Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Hello!!
Nimetafakari kiasi ni kwa namna gani mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa inavyoweza kuinua uchumi na molari wa kujituma katika upambanaji hasa endapo viongozi wanasiasa kwenye mikutano yao wakihimiza bidii ya kazi.
Na wakahusisha ratiba za mikutano yao na kauli mbiu tufanye kazi Tupate pesa Tupate ada Kisha baadae tuongee siasa, uongozi, haki, uhuru, changamoto na maendeleo.
Namna bora ya kuinua uchumi wa mahali husika kwa kufahamu shida za wananchi katika mawanda mapana ya uchumi.
Je, Tundu Lissu ana agenda zozote kuhusu uchumi wa maeneo na kuhimiza kufanya kazi ikienda pamoja na kusikiliza kero na kushitakia kwa viongozi wakuu hatua za haraka ama kukomeshwa kwa kero hizo.
Political parties on their grassroots mobilisation campaigns should include core issues like community empowerment across various spheres, wealth creation, strategic business investment, market creation, economic linkages, assessment of trickle down effects across spheres.
Lissu should focus on politics with geographic and community customization. The national topics yes but that should overwhelm other key issues wherever he goes.
Politics along with community empowerment agenda is rewarding and so powerful.
Nawasilisha
Wadiz a.k.a Baharia