ikulu mpya. mwenda zake akagoma kuitumia
 
Back
Top Bottom